kimsboy
JF-Expert Member
- Oct 17, 2016
- 9,000
- 17,909
Kila mtu anaweza kuwa na mema yake au mazuri yake lakini kwa kumbukumbu ya kifo mpaka anakuja kukata roho mwendazake alipitia mateso makubwa sana.
Mimi kinachoniumiza zaidi ni unafiki, na uzandiki kwa hao waliokua wanajidai wanampenda JPM kumtelekeza na hata kushindwa kumlinda na kumuacha afe kwa mazingira yenye utata
Walioumizwa na JPM wanapaswa kumsamehe lakini wasisahau.Lakini mbali ya yote kulikua na uzembe mkubwa juu ya kifo cha huyu jamaa, mimi sikua mfuasi wake wala simkukubali lakini naona kuna uzembe fulani hivi ulifanyika aidha kwa kudhamiria au kutodhamiria.
Ninajikaza kuandika hivi najua waloumizwa na tuloumizwa kwenye utawala wake tupo na yalitokea maovu mengi sana lakini najikaza kusema kweli kuwa "Ni aibu kwa nchi kumuacha kiongozi anakufa kizembe namna ile, ule ulikua ni uzembe".