Serikali imeanza kuingiza udini katika sera zake? Suala la masomo ya kiislamu na Divinity yanatoka wapi?

Jidu La Mabambasi

JF-Expert Member
Oct 20, 2014
15,924
25,524
20240322_053017.jpg

Siyo siri, wengi tumeshtushwa na msimamo wa sera za elimu kuanza kukumbatia udini.

Waziri Mchengerwa katoa taarifa ya masomo yanayofadiliwa KISERIKALI, masomo au Combination(Tahsusi) ambazo nyingine ni za dini.
Katika hizo combination masomo ya Kiislamu na kuna Divinity vile vile.

Sera hizi zinataka na vikao vipi vya Chama CCM, Wadau wa Elimu, au wananchi kushirikishwa, mabadiliko katika elimu yametokana na nini na kwa ridhaa ya nani?

Serkali haipaswi kuingilia katika Kueneza Dini kwa Njia yoyote ile Ni kinyume cha Katiba..
 
Siyo siri, wengi tumeshitushwa na msimao wa sera za elimu kuanza kukumbatia udini.
Waziri Machengerwa katoa taarifa ya masomo yanayofadiliwa KISERIKALI , masomo au Combination(Tahsusi) ambazo nyingine ni za dini.
Katika hizo combination, kuna Divinity vile vile.
Sera hizi zinatka na vikao vipi vya mabadiliko katika elimu?
Inasikitisha sana
 
Siyo siri, wengi tumeshtushwa na msimamo wa sera za elimu kuanza kukumbatia udini.

Waziri Mchengerwa katoa taarifa ya masomo yanayofadiliwa KISERIKALI, masomo au Combination(Tahsusi) ambazo nyingine ni za dini. Katika hizo combination, kuna Divinity vile vile.

Sera hizi zinataka na vikao vipi vya Chama CCM, Wadau wa Elimu, au wananchi kushirikishwa, mabadiliko katika elimu yametokana na nini na kwa ridhaa ya nani?
Katika hili, udini utamkosesha mama kura nyingi tu.
 
Siyo siri, wengi tumeshtushwa na msimamo wa sera za elimu kuanza kukumbatia udini.

Waziri Mchengerwa katoa taarifa ya masomo yanayofadiliwa KISERIKALI, masomo au Combination(Tahsusi) ambazo nyingine ni za dini. Katika hizo combination, kuna Divinity vile vile.

Sera hizi zinataka na vikao vipi vya Chama CCM, Wadau wa Elimu, au wananchi kushirikishwa, mabadiliko katika elimu yametokana na nini na kwa ridhaa ya nani?
Sasa kama soko la iko kinachofundishwa lipo kunashida gan
 
  • Ni jambo linalostaajabisha sana! Hii nchi ni kubwa na rasilimali zake karibia zote zimelala (au zinaamshwa na wageni).
  • Yaani nchi inatumia bajeti na kuweka mipango kindakindaki kueneza dini. Dah!
  • Ingepaswa uongozi wa juu zaidi uje na muundo wa Elimu utakaowezesha matumizi matata ya rasilomali. Hivyo masomo kama kilimo na biashara yangepaswa kutiliwa mkazo.
  • Ktk hali kama hii tukikosa umeme tulalamike 'wazungu' wanatuhujumu kweli?
 
Siyo siri, wengi tumeshtushwa na msimamo wa sera za elimu kuanza kukumbatia udini.

Waziri Mchengerwa katoa taarifa ya masomo yanayofadiliwa KISERIKALI, masomo au Combination(Tahsusi) ambazo nyingine ni za dini. Katika hizo combination, kuna Divinity vile vile.

Sera hizi zinataka na vikao vipi vya Chama CCM, Wadau wa Elimu, au wananchi kushirikishwa, mabadiliko katika elimu yametokana na nini na kwa ridhaa ya nani?
We ndio haujui kitu. Kabla ya kupoteza, muda na kuandika magazeti yasiyo na faida ulizia kwanza kwa, walio karibu yako. Lakin unakurupuka kutoka shimoni kama panya, aliyeona nyoka.

U

Unajua usichanganye vitu na kuvifanya vya kisiasa ili muanze kuongea na kujadili uongo. Kwa kawaida, combination ni masomo matatu Ila masomo ya kukupeleka chuo Kikuyu ni mawali tu. Kwa hiyo mfano mtu anasoma Economic, Business studies na Islamic.

Economic na, Business studies ndio zitampeleka chuo kikuu kwan university wanaesabu point nne za masomo mawili. Islamic knowledge itamsaidia kuwa na ufahamu wa neno la mungu na kuwa, na Imani na pia kuwa na uoga, na mwenyez mungu. Ili nchi iendelee tunahitaji wazalendo na wenye Imani na Mungu.
 
We ndio haujui kitu. Kabla ya kupoteza, muda na kuandika magazeti yasiyo na faida ulizia kwanza kwa, walio karibu yako. Lakin unakurupuka kutoka shimoni kama panya, aliyeona nyoka.

U

Unajua usichanganye vitu na kuvifanya vya kisiasa ili muanze kuongea na kujadili uongo. Kwa kawaida, combination ni masomo matatu Ila masomo ya kukupeleka chuo Kikuyu ni mawali tu. Kwa hiyo mfano mtu anasoma Economic, Business studies na Islamic. Economic na, Business studies ndio zitampeleka chuo kikuu kwan university wanaesabu point nne za masomo mawili. Islamic knowledge itamsaidia kuwa na ufahamu wa neno la mungu na kuwa, na Imani na pia kuwa na uoga, na mwenyez mungu. Ili nchi iendelee tunahitaji wazalendo na wenye Imani na Mungu.
Hata unachoongea hukijui!
 
Siyo siri, wengi tumeshtushwa na msimamo wa sera za elimu kuanza kukumbatia udini.

Waziri Mchengerwa katoa taarifa ya masomo yanayofadiliwa KISERIKALI, masomo au Combination(Tahsusi) ambazo nyingine ni za dini. Katika hizo combination, kuna Divinity vile vile.

Sera hizi zinataka na vikao vipi vya Chama CCM, Wadau wa Elimu, au wananchi kushirikishwa, mabadiliko katika elimu yametokana na nini na kwa ridhaa ya nani?
Hebu nitajie combination yenye Divinity kwanza!
 
We ndio haujui kitu. Kabla ya kupoteza, muda na kuandika magazeti yasiyo na faida ulizia kwanza kwa, walio karibu yako. Lakin unakurupuka kutoka shimoni kama panya, aliyeona nyoka.

U

Unajua usichanganye vitu na kuvifanya vya kisiasa ili muanze kuongea na kujadili uongo. Kwa kawaida, combination ni masomo matatu Ila masomo ya kukupeleka chuo Kikuyu ni mawali tu. Kwa hiyo mfano mtu anasoma Economic, Business studies na Islamic. Economic na, Business studies ndio zitampeleka chuo kikuu kwan university wanaesabu point nne za masomo mawili. Islamic knowledge itamsaidia kuwa na ufahamu wa neno la mungu na kuwa, na Imani na pia kuwa na uoga, na mwenyez mungu. Ili nchi iendelee tunahitaji wazalendo na wenye Imani na Mungu.
Sina uhakika kuwa ulichokiandika na wewe mwenyewe unakielwa.
 
Back
Top Bottom