Nanren
JF-Expert Member
- May 11, 2009
- 2,451
- 2,159
kuna msikiti hapa arusha unaitwa masjid kuba,hapo kuna kijana anuza kanda na cd za dini yao lakini anachokifanya ni kuweka cd zinazokashifu ukristu wakati wote.ni wazi cd hizo waumini wao wanazipenda na bila hizo hauzi kitu.tunawashangaa viongozi wanalijuwa hili kwamba matokeo yake si mazuri huko tuendako lakini wanakaa kimya.jiulizenu wakristu nao wakaweka mambo hadharani,tanzania itakalika.si kwamba wakristu hawajui habari ya dini zingine ila wakristu wanafundishwa kuvumiliana na kuchukuliana kiubinadamu.pelekeni watoto shule acheni kuwakaririsha mabo wasiyoyaelewa matokeo yake ni kulalamika mnaonewa kila uchao.
Sasa wewe hofu yako nini?
Wanachofanya huwa kina negative effect kwao wenyewe. They are not getting any new follower by that strategy. Badala yake, ni dini nyingine tu ambazo zinatumia approach ya upole na upendo ndizo zinazofanikiwa kupata converts wengi. Kwa hiyo wewe wala usiwahofie hao. Just ignore them.