Serikali rudisheni hospitali za makanisa mjenge zenu!

Warudishe kwanza dhahabu zetu almasi watulipe fidia kwa kuendesha biashara ya utumwa, halafu tupige hesabu pesa ya MoU mrudishe na riba ya 50%.

Hivi walioendesha utamwa kwa sana ni wazungu au waarabu ?
 
Warudishe kwanza dhahabu zetu almasi watulipe fidia kwa kuendesha biashara ya utumwa, halafu tupige hesabu pesa ya MoU mrudishe na riba ya 50%.

Hvi Sultani hakuwahi kabsaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa kufanya biashara ya watumwa?

Wamissionari ndio walianzisha, kuendeleza au kupinga biashara ya watumwa? Nijulisheni mazeeeeeeeeeee!
 
Back
Top Bottom