Serikali iwe makini wanaofundisha watoto kupigana na kutumia silaha sijui wanajiandaa na nini

polokwane

JF-Expert Member
Dec 16, 2018
3,362
5,809
Vitengo vyetu vya usalama vifanye kazi kwa weledi msije shtuka wakati mmesha chelewa.

Shule nyingi zinafundisha watoto kupigana ngumi, Karate na kutumia silaha za jadi na baadhi wanatoa hata maelekezo ya silaha za moto huenda.

Sasa wanajiandaa na nini? Na maandalizi yao wapo very secret na mazoezi mengine wanafanyia maporini kabisa, wanajiandaa na nini hawa?

Maana unaweza dhani hizi kauli za kina Mwaipopo, na yule Sheikh wa Mwanza zinakuja kwa bahati mbaya kumbe wana uhakika wana kikosi kazi cha kupambana hivyo wanaanza choko choko.

NAWASILISHA
 
tuanze na wanaoenda gym halafu tufute mchezo wa ngumi maana hatujui wanajiandaa na nini pia.
Mnajifunza nini huko misikitini? Mnaanzaje kujifunza ngumi na karate kwenye nyumba mlizo jenga kwa ajili ya ibada na mashule kwa ajili ya masomo? Kwani ni mlizisajili kama kambi za jeshi zile? Au vyuo vya mafunzo ya kupigana? Mnajiandaa na nini nyie ndugu?
 
Vitengo vyetu vya usalama vifanye kazi kwa weledi msije shtuka wakati mmesha chelewa.

Shule nyingi zinafundisha watoto kupigana ngumi, Karate na kutumia silaha za jadi na baadhi wanatoa hata maelekezo ya silaha za moto huenda.

Sasa wanajiandaa na nini? Na maandalizi yao wapo very secret na mazoezi mengine wanafanyia maporini kabisa ,wanajiandaa na nini hawa?

Maana unaweza dhani hizi kauli za kina mwaipopo , na yule Sheikh wa Mwanza zinakuja kwa bahati mbaya kumbe wana uhakika wana kikosi kazi cha kupambana hivyo wanaanza choko choko.

NAWASILISHA
Tunamtetea Allah
 
Why hii script sio mpya?
Hii script mbona inajirudia?..
Siasa imeingizwa kidini na kibaguzi tanzania. Kuna vuguvugu linatokota kwa kasi naliona. Na watanzania tulivyo na vichwa vyepesi kubebwa kama upepo, huko tunapokwenda ni giza.

1) Maaskofu na mapari wana fitinishwa na masheikh.
2) Masheikh nao wana fitinishwa na mapadri na maaskofu.
3) Waislamu wana fitinishwa na wakristo.
4) Wakristo wana fitinishwa na waislamu.
5) Watanzania bara wana fitinishwa na Wazanzibari.
6) Wazanzibari wana fitinishwa na watanzania bara.
7) Ubaguzi wa rangi na makabila unashika kasi.
8) Vyama vya siasa vinatoa vipeperushi kuwasemea Mapadri na Masheikh.
9) Wananchi ndio wanatumiwa kama kuni kuchochea moto.
10) Wanasiasa, wanaharakati, wanasheria n.k wanachochea moto ili ya kwao yaweze kwenda mbele.

Ni hatari tupu tunapokwenda! Mw. Nyerere aliona mbali kwenye ile speech yake ya "Mimi Mzanzibari/Mimi mtanganyika/Mimi Kabila Fulani".
 
Siasa imeingizwa kidini na kibaguzi tanzania. Kuna vuguvugu linatokota kwa kasi naliona. Na watanzania tulivyo na vichwa vyepesi kubebwa kama upepo, huko tunapokwenda ni giza.

1) Maaskofu na mapari wana fitinishwa na masheikh.
2) Masheikh nao wana fitinishwa na mapadri na maaskofu.
3) Waislamu wana fitinishwa na wakristo.
4) Wakristo wana fitinishwa na waislamu.
5) Watanzania bara wana fitinishwa na Wazanzibari.
6) Wazanzibari wana fitinishwa na watanzania bara.
7) Ubaguzi wa rangi na makabila unashika kasi.
8) Vyama vya siasa vinatoa vipeperushi kuwasemea Mapadri na Masheikh.
9) Wananchi ndio wanatumiwa kama kuni kuchochea moto.
10) Wanasiasa, wanaharakati, wanasheria n.k wanachochea moto.

Ni hatari tupu tunapokwenda! Mw. Nyerere aliona mbali kwenye ile speech yake ya "Mimi Mzanzibari/Mimi mtanganyika/Mimi Kabila Fulani".
Kanisa katoliki ni kama Coca cola..
Wakala wa Vatican hapa Tanzania
Na Vatican ni Italy...
Naona wako mbele Sana kuvuruga kila kitu...Maaskofu na Padri Slaa wako mwembe Yanga kumtukana Samia na kuchochea uasi...
Na hapa JF kila baada ya masaa mawili utaona threads za chuki zinaanza kama hii
 
Wakati wanamtukana Jiwe walikua wanafanya siasa au uasi?
 
Jkt kwa mujibu wa sheria watoto wanaenda kufundishwa nini?
Wanafundishwa ukakamavu, ulinzi binafsi na taifa kwa ujumla ukitumia silaha.
Kufundisha watoto wetu na raia kwa ujumla kujilinda na kupambana dhidi ya adui yako na adui wa taifa ni jambo muhimu katika dunia hii ya ushindani.
Hata hivyo, lazima mafunzo hayo yawe kwenye udhibiti wa kisheria, kanuni na taratibu zinazoratibiwa kitaifa.
 
Back
Top Bottom