Serikali inawalinda wanaokashifu dini - Maaskofu

Ni biblia, sababu c miongoni mwa vitabu vya mungu. Kama una ushahi BIBLIA ni kitabu cha mungu toa hapa. Hivyo bac its verses are satanic verses.

foolish.. Ndio maana ww ni mfuasi wa MAREHEMU mtume muh'd..
 
Nyinyi viongozi wa Makanisa mnataka Serikali ifanye nini kwa kitu ambacho hata ushahidi haupo?,tokio la kuchomwa kanisa Zanzibar bado ni tete , hajajulikana msababishi, au ndio mwatafuta namna ya kuimrisha serikali ikamate tu watu kama mnavofanya?, kwa Zanzibar tunasema basi tena ,amri zenu toeni Makanisani sio Serikalini, ama kwa serikali yenu ya muungano sio Zanzibar.
Hapa naona emotions ndo zinaongea!!! Sikulaumu, ni makuzi yako ndo yakulaumiwa!!!!!!!
 
Ni biblia, sababu c miongoni mwa vitabu vya mungu. Kama una ushahi BIBLIA ni kitabu cha mungu toa hapa. Hivyo bac its verses are satanic verses.

foolish.. Ndio maana ww ni mfuasi wa MAREHEMU mtume muh'd..
 
Nyinyi viongozi wa Makanisa mnataka Serikali ifanye nini kwa kitu ambacho hata ushahidi haupo?,tokio la kuchomwa kanisa Zanzibar bado ni tete , hajajulikana msababishi, au ndio mwatafuta namna ya kuimrisha serikali ikamate tu watu kama mnavofanya?, kwa Zanzibar tunasema basi tena ,amri zenu toeni Makanisani sio Serikalini, ama kwa serikali yenu ya muungano sio Zanzibar.

YESU ni Mungu halafu penda usipende Quran (kulaani) in aya za shetani. Vile vile neno la Mungu linasema Kanisa litasonga mbele wala milango ya kuzimu (uislamu) haitalishinda. hahahaha!
 
Hivi chukulia misikiti 25 ichomwe moto hapo Zenj/bara hali itakuwaje si mutaandamana mwaka mzima
 
foolish.. Ndio maana ww ni mfuasi wa MAREHEMU mtume muh'd..

Du! jamani yamefikia huku? wadau, kama mlivyoona ktk documentary za masacre ya Rwanda, yalianza hivihivi. Mbona tunaruhusu shetani atutawale na kufanya atakavyo wakati MUNGU ALIYE HAI ametupa akili na utashi wa kuchanganua mambo. Mimi naamini hata misikitini na makanisani wako wavamizi wanaofanya maovu kwa mwavuli wa dini na ndio kazi ya shetani ili kutgawa na kutimiza azma yake. Kwa suala la Biblia na Msaafu, sioni kama ni busara kuanza hata kumtukana Mungu wazi wazi kwani kuvishambulia vyanzo hivi vya ujumbe ni kupingana na Mungu mwenyewe. Mwenye kuhukumu kuwa Biblia ni kitabu cha Mungu au la, au Msaafu/qoran ni kitabu cha Mungu au shetani ni Mungu mwenyewe.

Tumepewa utashi na akili ili tuyachukulie mambo kwa uzito wake na kukabili kila kikwazo kwa busara na hekima. Huku tunakoelekea naona hekima na busara inayoyoma na kwisha kabisa. Ee Mungu tusaidie.
 
mkuu, hebu piga picha kama walau msikiti 1 tu ungechomwa, nini kingetokea?

wakristu wote mlio visiwani huu ni wakati mgumu sana kwenu kama kiungo cha kristu. Tunatambua kuwa mnapitia majaribu magumu sana hata ya kuweza kuhatarisha maisha yenu, lakini yesu alisema wakati waja haya hayana budi kutokea, hivyo mshike imani zenu sawasawa, waoombeeni na kuwapenda adui zenu kama yesu alivyotuagiza wala msifikirie kulipiza kisasi maana huo sio mpango wa mungu maana ufalme wake si wa hapa duniani. Fungeni na kuomba zaidi ili shetani asiwashinde nasi tupo pamoja nanyi katika maombi. Nanyi mliochoma makanisa, ni vema mkachukua wakati wenu vizuri kutubu na kumwomba mungu msamaha maana kwa kitendo mlichokifanya mmetangaza vita na mungu mwenyewe kwa kuchoma mahali pake pa yeye kuabudiwa, hakika gadhabu yake ni nani aweza izuia endapo ataamua kuadhibu? Acheni uovu huo haraka.

Nawasilisha
 
mfumo kristo bwana wao ni kuropoka 2 hawana hoja maskini. Lkn najua tatizo ni akili zilizolala na hivyo kutoona kinachoendelea, ila cku kinakaponuka mbona patashashika nguo kuchanika. Fumbeni macho 2 ila ipo cku mtakuja kuona na laiti tungejua ndio utakuwa msemo wenu. Naomba kuwaclisha.

laiti mbinguni mungu angesema kuna kwenda kwa upanga sijui dunia ingekuwaje? Suala la kumshikia mtu silaha na kutoa uhai kwa kisingizio cha imani hiyo ni kazi ya shetani wala si mungu aliye hai kwani mungu ni baba yetu sote na baba hawezi hata siku moja kutugawa kwa upanga. Anapenda tuwe wamoja na tuwe naye pamoja ktk utukufu wake baada ya hukumu. Mnaochinja watu, kuchoma makanisa na nyumba za ibada mtambue mnatumiwa na shetani na hivyo kudhibitisha kuwa ameshawateka na mko chini ya hemaya yake. Tubuni na kumrudia muumba wenu aliye hai na asiyepiganiwa kwa upanga bali kwa sala, kuomba na kufunga-basi toba yenu ikawe ya kweli ili mkapate samehewa maovu yenu. Wakristo tuendelee kuwa wavumilivu na watulivu ktk kipindi hiki cha majaribu kwetu. Amen.
 
YESU ni Mungu halafu penda usipende Quran (kulaani) in aya za shetani. Vile vile neno la Mungu linasema Kanisa litasonga mbele wala milango ya kuzimu (uislamu) haitalishinda. hahahaha!

Enyi wagalatia Msio na Akili ni nani aliyewaroga kuwa Yesu ni Mwana wa Mungu? Hapo mtasema Biblia imewakashifu Wakristo.
 
Padre huyo muulize nini maana ya KASHFA; hatorudi kwenye mjadala?? atabaki kuomba serikali iwakataze iwakataze wtf

Embu nyie mapdre njooni tufanye debates kama kweli mumesoma dini yenu vizuri
 
Back
Top Bottom