Sera za Majimbo ni za Lazima! Asiyetaka ahame Nchi!

Wabeloya, Nigeria kuna serikali za Majimbo, WHERE ARE THEY NOW?

Mkuu Sangara asante kwa angalizo lako, kuna taratibu za kufuata kuanzisha haya majimbo, na moja ya makosa ya Nigeria na Indonesia ni kuwa na matatizo ya nyuma ambayo hayajafanyiwa kazi, lingine ni kuwa na hidden ajenda katika kugawa majimbo...hivi vitaleta tatizo

Nimetafuta paper moja ya kukusaidia kusoma from A to Z kuhusu Nigeria na Indonesia na tunaweza kujifunza wapi wamekosea

Read

http://www.crise.ox.ac.uk/pubs/workingpaper49.pdf

soma pia katika moja ya report zao zinazoeleza takwimu na sababu mbalimbali za ku-adopt hii style

ftp://ftp.fao.org/sd/SDA/SDAR/Nigeria.pdf

maswali mengi yamejibiwa humo
 
Na watanzania hawasomi tu.Katiba mpya ya Kenya imeweka sera za majimbo na wataanza kutekeleza kama sikosei mwaka wa uchaguzi.Kutakuwa na ma-senators na governors.Sema nachouliza: mosi, ni Je sera ya majimbo Nigeria mbona haijafanikiwa?Pili,Ni wapi Nigeria wamekosea ili na nini tusirudie makosa yao?.Pia mimi nataka kutofautiana na wewe kuhusu miji mikubwa Arusha,mwanza,mbeya na dar itabaki kuvutia watu kutokana na mzunguko wa pesa uliopo,Kwa hilo sidhani kama sera majimbo itakuwa muarobaini wa watu kukimbilia DAR.Sema yatasaidia kutoa ukiritiba wa dsm kutawala na kumiliki raslimali yote ya Jamuhuri.Na kama watakata sera ya majimbo basi wakuu wa mikoa na wilaya inabidi wawe wanachaguliwa na wananchi wa sehemu husika na tuwape majukumu mengine katika mustakbari wa maendeleo ya mikoa yetu katika katiba mpya.na maamuzi yanabidi yasiwe yanatolewa na dsm.Mwisho viongozi amieni dodoma jamani.

My dear Rebel pls chukua jibu nililompa sangara kama ifuatavyo

Mkuu Sangara asante kwa angalizo lako, kuna taratibu za kufuata kuanzisha haya majimbo, na moja ya makosa ya Nigeria na Indonesia ni kuwa na matatizo ya nyuma ambayo hayajafanyiwa kazi, lingine ni kuwa na hidden ajenda katika kugawa majimbo...hivi vitaleta tatizo

Nimetafuta paper moja ya kukusaidia kusoma from A to Z kuhusu Nigeria na Indonesia na tunaweza kujifunza wapi wamekosea

Read

http://www.crise.ox.ac.uk/pubs/workingpaper49.pdf

soma pia katika moja ya report zao zinazoeleza takwimu na sababu mbalimbali za ku-adopt hii style

ftp://ftp.fao.org/sd/SDA/SDAR/Nigeria.pdf

maswali mengi yamejibiwa humo
 
Mipaka yenyewe tunayolinda na kuipigania kuwa ni ya Taifa, iliwekwa na Mkoloni kwa misingi ya kutenganisha waafrika, so sioni shida yoyote kwa sisi kujaribu hili la majimbo.Tuhakikishe tu mfumo hautaihatarisha "National identity", at least kwasasa, kwasababu kupigania mipaka ya mkoloni ni utumwa in many ways.
 
BRAVO BRAVO!! HII SERA YA MAJIMBO IATCHANGIA PIA KUPATA VIONGOZI WAZALENDO KUTOKA MAENEO HUSIKA, sera iliyokuwepo ni akina JK kuchuma MARA na kundeleza Bagamoyo na kuachia wakurya mashimo huo ni mfano tu, au GAS kutoka kusini hadi DAR na wao kutokuwa na umeme wa uhakika!

majimbo lazima tanganyika then kama zanzibar hawataki wajitenge waje katika jumiya ya africa mashariki kama nchi kamili kana ilivyo Rwanda.

