Waberoya
Platinum Member
- Aug 3, 2008
- 15,169
- 10,786
- Thread starter
- #21
Wabeloya, Nigeria kuna serikali za Majimbo, WHERE ARE THEY NOW?
Mkuu Sangara asante kwa angalizo lako, kuna taratibu za kufuata kuanzisha haya majimbo, na moja ya makosa ya Nigeria na Indonesia ni kuwa na matatizo ya nyuma ambayo hayajafanyiwa kazi, lingine ni kuwa na hidden ajenda katika kugawa majimbo...hivi vitaleta tatizo
Nimetafuta paper moja ya kukusaidia kusoma from A to Z kuhusu Nigeria na Indonesia na tunaweza kujifunza wapi wamekosea
Read
http://www.crise.ox.ac.uk/pubs/workingpaper49.pdf
soma pia katika moja ya report zao zinazoeleza takwimu na sababu mbalimbali za ku-adopt hii style
ftp://ftp.fao.org/sd/SDA/SDAR/Nigeria.pdf
maswali mengi yamejibiwa humo