Serikali inapaswa kulipa fidia makanisa yanayochomwa na uharibifu unaofanywa na waislamu

Synthesizer

JF-Expert Member
Feb 15, 2010
11,143
18,774
Kulinda raia na mali zao ni daraka la serikali, hivyo basi ikiwa serikali imeshindwa kuwadhibiti Waislamu wanaofanya fujo na kuchoma mali za watu na makanisa, serikali inapaswa kutoa fidia kwa mali zilizoharibiwa. Hii ni haki ambayo waathirika wa ufujaji huu wa sheria wa Waislamu wanapaswa hata kulifikisha hili suala mahakamani.
 
Mkuu Synthesizer uko sahihi ila hapa unaweza kusikia;

1. Inavyosemekana kuna "vijana" pale mbagala walikuwa na mzozo na makanisa, hivyo si waislam waliohusika moja kwa moja.

2. Tutaunda Tume ya uchunguzi( INGAWA kuna ushahidi tosha)!!

3. "Kusema hivyo" ni kutafuta chokochoko kwani hata Rais alikwenda kuwaona.(kana kwamba Pole ya Rais ndiyo ilikuwa inahitajika)

4. Nadhani ni vizuri kuangalia mambo yajayo na kwa sasa, Jeshi la Polisi litakuwa makini zaidi na halitakuwa na huruma(kana kwamba linapaswa kuwa na huruma kwa wavunja sheria/amani).

5. Kama Serikali ikiamua kufanya hivyo basi watu watatumia "fursa" hiyo kwa kudai wajengewe hata pale ambapo hawastahili( Kana kwamba Serikali si jukumu kuilinda nchi na raia wake)!!
 
Ndio maana nimebadili mawazo sasa nitampigia kura ya ndio mheshimiwa Lowasa kuwa raisi wa TZ katika uchaguzi ujao, kwani sio kiongozi DHAIFU na atakomesha uhuni huu
 
kweli kabisa serikali inabidi ilipe fidia kwa kushindwa kuwazibit wauni hao

msipende kuitegemea serikali kwenye kilakitu. mkilazimisha jambo mnaweza kusababisha maafa kama walivyo sababisha madaktari! ni kuwa tu wapole na uvumulivu ndoo utaweza kuwapa fidia ila si kwa kulazimisha!!!
 
Mkuu Sindano Butu, kukubali fidia ya serikali ni namna kubwa ya kuonyesha upole na uvumilivu kwa upande wa walengwa wa hizi vurugu!
 
Na mimi naunga mkono kuwa njia mwafaka ni serikali kulipa fidia ya uharibifu. Kama walivyowahi kusema watu wale majani ili ndege ya rais inunuliwe, kwa hili pia inabidi watu wale majani ili makanisa yaliyochomwa na mali zilizoharibiwa na kuibiwa vifidiwe. Wakristo tusiendelee kucompromise kwa hili na inabidi tuweke modalities za kujilinda na makanisa yetu, now it is too much.
 
Lakini kwa hapa ina tegemea kama serikali waalipewa taarifa kuhusu hili swala basi walitakiwa walinde!
Lakini kwa swala lilivyo kuwa ilnaonekana limefanywa kwa kushitukiza hivyo serikali ni vigumu kulaumiwa moja kwa moja.

Hapa tujiulize makanisa huwa yana lindwa na nani siku zote, nina vyo jua serikali hutoa ulinzi endapo kuna taarifa imepelekwa.

Kwa haraharaka hapa wanao husika ku compasate for demages ni wahusika wa uchomaji huo wala si waislam au serikali.

Labda tuongelee swala la huruma, busara serikali inaweza kubeba jukumu la kufidia au waislam wenyewe wakahamua kufidia tu kama msaada but they are not bound!

Back
Top Bottom