Serikali imepata ugonjwa mbaya

Wanasisa wetu ni layman badala ya kuita jopo LA wataalamu kutoka secta mbalimbali, esp maplaners architects engineers economist, valuers, ili kuja na mpango DAREXIT wao wanakimbilia kutengeneza sheria, sheria itakuwa more of theoretical, tunahitaji kwanza technical undestanding
 
Viongozi wengi wanajua kuhamia Dodoma ni wao ma familia zao huku idara zote za wizara kubaki dar ndio maana wanatoa matamko yao tusubiri ila najua idara zitabaki dar kuhamisha wafanyakazi wote kwa pamoja siyo kitu kidogo Na kwa bajeti yetu hii ngoja tusubiri muda ndio utaamua maana najua 2018 to 2020 ndio miaka ya kujipendekeza kwa wananchi kuanza kutekeleza hahadi ni kutaka watu waishi kama malaika tena baada ya kuishi kama mashetani
Sijakuelewa kwahiyo kutakuwa na Wizara mbili dar na Dodoma?
 
Sijakuelewa kwahiyo kutakuwa na Wizara mbili dar na Dodoma?
Naona kwamba mawazir wataamia Dodoma Na idara za wizara zitabaki dar maana bajeti ya kuhamisha wizara Na wafanyakazi wake wote ipi maana bajeti iliyopitishwa mwaka huu Wa fedha hakuna mambo ya Dodoma
 
wenzetu wanasonga mbele...ss maigizo na kukurupuka tu! mpaka sasa hakuna cha kujivunia kilichofanywa na serikali hii zaidi ya maigizo tu! Allah tunusuru #2020 na lichama hili chakavu
 
Sijadili kutangulia Najadili dhana ya kukurupuka
Sijadili kutangulia Najadili dhana ya kukurupuka

Tuna tatizo kubwa sana the way we think and concepturize??
Na kama ni makao makuu basi mgehamisha Lindi amkaazishe LDA[lindi development Authority] ama Kigoma ama kwa waziri mkuu Mstaafu sehem zenye umaskini wa kupindukia
Kweli bado kipaumbele ni kuamia Dodoma??? Dodoma tangu enzi ya mwalimu??
Kama ni kushauri basi hata kama mngetumia shilling 1 kuamia Dodoma basi hiyo Shillingi pelekeni kwenye Elimu.
Mpaka leo tuna wahitimu wa darasa la saba hawatujui kusoma na kuandika ndani ya eneo la Manispaa.
Hizo pesa ambazo mtahamia Dodoma tengenezeni mazingira mazuri japo kwa Shule 3 za sekondari kila manispaa na 2 kila wilaya halafu kabla ya uchaguzi wa 2020 muone matokeo yake.
Matokeo ya kuhamia Dodoma yana athari gani kwa mtanzania mmoja mmoja?
 
Suala lingine ambalo lina changamoto kubwa ni ofisi za kibalozi na mashirika ya kimataifa yenye hadhi ya kibalozi kutakiwa (kulingana na taratibu za kidiplomasia) kuwa pale serikali ilipo. Kuna nchi ambazo ziliwekeza katika miaka ya karibuni katika majengo makubwa ya ofisi zao za kibalozi Dar kama Marekani, EU (Umoja House) na Kenya. Bila shaka kabla ya kujenga walipata uthibitisho kutoka Wizara ya Mambo ya Nje kuwa hakuna mpango wa serikali kuhamia Dodoma. Sasa kuhamia Dodoma limekuwa jambo la dharura. Eti Dodoma kuna shule ngapi za kimataifa kwa ajili ya watoto wa wafanyakazi katika ofisi za kibalozi?
South Africa serikali ipo Pretoria lakini baadhi ya balozi na wizara zipo Johanesburg na capetown hata Nigeria na Malawi baadhi ya wizara na balozi bado zipo miji ya zamani na maisha yanaendelea , tukikalia kufikiria vitu vingi serikali itaendelea kuishi Dsm na kuzidisha msongamano , foleni na misafara huku maendeleo yakidumaa mikoani .
 