MWISHO WA CCM KUTUFANYA MAJUHA KUKUBALIANA NA KILA KITU CHAO UMEFIKA HAKUNA CHA SERIKALI TATU NI EITHER MOJA YA MAJIMBO AU NO MUUNGANO ILA TUWE NA TANGANYIKA YA MAJIMBO.
 
Mkuu Sangara asante kwa angalizo lako, kuna taratibu za kufuata kuanzisha haya majimbo, na moja ya makosa ya Nigeria na Indonesia ni kuwa na matatizo ya nyuma ambayo hayajafanyiwa kazi, lingine ni kuwa na hidden ajenda katika kugawa majimbo...hivi vitaleta tatizo

Nimetafuta paper moja ya kukusaidia kusoma from A to Z kuhusu Nigeria na Indonesia na tunaweza kujifunza wapi wamekosea

Read

http://www.crise.ox.ac.uk/pubs/workingpaper49.pdf

soma pia katika moja ya report zao zinazoeleza takwimu na sababu mbalimbali za ku-adopt hii style

ftp://ftp.fao.org/sd/SDA/SDAR/Nigeria.pdf

maswali mengi yamejibiwa humo
Asante sana, naona umejipanga kweli kweli kuipitisha hii hoja. Sasa jielekeze kwenye kutuwekea hapa sketch ya Majimbo sababu mpaka sasa Jimbo linalojulikana ni ka Kaskazini peke yeke.
 
Wabeloya, katika serikali za Majimbo, Zanzibar itakuwa Jimbo au itaendelea na status yake ya sasa kisha kuwe na Jimbo la Unguja na lingine la Pemba? Swali hili ni la msingi kama tutaendelea na muundo wa sasa wa muungano au kama tutaopt muundo wa serikali tatu.

Swali la Pili, nimeona kunasehemu unatoa maelezo yanayomaanisha kwamba serikali za majimbo ni vehicle ya utajiri, unamaanisha watu wote watakuwa matajiri au majimbo yatakuwa matajiri?

tusaidie kutuwekea sketch ya majimbo, sababu haiwezekani tukawa tunazungumzia hewani tu, mgawanyo wa majimbo utategemea na nini? kuna sehemu umesema muundo huu utawezesha kulinda tamaduni zetu, kwa maana gani? au majimbo yataundwa kwa misingi ya ukabila?

Mwisho, kwa sasa, hili la kupunguza watu Dar es Salaam sijalielewa kabisa kabisa, naomba maelezo ya ziada.

Mkuu Sangarara, nimeweka point tisa, umezikubali??

kama umezikubali please tusaidiane kuliweka hili kwenye mstari, maana haitakuwa kazi ya chadema kuunda majimbo!! itakuwa kazi ya serikali..confused??

nimeweka jibu hapo juu kuwa, kuna taratibu za kufuata kuweka majimbo, kila kitu kinaelezeka kabisa

Zanzibar is not a problem maana ni nchi kamili inajitegemea, uhusiano wa zanzibar na bara uko katika ya serikali ya kule na huku na sio zenj na jimbo au mkoa!

Kugawa majimbo kunawezekana tu, inaweza ikawa Mbeya, rukwa, iringa na ruvuma zikawa jimbo moja linalojitegemea kwa kila kitu!! same case could be in

Manyara, arusha kilimanjaro-2
Tanga, Pwani DSM-3
Lindi, Mtwara, Tunduru (as wilaya)-4
Dodoma, singida, tabora-5
Mwanza, sinyanga, mara-6
Kigoma, rukwa, bukoba-7

This is just an example mkuu, hizi sehemu zinakuwa kama ni vi-inchi vyenye kujitegema kwa kila kitu!!

