Serikali 'tukufu' ya Mh. JK inashambuliwa kila kona...!

That is true

Didn't vote for jk I made a mistake during 2005. Never ever again
 
That is true

Didn't vote for jk I made a mistake during 2005. Never ever again

You're one among millions who didn't vote for JK, even within the ruling party many didn't vote for him! But, those who dare attack openly are the ones who disturb him most, so keep on the fire burning till he goes down like many before him. Aluta Continua!
 
Give me a break please.............!!!!!!! serikali tukufu?? utukufu wake uko wapi????? .....you are not serious kama alivyo huyo Kikwete wako!!

  • wanaong'ang'ania madaraka ( wamechakachua ili wabaki ikulu/wamekatalia umeya wa Arusha, Mbeya, Kigoma nk) ndio unawaita watukufu?
  • Wanaotapeli kupitia Dowans ndio watukufu?
  • Wanaoua wananchi wao wanaodai haki badala ya kuwalinda na mali zao ndio watukufu?
  • Wanaoziba masikio na kufanya usanii wakati wananchi wanadai haki zao za kikatiba ndio Watukufu?
  • Wanao ongoza nchi bila dira wala utashi wa wanao ongozwa ndio unawatetea na kuwaita watukufu?
  • .........mapungufu yao ni mengi na wala hawastahiki hata kuitwa viongozi wetu!!!!

Hiyo mdau wala usipate jazba kuitwa serikali tukufu.. hakuna tusi kubwa kama ukajijua kabisa wewe ni muovu halafu unaitwa mtakatifu. Kwa hiyo ni kejeli tuu jamaa alikua anamaanisha.. Hakuna mwenye akili timamu asivyoijua serikali hii ilivyo dhalimu!
 
Daaaa ningekuwa mimi ndo Kikwete ninge Re-think. Then nahisi kuna hatua ingine ningeichukua baada ya ku Re-think.
 
Du Hapo tusubiri 2015 kwani kelele za mlango hazimzuii mwenye nyumba kulala
Uwanja wa Jamhuri walimuelewa aliposema Dowans hawatalipwa
Pia UDOM walikuwepo kwa hiyo wanaotumia facebook na mitandao kumuondoa kipenzi cha wengi watulie :A S thumbs_down:
 
Attachments

  • CCM2.JPG
    CCM2.JPG
    22.7 KB · Views: 39
  • UDOM.JPG
    UDOM.JPG
    23.8 KB · Views: 37
Du Hapo tusubiri 2015 kwani kelele za mlango hazimzuii mwenye nyumba kulala
Uwanja wa Jamhuri walimuelewa aliposema Dowans hawatalipwa
Pia UDOM walikuwepo kwa hiyo wanaotumia facebook na mitandao kumuondoa kipenzi cha wengi watulie :A S thumbs_down:

Ukwaju, wanaotumia mitandao kama JF, Facebook, Youtube, nk. ni asilimia ndogo mno kuweza kusababisha JK aondoke madarakani. Kiukweli watz wamefunguka kwa kwenda mbele wala si kurudi nyuma, hvyo JK ataondolewa madarakani na sisi wananchi wazalendo wa taifa hili. Wako wachache kama wewe wanaofaidika na utawala wa JK, ila majority tunataka ang'oke fasta kabla ya 2015. Wanajeshi kama mpo online, hima hima!
 
When putting out propaganda, and this is propaganda, one must always make sure he himself does not believe it. Humu JF hakuna tena analysis kilichopo ni propaganda tena zakipuuzi kweli kweli. Nyie watu acheni bangi. Kama mnataka kupiga hatua, hakikisheni propaganda zenu zinaendana na ukweli. This thread is nonsense.
 
The so called kinyambiss (what a hitch!), by definition propaganda is a way of manipulation whereby, a certain class of people is made to believe in what the machinery doing the propaganda knows it's false. On the contrary, saying that JK's government is being attacked left, centre and right is not a propaganda but merely a fact. Those who cling by JK's side are the most beneficial of the present regime, is this propaganda? Wake up now, or sleep forever!
 
Daaaa ningekuwa mimi ndo Kikwete ninge Re-think. Then nahisi kuna hatua ingine ningeichukua baada ya ku Re-think.
Kikwete hana uwezo wa kufikiria hayo unayofikiria!
 
Hali inazidi kuwa mbaya kwa serikali ya jk, hasa kufuatia milipuko ya mabomu huko gongolamboto. Hatimaye mabomu nayo yamesalimu amri na kuingia katika list ndefu ya mashambulizi dhidi ya serikali ya jk!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom