Serikali na Hatima ya ATCL

Poleni sana nyie mlionusurika. Sijui kwanini festive season kuna kuwa na ajali nyingi sana. I prefer to drive on my own than using public transport during this season.

Hili la delays imekuwa too much jamani. Its like they do it everyday for every flight. The other day tulikuwa Dar flying to Kilimanjaro and our flight was delayed for four hours kwasababu za kiutendaji. Naomba muelewe hapo kwamba sio sababu za kiufundi, bali sababu za kiutendaji. Thats what they kept announcing for four hours.
 
haya hii mitumba itatumaliza....Mungu apeshilie mbali maaafa. Mambo ya 10%
 
Tukistaajabia ya Musa tutayaona ya Firauni! Kweli, Mattaka si alishindwa kuindesha PPF akaondolewa kistaarabu kwa ubadhirifu? Sasa iweje apewe dhamana ya kuendesha shirika lingine? Granted matatizo ya ATCL yalianza zamani kabla yake lakini sasa yeye ndio alitakiwa kuiturn around? Ish!
 
Alijitahidi kuibadilisha kidogo na kujenga zile towers pale mjini. Lakini aliondolewa kwa tuhuma za ufisadi na yeye. Aliiba sana mpaka Ben akachukia. Sifa nyingine inadaiwa jamaa ni mharibifu kwa watoto wa watu especially suala la kuchimba mbolea. Kuna tetesi ambazo sina uhakika nazo kuwa aliwahi kumiliki bendi ya Muziki iliyoitwa Beta Musica au Bana Beta na kuwa na mahusiano yasiyofaa na mwanamuziki wa DRC aitwaye DEFAO. Sitaki kumdhalilisha jamaa lakini lazima ikumbukwe kuwa lisemwalo lipo.
 
Matatizo ya serikali za kiafrika, Tanzania ikiwemo ni hayo, hawachukui hatua zipasazo mpaka janga litokee!!Touch wood Mungu apishe mmbali. ATCL needs finanacing, viongozi mpaka Pinda juzi alipokutana na wahariri amerudia wimbo huo huo wa nia ya kuikomboa ATCL lakini nothing doing!!what a shame, wanangoja mpaka ajali itokee kama MV BUKOBA ndio wazinduke. I am not even sure kama hizi ndege zao ni insured. The regulator should intervene and stop ATCL from operating immediately otherwise we are courting disaster here.
 
Ndege ilikuwa katika kasi ya kuruka, ghafla abira mmoja mwanamama akaona kuwa tairi likuwa linawaka moto, akapiga kelele. Abiria wenzake walioona wakaungana naye na bahati nzuri pilot alifanikiwa kuisimamisha ndege na zimamoto wakawahi kuzima moto.

Ajali hii ilitokea majira ya kati ya saa 8 na 9 alasiri hii. Lakini, abiria niliyezungumza naye anasema tangu walipoondolewa kwenye ndege na kuwekwa kwenye vyumba vya kusubiria, hakuna ofisa yeyote wa ATCL aliyekwenda kuwajulisha lolote zaidi ya kuelezwa kuwa hawatasafiri leo.

Anasema hawajapewa chakula cha mchana licha ya kuwa waliripoti uwanjani saa 4 na safari yao kusogezwa mbele wala hawajataarifiwa watalala wapi.

Hii si siasa, nimeiweka hapa with a view kuwa kutokana na unyetiw ake ndipo itakapoonwa na wengi kwa muda mfupi. Mods can do the transering when they deem fit.
Naomba kuwasilisha

Mkuu heshima mbele
Je ni ndege ipi iliyopata masahibu hayo Airbus au vile vidogo
 
Poleni sana nyie mlionusurika. Sijui kwanini festive season kuna kuwa na ajali nyingi sana. I prefer to drive on my own than using public transport during this season.

Hili la delays imekuwa too much jamani. Its like they do it everyday for every flight. The other day tulikuwa Dar flying to Kilimanjaro and our flight was delayed for four hours kwasababu za kiutendaji. Naomba muelewe hapo kwamba sio sababu za kiufundi, bali sababu za kiutendaji. Thats what they kept announcing for four hours.

Still u need to VER CAREFULLY, kwenye ajali zote sio madereva wote wa makosa, kuna msababishaji na msababishwaji (if niko correct) unaweza kundesha safe lakini ukakutana na vichaa
 
Hiyo midege ya ATCL ni bomu kusema kweli. Ila mwenzenu mnipe pole maana ofisini kwetu wanataka kila ukisafiri kikazi utumie ATCL utadhani wana share humo kama ukitumia precision ni ugomvi kiasi kwamba sijui sababu ni nini?! Mie siwapendi hao ATCL huduma zao zimezorota pamoja na kuingia ubia na makaburu na hata sasa wachina nao wataingia lakini kusema ukweli ndege zao zimechoka kabisaa.

Poleni sana mlionusurika. Mungua alikuwa hajawapenda sana ndio maana alimfunulia huyo mama kuona hiyo ajali.
 
Pole zao, lakini si watu walishaarifiwa kuwa ndege hizi zimechoka sana? Si mara ya kwanza kusikia incidences za namna hii...

RIP ATCL

Unawapa pole ya nini? wangekuwa na akili timamu ndege za ATCL ni majeneza yenye uwezo wa kupaa
 
Mkuu heshima mbele
Je ni ndege ipi iliyopata masahibu hayo Airbus au vile vidogo

Ni Kale ka Dash 8 Mkuu. Mi sasa hivi ATCL hata ukinipa ticket ya bure na Laki 5 za kula happy nikifika Mwanza sipandi. Bora Precision wana videge vipya ATR 72, vizuri hivyo ndani halafu ni vipya kabisa.
 
Bora Precision wana videge vipya ATR 72, vizuri hivyo ndani halafu ni vipya kabisa.

una uhakika?????????????unacho **kinena***????????
 
The beginning of the end...

Cash-strapped Air Tanzania Co Ltd (ATCL) may be suspended from the International Air Transport Association (IATA) this month after being found with 500 safety glitches, The Guardian on Sunday has learnt.

The IATA is an international trade body created 60 years ago by a group of airlines to represent, lead and serve the airline industry at large.

Today, the IATA represents about 230 airlines comprising 93 per cent of scheduled international air traffic.

Being dropped from the association would seriously affect the troubled airline`s bid to revive its shrinking market share regionally and internationally.

According to well-placed sources at ATCL, IATA reached its decision after the airline failed to rectify 500 safety problems identified by international safety auditors last October.

After conducting the safety audit, the IATA issued a one-year ultimatum to ATCL, which expired this November, for the latter to clear all pending safety issues.

Speaking to The Guardian on Sunday this week, an ATCL pilot, who declined to be named citing the sensitivity of the matter as well as the security of his job, said that after December 31, the troubled airline will be suspended from the IATA immediately.

According to the source, ATCL was found to poor documentation of its ongoing safety issues, raising concern on whether the management was serious about improving the safety of its flights and protecting its passengers` wellbeing.

``As we are talking now, ATCL has failed to update its safety manual and they are time barred,`` the pilot said. ``They can`t fix the problem in the next few weeks.``

ATCL Chief Executive Officer David Mattaka said his airline was ``working very hard`` to ensure that they are not suspended from IATA membership at the end of the month.

Mattaka admitted, however, that ATCL had been found with 500 safety glitches during the safety auditing conducted about a year ago.

``We are not alone; a number of airlines have been given the ultimatum by December 31, this year�this is the fact,`` the CEO told The Guardian on Sunday yesterday.

Mattaka said the company was alarmed by the situation and that it had contracted a team of experts this month to fix the safety glitches and update ATCL safety manuals.

Mattaka would not identify the experts, nor explain why the team was hired just this month when the safety problems have been known for a year.

He refused to give additional details on the work being done beyond saying that the team was ``working very hard.``

According to IATA regulations, safety is the promise the aviation industry makes to the billions of people who fly annually.

