Serikali kuja na kifurushi cha gesi ya kupikia cha Sh 500 au 1,000 ili Mtanzania anunue gesi badala ya mkaa na kuni

Ndo makamba amekutuma huku jf na hiyo kampun yenu ya ktapeli. Wakuu mspoteze muda hiyo gas ya buku huwez hata kuivisha ubwabwa nawajua sn hawa. Kumbe mna ubia na makamba na mnataka kupumbaza watz kwmb ni mradi wa serikali ili mpate tender we makamba we makamba wewe ccm ccm ccm nimewaita mara 3 maji tu na madawati zaid ya miaka 60 mmeshndwa sembuse gas. Foolish kbs.
 
Boss sio vyema kutumia lugha mbaya kwa viongozi wetu. Tutumie lugha za staha ujumbe utafika tu. Au ikibidi wewe tumia lugha yoyote kwangu ila viongozi wetu tusiwaingize hapa.
 
Tena kila kitu wanataka wao,gesi,umeme wa Mwalimu Nyere dam,SGR,ccm moja milele,hivi vitu haviwezi kupikwa chungu kimoja
Mataifa yote huwa yanachanganya vyanzo vya nishati boss. Taifa linalo jielewa haliwezi kutegemea chanzo kimoja cha nishati.
 
Matumizi ya Gas Ni mazuri Sana na gharama zipo
Tatizo wanawake wa Tz wengi wajinga hawajui kupikia Gas ukiwapa Gas wanaunguza vyakula vyote so nacho kiona hapo Elimu itolewe kwanza

Pia Ni watz wachache wenye Huwezo wa kununua Gas ya 40k achilia mbali kuujaza mtungi.

Ebu shusheni Bei ya Mafuta ya Taa huko ndo watanzania wapo Affordable

Au Toeni Elimu kubwa kwa watu kuhusu faida za kutumia Gas
Then mshushe price Angalau iwe Kati ya 30K mtungi complite na kuujaza iwe 10k !
 
Elimu itolewe kuhusiana na athari za uharibifu wa mazingira lakin pia elimu pia itolewe kuhusiana na utumizi wa gesi. Hii kitu inasumbua sana jamii juzi nliona mtu akitikisa mtungi wa gesi ili kufahamu kiwango Cha gesii hii ni changamoto sana.

Hivyo basi mnapokuja na mbinu zenu, msiishie tu kutupa faida tupeni na hasara zake ili tujue zaidi.
 
Back
Top Bottom