Viongozi wengi wanajua kuhamia Dodoma ni wao ma familia zao huku idara zote za wizara kubaki dar ndio maana wanatoa matamko yao tusubiri ila najua idara zitabaki dar kuhamisha wafanyakazi wote kwa pamoja siyo kitu kidogo Na kwa bajeti yetu hii ngoja tusubiri muda ndio utaamua maana najua 2018 to 2020 ndio miaka ya kujipendekeza kwa wananchi kuanza kutekeleza hahadi ni kutaka watu waishi kama malaika tena baada ya kuishi kama mashetani
China na baadhi ya Nchi za ulaya na America wameahidi kutoa Pesa na kujenga miundombinu bora Dodoma .
 
Kwa hiyo nyie chadema hata hili la kuhamia Dodoma mnalipinga ??

Nakumbuka Mbowe na Lowasa wakati wakiomba kura Dodoma waliahidi serikali ya UKAWA itahamia Dodoma haraka Mara tu baada ya kuapishwa.
Je mlikuwa mnawadanganya watanzania??

Kwa unafiki wenu huu mnafaa kweli kuongoza hata mtaa??

Hii ni shidaaa...yaani mtu akitoa mawazo tofauti na unavyopenda wewe basi ni CHADEMA...huu ni mtazamo finyu sanaa kwani watanzania kamwe hatuwezi kuwa na mawazo ya aina moja.
 
Wanasisa wetu ni layman badala ya kuita jopo LA wataalamu kutoka secta mbalimbali, esp maplaners architects engineers economist, valuers, ili kuja na mpango DAREXIT wao wanakimbilia kutengeneza sheria, sheria itakuwa more of theoretical, tunahitaji kwanza technical undestanding
Mamlaka ya usitawishaji makao Dodoma (CDA) unajua ilianza lini??

Bavichaaa ifike mahali muwe mnatumia akili za panzi naona za nyumbu zinawaaibisha sana.
 
Hatuna dira wala mipango ya maendeleo, maana hatuelewi tunafanya nini,
Kila siku linakuja jambo jipya, wote wanahama, ilikuwa ziara za kushtukiza wote wakaingia, ikaja kutumbua wote, watumishi hewa wote, vyeti wote, sasa dodoma wote, wameshasahu tena habari za msako wa sukari itakwisha miaka 5 hakuna kilichofanyika,
Huyu kweli hakuwa amejiandaa kuwa rais huo Ndio ukweli
 
Nasikitika kusema kuwa tunachanja mbuga kuelekea vichakani na hatari ni kubwa kwakuwa vichaka vina mengi...

...Sasa hivi hakuna mipango thabiti ya tulipo na tunakoelekea, akiongea tu Mkuu wa nchi serikali nzima inalipukia huko...tushukuru Mungu mpaka sasa hakuna matamko mabaya sana....lakini hatujui ya kesho...huwezi jua ataamka kesho aseme nini....!

Nimeyasoma maneno hayo kwa kuyarudiarudia sana.

Binafsi, nimeyaelewa mno...
 
Kwani kukaa Dar kuna hasara kuliko Dom, mbio hizi za nini. Zihame zilizo na majengo ya kutosha zingine polepole mpk 2019 huko. Na kuhama hakuna gharama kumbe?
 
Watz siasa zimetushinda ushabiki ushabiki tuu hakuna jambo likajadiliwa kwa busara.
 
Kwa hiyo nyie chadema hata hili la kuhamia Dodoma mnalipinga ??

Nakumbuka Mbowe na Lowasa wakati wakiomba kura Dodoma waliahidi serikali ya UKAWA itahamia Dodoma haraka Mara tu baada ya kuapishwa.
Je mlikuwa mnawadanganya watanzania??

Kwa unafiki wenu huu mnafaa kweli kuongoza hata mtaa??
Unajua kusoma kweli wewe?
 
Back
Top Bottom