Serikali ya CCM ni janga la taifa

Hivi kati ya makamba na JK nani mweye nafuu. Mimi nadhani ni makamba kwani anaweza kusimama jukwaani na kueleza ujinga wake kuliko JK ambaye amekaa kimya kama bubu. Kwa hali ilivyo CCM wanaweza kumtangaza rasmi makamba kama raisi wao kwani raisi wa ccm waliye muweka kwa kura za wizi amekuwa bubu.
 
Inaelekea na pia inasadikika kuwa makamba ana unafuu fulani kwa mbali kuliko kikwete. Mbayuwayu hazichaji kabisa. Ila pole sana maana hakuna waliojaliwa kuwa na kila kitu.
 
Hivi kati ya makamba na JK nani mweye nafuu. Mimi nadhani ni makamba kwani anaweza kusimama jukwaani na kueleza ujinga wake kuliko JK ambaye amekaa kimya kama bubu. Kwa hali ilivyo CCM wanaweza kumtangaza rasmi makamba kama raisi wao kwani raisi wa ccm waliye muweka kwa kura za wizi amekuwa bubu.

nadhani 2muongeze hapo Rostam maana ndio Mungu mtu wa chama cha majambazi,., CCM GO TO HELL
 
Nina maumivu makubwa nafsini mwangu, ninapoona nchi yetu inauzwa hivi hivi, mchana kweupe na watu wanaojiita wenye nchi yaani Mbayu wayu na kundi lake. Lakini yote haya yamesababishwa na Baadhi ya Watanzania kama sio mchezo wa kuchakachua kura. Nina imani kubwa kuwa haya mabmo yatatusumbua sana mpaka pale atakapopatikana mkombozi wa kweli wa Watanzania.Ukombozi wa kweli wa Watanzania unatoka na unaanza na CHADEMA. Subiri tu uyaone, kama HUAMINI.People's power.Nina mwanangu wa miaka miwili ambaye ninamfundisha kuichukia CCM. Haina maana hata kidogo. Kwake ukionyesha alama ya vidole viwili anakujibu Peoples Power. Na anajua maana ya alama hii ni kuwa Ni CHADEMA. CCM si chama Cha Watz wenye matumaini. La sivyo tutakufa na ufisadi. CHADEMA NI TUMAINI LILILOREJEA. TUNAOMBA UONGOZI WA CHADEMA UWEKE UTARATIBU WA KUTANGAZA SERA ZA CHADEMA KAMA KWENYE SHEREHE ZA KITAIFA ZA CHADEMA HADI NGAZI ZA VITONGOJI NA MITAA. Ninachomshukuru MUNGU kwa hili ni kuwa SISI HADI UONGOZI WA CHINI NGAZI YA HALMASHAURI YA KIJIJI NI CHADEMA. HATUNA MCHEZO NA CCM NA HATUTAKI KUBABAISHWA. CCM KWETU FULL STOP.


He! mkubwa najua una hasira, ila hapa sasa unapitiliza, tafadhali punguza hasira ndio utafanya maamuzi yenye akili.
 
1. Kwa kulea ufisadi wa Epa, Kagoda, Meremeta, Tangold, Deep Green, ICS, IPTL, Rada,TRL, TICTS, Kiwira, mikata mibovu ya madini, nk, nk

2. Kwa kuanzisha Richmond/Dowans, kuwakingia kifua wezi wote, kuchakachua, elimu ya watoto wetu kura zetu, majeshi yetu, usalama wa Taifa letu, TAKUKURU yetu (kwa kuzigeuza kuwa taasisi za CCM),na kufifisha kabisa moyo wa utendaji kazi miongoni mwa watumishi waaminifu wa umma

3. Kwa kuruhusu uporaji wa mchana wa rasilimali za Taifa letu (madini, magogo, ardhi, samaki, nk, nk) na hivi sasa mchakato wa malipo ya DOWANS

4. Kwa kuwakosesha mamilioni ya watanzania huduma bora za Barabara, Maji (achilia mbali safi na salama), Umeme, Huduma za afya na elimu bora, na biashara ya ulanguzi wa haki inayoendeshwa hadharani na idara za Mahakama, usalama wa raia, idara za ardhi, nk, nk

Na mengine mengi ambayo sijayafahamu bado, vinanifikisha mahali ambapo nabaki sina uchaguzi mwingine zaidi ya kumtangaza rasmi JK, Makamba na CCM yao ambayo imetutawala kwa miaka 50 (nusu karne!) sasa kuwa JANGA LA KITAIFA! Watanzania tafakari.
Kama Rais wa Misri alivyosema wamwache amalizie kipindi kilichobaki atengeneze mazingira mazuri ya kurithishana madaraka , nashawishika kusema kuwa hata JK leo hii tukitumia nguvu ya Umma ataibuka kwenye TV na kusema tumwache atengeneze mazingira mazuri ya kurejeshea wananchi mali wanazoporwa (waporaji wasije kukabiliana na mkondo wa sheria - e.g. Msamaha aliowapa wezi wa EPA )
 
CHADEMA.gif

Umemsahau Andrew Chenge (ambaye amechakachua mpaka uhai wa watu) Edward Lowasa, Edward Hosea, Nazir Karamag, Zhakia meghji, Ridhiwani Kikwete, Salma Kikwete Na wengine katika CCM
 
Asante sana.