Mkuu kuhusu DSM ita waj just a joking 'point' japo ina ukweli. Kuna wimbi kubwa sana la vijana na wtu wengine kuhamia DSM simply kwa sababu huduma zote za jamii, upatikanaji wa kazi, viwanda, n.k viko DSM!! kuna mtu nilikutana naye mwaka '94 alisema anahamia DSM kwani kuna TV! kipindi hicho CTN n ITV zinaanza! lakini kikubwa ni upatikanaji wa kazi na fedha...CCM imeshindwa ku-create ajira na kuzuia vijana na nguvu kazi kukimbilia mijini!! ndiyo ilikuwa hoja yangu ya kusema 'foleni zitapungua'
 
Mkuu Waberoya ulichoandika ni sahihi sana. Hii system ya sasa imesha fail.

ngoja aje wasira akitokwa povu mdomoni. Tatizo la kina riz et al wanaogopa mapato ya huku juu yatapungua na watakosa kwa kuzichotea. Wanaogopa mambo mengi yatakuwa yanapangwa na watu huko huko hivyo watakosa chance ya kuanzisha miradi hewa. hii sera itasaidia hata kama mnachagua mtu wa upinzani kazi yake itakuwa kutekeleza sera za jimbo na siyo za chama alichotoka.
 
nyie cdm kama mnataka kufutika kwenye ramani ya siasa endelezeni siasa zenu za majimbo , msisahau kwamba Nasari aliteleza kule arumeru then muda muafaka ukifika lazima wataalamu wataunganisha na swala la majimbo

akili ya kufikiri huna,hata kutambua yaliyoongelewa huwezi? Nasari aliteleza na kuongea mambo ya kujitenga kwa kaskazini na kuzuia viongozi wa nchi wasiende. Tofautisha kujitenga na decentralization.
 
Wabeloya, Nigeria kuna serikali za Majimbo, WHERE ARE THEY NOW?

wameendekeza sana udini. Ndo maana watu wa majimbo ya kaskazini wanataka kuwe na sheria za kiislamu. Huwezi kuendesha nchi moja yenye dini tofauti kwa sheria za dini moja. Hii ndo iliyoishinda sudan. Kuna mambo ambayo yatakuwa yanaendeshwa na central government kama vyuo vikuu,referal hospitals,majeshi,viwanja vya ndege.
 
nakubaliana na wewe japo kuna majimbo watu wake watakiona cha moto kutokana na hulka yao ya kutokupenda kujishughulisha.

Nimemkubali sana Wab!!suala la jimbo fulani kuja kuwa nyuma kimaendeleo itakuwa ni mapungufu ya jimbo husika na watu wake. Lakini ukifikiri kwa makini sana hii sera ni nzuri ingawa kasoro za hapa na pale hazitokosekana, ukweli ni kuwa kila jimbo linaweza kujiletea maendeleo yake vizuri tu jamani hakuna sehemu masikini Tanzania hii. Kukataa sera hii ni SAWA NA MTOTO WA KIUME ALIEFIKISHA UMRI WA KUJITEGEMEA AKIWA BADO YUKO KWA WAZAZI AKIENDELEA KUGOMBEA SABUNI YA KUFULIA NA WADOGO ZAKE!!anaogopa kwenda kujaribu maisha
 
Weberoga,

Please educate me the difference btw local goverment of Tanznaia and Sera ya Majimbo mnayozungumzia? I think tuna jadili lugha but mifumo iko similar... and i'm not say equal.. hivyo sio kweli kamba Tanzania haina sera ya Majimbo...
 
Ahsante kwa darasa hili. Nchi yetu yote ni tajiri. Kama hii sera ingelitekelezwa huko nyuma, gesi, mafuta, nk yanayoguduliwa huko kusini yangekwisha gunduliwa na watu wa kusini wakapata faida. Tunaambiwa na viboko wa kipekee wako huko. Bungeni leo kila mbunge anataja vivutio vilivyopo maeneo yao kudhihirisha ninachosema. Kwanza umoja wa kitaifa utakuwa imara kwani wa kaskazini wangependa wajue yaliyoko kusini, mashariki, magharibi na kati na kinyume chake. Wanaoingiza hofu ya ukabila kwenye vichwa vya watu ni wanaotaka watu waendelee kuwa usingizini ili wao wawanyonye!
 
