Serikali ya CCM Mei Mosi mmejifanya wajanja, tutawanyoosha Uchaguzi Mwakani

Bush Dokta

JF-Expert Member
Apr 11, 2023
12,986
21,911
Kila mbuzi hula kwa urefu wa kamba yake.

Mwaka huu Mei Mosi tena imepita hola.

Wafanyakazi madai yao mmetuona kama nyama ya Nyongeza.

Sasa nasisi tunajua pakushika. Tutaoneshana Umwamba Uchaguzi ujao.

Kama mmeona hatuna thamani basi hata kura zetu hamtaziona.
 
Kwa upinzani gani uliopo nchini wa kuchukua nchi?
Wamefundishwa mchezo mchafu uchaguzi wa 2020 wamegundua kuwa wanaweza kushinda uchaguzi hata bila ya kuchaguliwa ndio maana unaona mei mosi ya kuelekea uchaguzi mkuu lakini hawana hata wasiwasi, hakuna ajira mpya, hakuna nyongeza ya mishahara wala kupanda madaraja

Miaka ya nyuma mei mosi kama hizi za kuelekea uchaguzi huwa ni neema
 
Hii nchi tumerudi nyuma sana
 
  • Thanks
Reactions: G4N
Back
Top Bottom