Bila shaka list ni ndefu ila ulipoanzia ni sahihi.... nakuunga mkono. Pia napenda kuamini uliposema CCM basi ulimaanisha upana wa neno lenyewe!
 
leo asubuhi, nikasiki wimbio wa taifa ukinyukwa radioni ukifuatwa na hotuba ya mkwere... akasema sasa baraza la usalama limekutana na limefikia maazimio kadhaa... akaanza kuyataja, akianza na kushughulikia matibabu, mutoa rambirambi, kufidia uharibifu, pia kuwadanganya watu kuwa dhahma imekwisha nk....nilidhani kama raisi alikuja pale kutuambia kuwa waziri na wakuu wa jeshi wanastaafishwa kwa manufaa ya umaa.

baadaye baada ya bunge kuanza nikaona jinsi mama makinda alivyomnyamazisha kwa jazba Tundu Lissu kwamba eti habari ya gogolamboto si ya dharura na haihitaji mjadala!! KAMA KAWAIDA WABUNGE WA CCM WAKAPIGA MAKOFI!!!

moyo wangu umesononeka sana, yaani sana mimi na hata mke wangu..hapa nilipo niko kazini lakini nashindwa kabisa kudeliver......maswali yangu ni kwa uchache tu....

1. hivi ni nchi ngapi mabomu yanalipuka lipuka ovyo???

2. hivi ni kweli kuwa wanajeshi watatu tu wamekufa ili hali kambi yote imevurugika?

3. hivi takwimu za waliopoteza maisha ni za ukweli?

4. hivi ni lazima CCM na mkwere waongoze nchi?

5. hivi ndani ya CCM serekali yake na wabunge wake kuna mtu mwenye akili timamu?

6. hivi ndani ya CCM serekali yake na wabunge wake kuna mtu anayemwogopa mungu na kilio cha rohoni kiko hai?

6. hivi raisi kiwete kusema ilie ilikuwa ni ghala kubwa kunajustify ubadhirifu uliofanywa kununua silaha hewa?

7. hivi kama kuna ubadhirifu, kunajustify maisha ya watu kupotea? - of all the deals?

8. hivi wabunge wa ccm na spika wenu mko bungeni kwa ridhaa ya nani? na mnamuwakilisha nani?

9. hivi ni kwa nini leo mmekatisha katisha mijadala ya bunge kule TBC 1?

10. nawaahidi tutakuja kuwahukumu kunyongwa wote mlioshiriki katika hili hata kama ni raisi kikwete! damu za watu mnaowatoa kafara ziko juu yenu ninyi na watoto wenu! mbuzi nyie!
 
tufanye namna huyu mkere aondoke hapo bila kufanya namna huyu jamaa hatoki
 
Mliambiwa mkabisha - hizi ndizo gharama za kumkabidhi uongozi wa nchi mkwere.
 
[
1. hivi ni nchi ngapi mabomu yanalipuka lipuka ovyo??? Sina Uhakika lakini nadhani hakuna ni Tanzania tu

2. hivi ni kweli kuwa wanajeshi watatu tu wamekufa ili hali kambi yote imevurugika? hata idadi ya watu waliokufa ukiacha wanajeshi ni kubwa kuliko iliyotangazwa.

3. hivi takwimu za waliopoteza maisha ni za ukweli? haziamini nchi hii kwa uchakachuaji hata kwenye majanga na maisha ya watu ni kuchakachua tu.

4. hivi ni lazima CCM na mkwere waongoze nchi? Hapana kabisa.

5. hivi ndani ya CCM serekali yake na wabunge wake kuna mtu mwenye akili timamu? nadhani hakuna, angekuwepo angeshajitoa kwenye hicho chama cha majambazi.

6. hivi ndani ya CCM serekali yake na wabunge wake kuna mtu anayemwogopa mungu na kilio cha rohoni kiko hai? Hilo nina uhakika HAKUNA

6. hivi raisi kiwete kusema ilie ilikuwa ni ghala kubwa kunajustify ubadhirifu uliofanywa kununua silaha hewa? Mwizi huwa haangaiki na wezi wenzie.

7. hivi kama kuna ubadhirifu, kunajustify maisha ya watu kupotea? - of all the deals? NOOO, kuonyesha msisitizo

8. hivi wabunge wa ccm na spika wenu mko bungeni kwa ridhaa ya nani? Mafisadi na mnamuwakilisha nani? RAi

9. hivi ni kwa nini leo mmekatisha katisha mijadala ya bunge kule TBC 1? TBC1 ipo kwa ajili ya Mafisadi pia

10. nawaahidi tutakuja kuwahukumu kunyongwa wote mlioshiriki katika hili hata kama ni raisi kikwete! damu za watu mnaowatoa kafara ziko juu yenu ninyi na watoto wenu! mbuzi nyie! AMEN[/QUOTE]

Ben Ali (Rais wa Tunisia aliyetimuliwa) Keshapata stroke yuko unconscious, wajiandae Mkwere, Makinda na wenzake, malipo hapa hapa duniani, this time dua la kuku litampata mwewe.
 
