Serikali rudisheni hospitali za makanisa mjenge zenu!

Bangoo

JF-Expert Member
Nov 3, 2011
5,597
1,005
Tangu dunia imeumbwa wamisionari wa kikristo kutoka ulaya walikuja na kujenga huduma mbali mbali za kijamii kwa kushirikiana na makanisa mbalimbali. Walijenga shule, hospitali makanisa, na kadhalika, walipoondoka waliwaachia madhehebu mbali mbali ya kikristo. Serikali ya awamu ya kwanza iliamua kuzitaifisha kwa manufaa ya umma, lakini wakristo hawakuacha mtindo wao wakujenga huduma za jamii! Waliendelea na mtindo ule ule walioacha wakoloni wa kikristo,

Serikali haikuweza kujenga huduma za jamii badala yake walianza kuomba ushirika na taasisi za kikristo baada ya wao kushindwa kujenga,

Malalamiko ya waislam kwamba serikali inawapa kanisa hela yanatoka wapi Wakati serikali yenyewe ndo inaenda kuomba ubia ktk taasisi za kikristo?

Serikali ianze mkakati wa kujenga huduma zake na zile za makanisa wajitoe ili hawa wanaolalamika waache.

Tukumbuke kuwa mkoloni wa kiarabu hakuwa na mpango wa kujenga huduma za jamii zaidi ya misikiti na madrasa!
 
Ktk taarifa ya habari ya itv kanisa la kkt mtoni wamezindua kituo cha afya kipya!
 
Kurudisha itakuwa ujinga, waislam wanatakiwa watoe hoja ya msingi na sio hoja za chuki na kibinafsi,

Je hospitali zinabagua? Je shule zinabagua? Je fedha zinazopelekwa zinatumika kinyume na maazimio? Tunatakiwa tujadili namna ya kuboresha na sio kuangamiza.
 
Waambie kwanza wamissionari warudishe dhahabu na rasilimali zetu nyingine kwanza walizoiba kwa kutudanganyia dini na pia wapandishwe mahakamani kwa manyanyaso na mauaji ya babu zetu hapo nitaungana mkono na wewe.
 
Maneno kama haya ndio yanadhihirisha wazi kwamba tuna jamii mbili tofauti baina ya Wakristu na Waislaam..Hivyo, serikali haiwezi kuepuka tofauti hizi za kimawazo hasa pale wakristu wanapoomba mali zao kama halali yao wao na wazungu waliowaletea maendeleo. Hivyo ipo haja na sababu kubwa kwa serikali kuhakikisha inatoa equal opportunity kwa jamii zake na sio kuipendelea mojawapo.
 
Warudishe kwanza dhahabu zetu almasi watulipe fidia kwa kuendesha biashara ya utumwa, halafu tupige hesabu pesa ya MoU mrudishe na riba ya 50%.
 
Waambie kwanza wamissionari warudishe dhahabu na rasilimali zetu nyingine kwanza walizoiba kwa kutudanganyia dini na pia wapandishwe mahakamani kwa manyanyaso na mauaji ya babu zetu hapo nitaungana mkono na wewe.
Waliochukua dhahabu yenu si wamishenari, ni wakoloni. Anzia kwa Malkia Elizabeth ambaye nasikia alipewa bonge la almasi ambalo halijawahi kuonekana duniani. Wamishenari wengi niliowafahamu wameondoka Tanganyika/Tanzania wakiwa fukara kama walivyokuja. Kwa hiyo hii dhana kwamba wamishenari walikuja kuiba dhahabu ni dhana potofu. Walioiba dhahabu ni wakoloni. Nikiwa bado kwenye ukurasa huo huo, tuwaadhibu wale waliowachukua babu zetu utumwani na kuwakata makende wasijezaana Arabuni.
 
Warudishe kwanza dhahabu zetu almasi watulipe fidia kwa kuendesha biashara ya utumwa, halafu tupige hesabu pesa ya MoU mrudishe na riba ya 50%.

mbona waliochukua babu zetu na kuwauza kama mbuzi, waliiba pembe za ndovu na za faru na hadi leo wanaiba+twiga hai, na hawajajenga chochote.Bado hamuwezi waambaia warudishe?naona shida si kutawaliwa bali nani kakutawala?Tofauti yetu ni kati kama ya mbingu na ardhi.
 
Waliochukua dhahabu yenu si wamishenari, ni wakoloni. Anzia kwa Malkia Elizabeth ambaye nasikia alipewa bonge la almasi ambalo halijawahi kuonekana duniani. Wamishenari wengi niliowafahamu wameondoka Tanganyika/Tanzania wakiwa fukara kama walivyokuja. Kwa hiyo hii dhana kwamba wamishenari walikuja kuiba dhahabu ni dhana potofu. Walioiba dhahabu ni wakoloni. Nikiwa bado kwenye ukurasa huo huo, tuwaadhibu wale waliowachukua babu zetu utumwani na kuwakata makende wasijezaana Arabuni.