Mapato yatakayo patikana katika majimbo mengi yatakayo anzishwa hayataweza kulipa gharama za wafanyakazi waliopo katika majimbo husika hapo mtafanyaje.Manake 90% ya kodi inatoka dar we huoni bomu hilo
 
Hatuhitaji majimbo ili kuweza kuyapata hayo aliyoyaorodhesha waberoya, infact kwa system hii tuliyokuwa nayo tunaweza kuyapata hayo iwapo (1) sheria tunazozitunga zinafuatwa vizuri (2) viongozi wetu wanafanya kazi vizuri na kwa moyo wa kizalendo (3) wananchi kuwa alert na pia kuhakikisha wanawawajibisha viongozi wao (4) mipango na sera zinazotungwa ziwe nzuri na kusimamiwa vyema tanzania si nchi kubwa ya kushindwa kuwa governed iwapo tuko serious, kiufupi ni kwamba kama tumeshindwa kuigovern tanzania ambayo inazidiwa ukubwa na jimbo moja la xinjiang la china, basi usitegemee kwamba hata hayo majimbo yanaweza kuwa governed vizuri( wenye ueledi wa kanuni ya mathematical induction wanaweza kunipata nazungumzia nini). Nchi zinazopaswa kugawanywa katika majimbo ni zile (1) zenye eneo kubwa sana na population kubwa. Kwa standard ya eneo la tanzania na population yake ya watu milioni 45, mfumo wa sasa wa mikoa chini ya serikali kuu unatufaa sana, kinachotakiwa ni kuziongezea serikali za mikoa na wilaya nguvu fulani fualani katika kufanya maamuzi katika mikoa hiyo, lakini sera kuu ipangwe na serikali kuu ikishirikiana na mikoa husika. Hasara za serikali ya majimbo kwa nchi kama ya tanzania ni (1) udini majimbo yenye watu wa dini fulani wengi, yanaweza yakatrump religious minority katika majimbo husika. Hii inaweza ikasababisha backlash kwenye majimbo mengineyo na matokeo yake ukajenga nchi yenye tension ya udini vibaya sana. Kwa mfumo tuliokuwa nao sasa hii inaondoshwa na serikali kuu. Kama muasisi wa chadema mwenyewe mzee mtei ambaye ni msomi anaonekana yuko religious sensitive, unategemea nini kwa wale ambao wanatamani wawe na dola ya kidini uwape jimbo ambalo wao ndiyo majority?
 
Mkuu una akili sana umesoma urusi nini! Tungekuwa na viongozi wenye akili yako hiyo tungekuwa mbali sana, leo hii ujenzi mwingi unafanyika dar vp huko kwenye mikoa mingine? Vyuo vingi vipo dar vp huko kwingine kama makanisa yasingejenga huko vyuo vp serikali ingejenga huko lini. Leo hii ukienda miji mikuu ya baadhi ya mikoa yetu inafanana na pale chalinze! Jamani kwa nini kila kitu kiwe dar. Hebu oneni hili tangu tanzanite inachimbwa hakuna barara ya kwenda mererani ya lami!.
 
wameendekeza sana udini. Ndo maana watu wa majimbo ya kaskazini wanataka kuwe na sheria za kiislamu. Huwezi kuendesha nchi moja yenye dini tofauti kwa sheria za dini moja. Hii ndo iliyoishinda sudan. Kuna mambo ambayo yatakuwa yanaendeshwa na central government kama vyuo vikuu,referal hospitals,majeshi,viwanja vya ndege.
Sikubaliani na wewe kwamba tatizo la wanigeria ni udini, sababu hakuna dini inayohubiri wananchi kuishi maisha ya kimasikini. Usipokuwa makini utabadilisha hoja ya msingi sasa hivi. Nigeria si nchi ya kidini na kama unazungumzia matatizo ya Waislamu wa Nigeria, nakutegemea uwe na mtizamo kwamba serikali za majimbo zimechangia kurutubisha hali hiyo na sio kwamba ufanisi wa serikali za majimbo unazoroteshwa na misimamo ya imani za kidini.
 