The IATA is committed to consistent improvement in safety and has crafted a six-point safety programme to ensure that safety goals are met by all of its members.

The IATA also focuses on security to prevent voluntary harmful acts and acts of unlawful interference.

The IATA`s main objective in security is to ensure that international security requirements are mutually accepted between states.

Double misfortunes
ATCL`s safety problems are the latest hit for the already troubled airline, whose profits and reputation have been compromised in recent months by a lack of proper strategic planning and recurrent financial woes.

Since June, ATCL has lost about 60 percent of its market share in both domestic and regional routes, with routes between Dar es Salaam and Mwanza and Johannesburg plagued with cancellations.

In June the airline had five planes in its fleet of Boeing 737-200s, Air Buses and DC 9s, but by the end of last month only two were operating.

Air Tanzania was established in 1977 as a government airline after the breakup of East African Community.

It flew first with Boeing 737-200s and Fokker F27s before adding a Twin Otter to its fleet for smaller domestic flights.

In the mid-1990s, the airline leased an Ethiopian Airlines Boeing 767 but soon stopped using the plane.

Around the same time, regional services were reduced and Twin Otter service was also stopped.

In February 2002, the government began the process of privatising ATCL through the Presidential Parastatal Sector Reform Commission (PSRC).

Air Tanzania Company Limited (ATCL), a limited liability company, was established under the Companies Act to take over the operating assets, and specified rights and liabilities of ATC, as well as the creation of a new company, Air Tanzania Holding Company (ATHCO), to take over the non-operating assets and all other liabilities of ATC.

South African Airways was the winning bidder and in December 2002, after signing an agreement with the government, it bought a 49 percent stake in ATC for $20m - $10m as the value of the shares and the remaining $10m for the Capital and Training Account for financing its proposed business plan.

SAA planned to create its East African hub in Dar es Salaam to form a ``Golden Triangle`` between Southern, Eastern and Western Africa. It had also intended to replace ATC`s fleet with Boeing 737-800s, 737-200s and 767-300s.

But on March 31, 2006, the Tanzanian government announced that ATCL had accumulated a loss of 24.7bn/- in four years, with the Tanzania Civil Aviation Authority (TCAA) saying : ``Air TanSouth African Airwayszania was in a worse state than before it was taken over by SAA``.
 
Heshima mbele wakuu.... eeeh, naona ATCL kweli kama IATA wamewakuta na matatizo/mapungufu 500 nasi kwa kujipa moyo tunajitetea kuwa hatuko wenyewe na ndio tunajitahidi kurekebisha, kweli kazi ipo pale mahali.......

Alisema mkuu M.M.M kwamba kuna mengi pale ndani, je kama kuna makosa ya kisalama 500 kwenye kashirika kenye vindege chini ya 5..... roughly kila ndege itakuwa na makosa/matatizo 100 (generaly), kweli tutafika??

ATCL found with 500 safety faults

2008-12-07 12:20:21
By Staff Reporter

Cash-strapped Air Tanzania Co Ltd (ATCL) may be suspended from the International Air Transport Association (IATA) this month after being found with 500 safety glitches, The Guardian on Sunday has learnt.

The IATA is an international trade body created 60 years ago by a group of airlines to represent, lead and serve the airline industry at large.

Today, the IATA represents about 230 airlines comprising 93 per cent of scheduled international air traffic.

Being dropped from the association would seriously affect the troubled airline`s bid to revive its shrinking market share regionally and internationally.

According to well-placed sources at ATCL, IATA reached its decision after the airline failed to rectify 500 safety problems identified by international safety auditors last October.

After conducting the safety audit, the IATA issued a one-year ultimatum to ATCL, which expired this November, for the latter to clear all pending safety issues.

Speaking to The Guardian on Sunday this week, an ATCL pilot, who declined to be named citing the sensitivity of the matter as well as the security of his job, said that after December 31, the troubled airline will be suspended from the IATA immediately.

According to the source, ATCL was found to poor documentation of its ongoing safety issues, raising concern on whether the management was serious about improving the safety of its flights and protecting its passengers` wellbeing.

``As we are talking now, ATCL has failed to update its safety manual and they are time barred,`` the pilot said. ``They can`t fix the problem in the next few weeks.``

ATCL Chief Executive Officer David Mattaka said his airline was ``working very hard`` to ensure that they are not suspended from IATA membership at the end of the month.

Mattaka admitted, however, that ATCL had been found with 500 safety glitches during the safety auditing conducted about a year ago.

``We are not alone; a number of airlines have been given the ultimatum by December 31, this year?this is the fact,`` the CEO told The Guardian on Sunday yesterday.

Mattaka said the company was alarmed by the situation and that it had contracted a team of experts this month to fix the safety glitches and update ATCL safety manuals.

Mattaka would not identify the experts, nor explain why the team was hired just this month when the safety problems have been known for a year.

He refused to give additional details on the work being done beyond saying that the team was ``working very hard.``

According to IATA regulations, safety is the promise the aviation industry makes to the billions of people who fly annually.

The IATA is committed to consistent improvement in safety and has crafted a six-point safety programme to ensure that safety goals are met by all of its members.

The IATA also focuses on security to prevent voluntary harmful acts and acts of unlawful interference.

The IATA`s main objective in security is to ensure that international security requirements are mutually accepted between states.

Double misfortunes
ATCL`s safety problems are the latest hit for the already troubled airline, whose profits and reputation have been compromised in recent months by a lack of proper strategic planning and recurrent financial woes.

Since June, ATCL has lost about 60 percent of its market share in both domestic and regional routes, with routes between Dar es Salaam and Mwanza and Johannesburg plagued with cancellations.

In June the airline had five planes in its fleet of Boeing 737-200s, Air Buses and DC 9s, but by the end of last month only two were operating.

Air Tanzania was established in 1977 as a government airline after the breakup of East African Community.

It flew first with Boeing 737-200s and Fokker F27s before adding a Twin Otter to its fleet for smaller domestic flights.

In the mid-1990s, the airline leased an Ethiopian Airlines Boeing 767 but soon stopped using the plane.

Around the same time, regional services were reduced and Twin Otter service was also stopped.

In February 2002, the government began the process of privatising ATCL through the Presidential Parastatal Sector Reform Commission (PSRC).

Air Tanzania Company Limited (ATCL), a limited liability company, was established under the Companies Act to take over the operating assets, and specified rights and liabilities of ATC, as well as the creation of a new company, Air Tanzania Holding Company (ATHCO), to take over the non-operating assets and all other liabilities of ATC.

South African Airways was the winning bidder and in December 2002, after signing an agreement with the government, it bought a 49 percent stake in ATC for $20m - $10m as the value of the shares and the remaining $10m for the Capital and Training Account for financing its proposed business plan.

SAA planned to create its East African hub in Dar es Salaam to form a ``Golden Triangle`` between Southern, Eastern and Western Africa. It had also intended to replace ATC`s fleet with Boeing 737-800s, 737-200s and 767-300s.

But on March 31, 2006, the Tanzanian government announced that ATCL had accumulated a loss of 24.7bn/- in four years, with the Tanzania Civil Aviation Authority (TCAA) saying : ``Air TanSouth African Airwayszania was in a worse state than before it was taken over by SAA``.

SOURCE: Sunday Observer
 
Do they need a bailout package pia ? Je Serikali inaweza ikiwa hivyo ama ndiyo hivyo tena ?
 
Kampuni hii imekuwa bailed out throughout since 1977. Sasa sijui unazungumzia bail ipi tena. Ni bora tuliuze kampuni maana uwezo wa uliendesha hatuna. Lipo kwa ajili ya prestige tu na ulaji wa wenyenchi.
 
Some terrible stuff. Ngoja tusubiri ndege itue juu ya nyumba za watu ndio turekebishe makosa. That's our nature. Isn't it? Always reactive and never proactive.
 
Back
Top Bottom