Serikali: CHADEMA inapewa pesa kutoka nje kuleta machafuko Tanzania

Kumbe utabili wa mwandishi ulikuwa kweli our president is Dr Jakaya Mrisho Kikwete, na mimi leo natabili na kusema Dr SLAA WILL NEVER BE SIXTH PRESIDENT. Taifa hili bado halijamkubali Dr Slaa kuwa Rais. Mimi nashauri asubiri kwanza akomaze chama mwaka 2025 ndo ajiandae kushika nchi.

Mungu ibariki Africa
Mungu ibariki Tanzania
Mungu Mmbariki JK
Tutapataje raisi wa sita kabla ya kumpata wa tano, Maralia sugu
 
Kumbe utabili wa mwandishi ulikuwa kweli our president is Dr Jakaya Mrisho Kikwete, na mimi leo natabili na kusema Dr SLAA WILL NEVER BE SIXTH PRESIDENT. Taifa hili bado halijamkubali Dr Slaa kuwa Rais. Mimi nashauri asubiri kwanza akomaze chama mwaka 2025 ndo ajiandae kushika nchi.

Mungu ibariki Africa
Mungu ibariki Tanzania
Mungu Mmbariki JK

Uko sahihi kabisa Dr Slaa atakuaje Rais hata familia hana! Ana miaka zaidi ya 60 bado ana Mchumba! Hahahaha kazi kweli kweli!
 
Kumbe utabili wa mwandishi ulikuwa kweli our president is Dr Jakaya Mrisho Kikwete, na mimi leo natabili na kusema Dr SLAA WILL NEVER BE SIXTH PRESIDENT. Taifa hili bado halijamkubali Dr Slaa kuwa Rais. Mimi nashauri asubiri kwanza akomaze chama mwaka 2025 ndo ajiandae kushika nchi.

Mungu ibariki Africa
Mungu ibariki Tanzania
Mungu Mmbariki JK
Donnot be judgemental in thinking
 
Kama huwezi siasa na huna uvumilivu acha! Matusi ni huko kwenye face book mliko zoea hii ni JF a home of Great Thinkers! Moderator nashauri uchukue hatua za kinidhamu!

Angalia mjinga mwingine huyu, au kwenu mbuzi ni matusi. Kama hauna cha kuchangia kwenye thread ni bora ukafyata mdomo
 
Unapo mwambia labda mama yake ndie atakaye kua sio tusi? Au wewe ulilelewa na Mama wa Kambo!?
 
Kwa mujibu wa katiba ya TZ kila mtu ana haki ya kuwa Rais ya Jumuhuri including mama yake. Kwa hiyo sikumtukana. Kama yeye aliona Dr. Slaa hafai labda anaye mtu wa karibu anayeona anafaa.
 
Kumbe utabili wa mwandishi ulikuwa kweli our president is Dr Jakaya Mrisho Kikwete, na mimi leo natabili na kusema Dr SLAA WILL NEVER BE SIXTH PRESIDENT. Taifa hili bado halijamkubali Dr Slaa kuwa Rais. Mimi nashauri asubiri kwanza akomaze chama mwaka 2025 ndo ajiandae kushika nchi.

Mungu ibariki Africa
Mungu ibariki Tanzania
Mungu Mmbariki JK

huna jipya
 
Tunasikia chadema wamepewa tsh billioni 20 na nchi za nje ili kuiparanganya nchi yetu kwa kisingizio cha kutetea maslahi ya wanyonge.kumbe chadema wamenunuliwa kuangamiza nchi yetu.dr.slaa kweli nimeamini ni kama savimbi wa angola.anatusumbua nchi yetu kwa muda lakini ipo siku huyu savimbi wa tanzania ataanguka tu atake asitake,habari hizi zimeenea sana huku mwanza. Mh mungu inusuru nchi yetu...
 
Kwani CCM walipewa sh.ngapi kuiangamiza Tanzania.
 
Tunasikia chadema wamepewa tsh billioni 20 na nchi za nje ili kuiparanganya nchi yetu kwa kisingizio cha kutetea maslahi ya wanyonge.kumbe chadema wamenunuliwa kuangamiza nchi yetu.dr.slaa kweli nimeamini ni kama savimbi wa angola.anatusumbua nchi yetu kwa muda lakini ipo siku huyu savimbi wa tanzania ataanguka tu atake asitake,habari hizi zimeenea sana huku mwanza. Mh mungu inusuru nchi yetu...

hahaha.......Kikwete ana kazi jamani..na huyu ni mpiga kura wake...
 
Tunasikia chadema wamepewa tsh billioni 20 na nchi za nje ili kuiparanganya nchi yetu kwa kisingizio cha kutetea maslahi ya wanyonge.kumbe chadema wamenunuliwa kuangamiza nchi yetu.dr.slaa kweli nimeamini ni kama savimbi wa angola.anatusumbua nchi yetu kwa muda lakini ipo siku huyu savimbi wa tanzania ataanguka tu atake asitake,habari hizi zimeenea sana huku mwanza. Mh mungu inusuru nchi yetu...

Inaonekana kama ccm wamepanga mkakati wa kuivamia JF maana wamejirejista wengi halafu wana tema pumba tu, hoja zitawakimbiza tu, january makamba at work
 
Back
Top Bottom