Ni ngumu kutenganisha Muarabu na Uislam ila ni rahisi kutenganisha Wamisionary na Wakoloni(mabepari)."Ya kaisari mpe kaisari na ya Mungu mpe Mungu".Pengine ni kwa makusudi au kutojua watu wamekuwa wakiishikilia hii dhana kuwa wote ni wamoja.Na hii imewapa "cover" watu wa Asia na Arab civilization, kiasi cha hawa jamaa kuendeleza haya yote tunayoyakataa na kuyakemea tukidhani yanafanywa na watu wa magharibi huku hawa jamaa wa mashariki wakiwa na "blank cheque" ya kutufanyia chochote.Wachina wanaiba kila nchi waingiao ya kiafrica, wanaishi katika worshopo na magodown, wananunua kila kitu kilichopigwa marufuku, waarabu wanachukua wanyama na waliobaki wanaua wapendavyo..ila hawagusiki bila kutishia na kauli kuwa "ukoloni mamboleo,sijui na nini".
 
Waliochukua dhahabu yenu si wamishenari, ni wakoloni. Anzia kwa Malkia Elizabeth ambaye nasikia alipewa bonge la almasi ambalo halijawahi kuonekana duniani. Wamishenari wengi niliowafahamu wameondoka Tanganyika/Tanzania wakiwa fukara kama walivyokuja. Kwa hiyo hii dhana kwamba wamishenari walikuja kuiba dhahabu ni dhana potofu. Walioiba dhahabu ni wakoloni. Nikiwa bado kwenye ukurasa huo huo, tuwaadhibu wale waliowachukua babu zetu utumwani na kuwakata makende wasijezaana Arabuni.
Hilo bonge la almasi alilitoa na au Kambarage?
 
Sesikali ijipange kuacha kutegemea kanisa kutoa huduma badala yake nao wajipange
 
Hayo mavyuo na mahospitali za waislam yaliyochukuliwa unaweza kunitajia!
 
Udini Udini udini na kibaya zaidi kila mmoja wenu anatazama bwana wake yaani hapa kuna wanaowalinda wazungu na wengine waarabu..Yaani Miafrika ndivyo tulivyo inajionyesha wazi ktk mada hii na sijui kama kweli tutakuja kuendelea.. Maneno ya Nyani Ngabu kuwa ndivyo tulivbyo, hakika yana ukweli mkubwa sana..Naanza pia kuamini maneno ya JingalaFalsafa kuwa UBEPARI una chembe chembe za UBEBERU (imperialism).
 
Last edited by a moderator:
Ubaya wa waarabu wananyonya hawaachi hata chembe!
Heri ya mkoloni wa kizungu kuliko mkoloni wa kiarabu!
 
Tangu dunia imeumbwa wamisionari wa kikristo kutoka ulaya walikuja na kujenga huduma mbali mbali za kijamii kwa kushirikiana na makanisa mbalimbali. Walijenga shule, hospitali makanisa, na kadhalika, walipoondoka waliwaachia madhehebu mbali mbali ya kikristo. Serikali ya awamu ya kwanza iliamua kuzitaifisha kwa manufaa ya umma, lakini wakristo hawakuacha mtindo wao wakujenga huduma za jamii! Waliendelea na mtindo ule ule walioacha wakoloni wa kikristo,

Serikali haikuweza kujenga huduma za jamii badala yake walianza kuomba ushirika na taasisi za kikristo baada ya wao kushindwa kujenga,

Malalamiko ya waislam kwamba serikali inawapa kanisa hela yanatoka wapi Wakati serikali yenyewe ndo inaenda kuomba ubia ktk taasisi za kikristo?

Serikali ianze mkakati wa kujenga huduma zake na zile za makanisa wajitoe ili hawa wanaolalamika waache.

Tukumbuke kuwa mkoloni wa kiarabu hakuwa na mpango wa kujenga huduma za jamii zaidi ya misikiti na madrasa!
Sisi waislam wa Tanzania ni watu wa mwisho kabisa duniani. Hata akili ile ya kufikiri hatuna tumeoshwa brain na waarabu na tunajiona wa maana kumbe mazuzu. Hata tukipewa urais tunadhibitisha tu kuwa DHAIFU. Je ni nini tunaweza zaidi ila kueneza chuki na ujinga eti wakristo wafukuzwe. Mbona sisi tusifukuziwe huko Uarabuni tunakojinunia?
 
kurudisha serikali itadhalilika sana maana 50% ya hospital nchini ziko chini ya dini na pia hata vyuo na secondary zinazo perform vizuri ni za kidini kwa kifupi serikali haijajipanga kuendeleza shule zake
 
Back
Top Bottom