Swali la kwanza nami nilikuwa najiuliza sana bila kupata jibu. Maswali mengi yapo na majibu hamna. Lakini kwa uelewa wangu finyu asilimia kubwa hapa ni uzembe pamoja na ubinafsi uliowatawala viopngozi wetu. Kuzika, rambirambi n.k. si chochote kwani familia ngapi zinafiwa tangu kuumbwa kwa dunia na wanazika wenyewe?? Hii haitusaidii. Na TBC taarifa bunge ndo yale yale ya kuweka mambo kapuni watu wasiweze kupata habari zote lakini siku yaja. Tanzania inahitaji mabadiliko na aliye na akili timamu na anayeona yanayoendelea atakubaliana nami. Tusipobadilika tusitegemee miujiza. Viongozi waache kujali maslahi yao.. Haya yamelipuka utasikia kwa vile serikali haina hela ya kuhamisha....this is not a point. hiyo kambi yaweza kuhamishiwa hata city centre, cha muhimu ni sababu ya mabomu kulipuka hovyo. Mabomu yaliyolipuka mbagala na sasa Gongolamboto ni hasara kwa taifa ukiachilia mali za raia na maisha. Kwa maana kwamba kambi zingekuwa ziko hata umbali gani hayo mabomu yangelipuka na still ni hasara kwa taifa na taifa ni sisi tunaolipa kodi kwani hizo ni pesa zetu siyo za hao viongozi ambao hawajui hata kodi inalipwaje. Haya basi ona sasa watu wamepoteza maisha wanatuletea blablaa. We need responsible leaders. Hadi sasa inaonyesha ambavyo viongozi wetu hawako accountable.

Tunapoelekea kupambana katiba kurekebishwa, lazima iweze kuwafanya viongozi accountable kwa issues kama hizi.

Tunaomba kinachowezekana kifanyike kupata hasara ya milipuko hii pamoja na ya mbagala japo waliopoteza maisha hatuwezi kuwawekea value kwani hakuna anayeweza kufidia. Uzembe wa viongozi wachache unalitia taifa hasara na kukatisha maisha ya raia wasio na hatia. Hivi katika hali kama hii unaweza kutembelea majeruhi na ukawa na tabasamu usoni??? Kweli viongozi wetu hawako responsible.....kila kitu kimefanywa utani tunachekeana tu!! tunahitaji mabadiliko. We have to find a way to educate people....kuna watu bado hawaelewi hasa wale ambao huwa wanadanganywa kwa kanga, tshirt, kofia etc. Hivi hiki ni nini?? inasikitisha kwa kweli! Mungu tu atusaidie!!!
 
Ndugu zangu watanzania nimekuwa nikijuuliza maswali mengi kuhusu huyu Mtu au Mtawala anayeitwa Kikwete, ingawa wengine wanamuiita Fisadi, Vasco Da Gama, christopher columbus, Mtalii na majina mengi ambayo wengi wenu mmekuwa mkimuita. Tangu achukuwe nchi 2005 na kupora nchi 2010 kumekuwa na malalamiko mengi tu kuhusu huyu bwana Kikwete kuwa ameiingiza nchi yetu kwenye matatizo mengi kama vile kashfa za Rushwa ambazo hata yeye anahusika na wizi wa kodi za Watanzani, Mikataba feki ya madini ambayo yanawanufaisha Wageni kuliko Wazawa na Taifa, Richimond & Dowans, EPA, KAGODA na majanga mengine yanayo iandama Nchi Yetu Nimekuwa nikijiuliza kuwa huyu KIKWETE NI JANGA LA TAIFA na kutuletea haya Matatizo yote halafu ni Jeuri anakebehi na kauli za kukejeli kwa wananchi, Speech zake zipo Hopeless kama yeye Mwenye alivyo. Kwa nini hajiuzulu? Nisaidieni wana JF:A S 13:
 
Tuliambiwa wakati wa Kampeni za Uchaguzi Mkuu ya kuwa..."Kuichagua tena Serikali ya CCM na JK ni kukikaribisha Kiama" na sasa kila Mtanzania anaona hilo, aliyeichagua CCM na wale waliozembea kulinda KURA zao.

Mauji kila mara, bei ya bidhaa muhimu juu, nauli juu, madawa hospitali na Zahanati hakuna ILA asante za 90m @ Mbunge Zipo.

Nadhani next time watanzania wote tutashirikiana kulinda KURA zetu.
 
Nguvu ya Umma ndio suluhisho ya haya Matatizo tulionayo Tumeshachoka na ujinga wa Mafisadi kama wakina Kikwete. Tusimame pamoja Watanzania wenzangu na kuungana katika kipindi hiki kigumu tulichoingizwa na Mafisadi.
 
UKITUMIA AKILI HUTAMWELEWA kamwe! TUMIA NGUVU, Mkuu , si unajua JK ni mjeshi. Wanamwelewa makamanda wanzake- kina makamba, Chiligati. Mkuchika, Kinana, Kamwambi,Simbakalia.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom