Mpita Njia
JF-Expert Member
- Mar 3, 2008
- 6,997
- 1,163
Hivi kwa nini Precision isipewe ATCL iiendeshe?
Mkuu Kite...,
That being said nadhani Mkuu Matakka inabidi afikirie majibu yake tena in the future!!!
Naomba kuwakilisha!!
Mattaka is deaf and cant foresee, ATCL are always asking for booster cash from tax payers but at the end they proof to be dead horse,Why this several times??? simple answer is Mattaka friendship to muungwana and ATCL management failure
Mwanakijiji wewe ni mtu makini sana ni lazima uzungumze ukiwa na facts sio unazi!! ATCL haijapewa hata senti tano na serikali toka ndoa yao na SAA ivunjike sasa hizo senti wanakwapua wakina Mattaka zinatoka wapi? Toka mangement hii iingie na board yake mpya wamekuwa wakijitahidi kuhahkikisha ndege zinaruka bila msaada wowote wa serikali walioahidiwa!! Render to CEASAR what is SEASAR'S
Ndege ilikuwa katika kasi ya kuruka, ghafla abira mmoja mwanamama akaona kuwa tairi likuwa linawaka moto, akapiga kelele. Abiria wenzake walioona wakaungana naye na bahati nzuri pilot alifanikiwa kuisimamisha ndege na zimamoto wakawahi kuzima moto.
Ajali hii ilitokea majira ya kati ya saa 8 na 9 alasiri hii. Lakini, abiria niliyezungumza naye anasema tangu walipoondolewa kwenye ndege na kuwekwa kwenye vyumba vya kusubiria, hakuna ofisa yeyote wa ATCL aliyekwenda kuwajulisha lolote zaidi ya kuelezwa kuwa hawatasafiri leo.
Anasema hawajapewa chakula cha mchana licha ya kuwa waliripoti uwanjani saa 4 na safari yao kusogezwa mbele wala hawajataarifiwa watalala wapi.
Hii si siasa, nimeiweka hapa with a view kuwa kutokana na unyetiw ake ndipo itakapoonwa na wengi kwa muda mfupi. Mods can do the transering when they deem fit.
Naomba kuwasilisha
Ni kweli na hali si nzuri ki-anga;
Tumebaki mwanza hadi kesho na ni kweli delays and poor information sharing kwasababu hata staff wa ATC walihitaji kuwasilisha chenye uhakika na hawakuwa na uhakika. Cha maanA watu wamepona tena... ILA SINA HAKIKA KAMA TUNA MUDA MREFU KABLA YA JANGA ...NI MFULULIZO WA ALMANUSRA KWA MWAKA SASA. HALI SI NZURI WAJAMENI
WALE STAFF WA MWANZA WANAJUTAHIDI SANA KWA UWEZO WAO LAKINI WHAT DO YOU EXPECT IKIWA WAO PIA HAWAJUI KESHO ITAKUA VIPI?
TUMERUDI MJINI NA TUNAKULA ZE KICK KINAFIKI