Mleta thread nafikiri ana matatizo ya ku-analyse issues na ndio maana anachukua vitu na kuviweka pamoja kiasi kwamba the story sounds vague. Utakapotaka kuandika tena tro any to be objective in your presentation. Lakini jambo linahusu utesaji wa mtu mpaka katika hali ya kufa sio la kuwekea propaganda, ushabiki na upenzi uliopitiliza. Umetanguliza mambo hayo ambayo ni kinyume cha uandishi wa aina yoyote and hence to any sensible man your barbaric, uncounth, inhuman, tragic and a killer not worthy living in the community of human beings but in the hyenas. Kama umetumwa kuandika madudu watafute maana wataaalamu wakufundishe namana ya kuandika na nenda kajifunze utu maana huna cha kupoteza isipokuwa uhayawani