Hatuhitaji majimbo ili kuweza kuyapata hayo aliyoyaorodhesha waberoya, infact kwa system hii tuliyokuwa nayo tunaweza kuyapata hayo iwapo (1) sheria tunazozitunga zinafuatwa vizuri (2) viongozi wetu wanafanya kazi vizuri na kwa moyo wa kizalendo (3) wananchi kuwa alert na pia kuhakikisha wanawawajibisha viongozi wao (4) mipango na sera zinazotungwa ziwe nzuri na kusimamiwa vyema tanzania si nchi kubwa ya kushindwa kuwa governed iwapo tuko serious, kiufupi ni kwamba kama tumeshindwa kuigovern tanzania ambayo inazidiwa ukubwa na jimbo moja la xinjiang la china, basi usitegemee kwamba hata hayo majimbo yanaweza kuwa governed vizuri( wenye ueledi wa kanuni ya mathematical induction wanaweza kunipata nazungumzia nini). Nchi zinazopaswa kugawanywa katika majimbo ni zile (1) zenye eneo kubwa sana na population kubwa. Kwa standard ya eneo la tanzania na population yake ya watu milioni 45, mfumo wa sasa wa mikoa chini ya serikali kuu unatufaa sana, kinachotakiwa ni kuziongezea serikali za mikoa na wilaya nguvu fulani fualani katika kufanya maamuzi katika mikoa hiyo, lakini sera kuu ipangwe na serikali kuu ikishirikiana na mikoa husika. Hasara za serikali ya majimbo kwa nchi kama ya tanzania ni (1) udini majimbo yenye watu wa dini fulani wengi, yanaweza yakatrump religious minority katika majimbo husika. Hii inaweza ikasababisha backlash kwenye majimbo mengineyo na matokeo yake ukajenga nchi yenye tension ya udini vibaya sana. Kwa mfumo tuliokuwa nao sasa hii inaondoshwa na serikali kuu. Kama muasisi wa chadema mwenyewe mzee mtei ambaye ni msomi anaonekana yuko religious sensitive, unategemea nini kwa wale ambao wanatamani wawe na dola ya kidini uwape jimbo ambalo wao ndiyo majority?

Mawazo yako ni Mazuri, lakini kuna hili kwamba "Yameshindwa kuwafaidisha watanzania kwa kipindi cha miaka 50 so far"
1. Kuhusu Qualifications za nchi kugawanywa katika Majimbo, kwamba lazima iwe na eneo kubwa, Kenya wameingia kwenye mfumo huu. How Big is Kenya compated to Tanzania?
2. Kuhusu udini, wewe unataka kupandikiza hofu zisizokuwa na msingi? hakuna sehemu nyingine yoyote ambayo waislamu wala wakirsto wanaweza kuisha zaidi ya hapa hapa duniani. kwa hiyo ni lazima tuishi pamoja yeyote anayepingana na ukweli huu anastahili kushughulikiwa. Ubaguzi wa aina yoyote ule ni lazima tuufanye kuwa ni zaidi ya ufunjifu wa sheria bali ni uvinjifu wa Katiba, na katika mchakato unaoendelea tutaweka adhabu kali zaidi kwa wavunja katiba.
 
Moja ya siku niliyopata elimu nzuri hapa jamvini ni leo,kweli nimeamin hapa kuna VICHWA hongera sana ndugu Waberoya.
Kwa mtu asiyeelewa anahitaji kwenda kwa Babu,naamini sasa vyama kama CDM vinaweza kutumia mfano huu kuelezea uma kifua mbele.HONGERA SANA WABEROYA.SAFI SANA.
 
Weberoga,

Please educate me the difference btw local goverment of Tanznaia and Sera ya Majimbo mnayozungumzia? I think tuna jadili lugha but mifumo iko similar... and i'm not say equal.. hivyo sio kweli kamba Tanzania haina sera ya Majimbo...
The only difference is the depth of decentralization. kwa mfano sisi tunaweza kuamua kwamba kutakuwa kuna vyama vya siasa ambavyo vinaoperate kwenye level ya Jimbo tu kama havina au vimeshindwa kujitanua na kutapakaa nchi nzima kama CCM na CHADEMA.

Au sheria za mambo ya Kifamilia zikawa administered katika level ya kijimbo tu,au sera za kilimo au tunaweza tukamaamua kufanya 100% decentralization kama alivyopendekeza Nasari, yote yako ndani ya uwezo wetu.

Mfumo tulionao sasa ni primitive hybrid of decentralization, hizo local authorities sio authorities ni departments za serikali kuu, hakuna kitu zinaweza zikafanya ambazo Ridhiwan hawezi kumuelekeza baba yake kuinterfere.

Tena nimekumbuka,, hata serikali kuu, katika mfumo tulionao sasa, haiwezi ikafanya kitu ambacho Familia ya Rais haiwezi kuintefere na kukipindisha, hata yenyewe iko decentralized pia. the only centralized institution in this country is YOU.
 
53 Reactions
Reply
Back
Top Bottom