Senzo aliuawa mwaka gani?

Senzo alikuwa hatari sana, nazipenda sana nyimbo zake japo zilikuwa chache hasa ule Jah guide
 
Serious? Kweli jf imevamiwa na under 18
TLP (2).jpg
kakwambia nani kuna watoto kalagabaaho
 
Huwa nakubali sana song zake,
jah guide
irene
great conqueror
worshiping ur love
hizo stori huwa zipo mtaani ila sijui kama zinaukweli
 
Mkuu kwa mwendo huu wanaojua hawatakwambia kamwe!
Mkuu ndiyo maana nilisema habari za kifo cha huyu mwanamuziki ni utata,hapo juu kuna makala [documentary] inaonesha yupo hai....

Inasikitiosha sana lakini ndiyo ukweli wenyewe huu kuwa habari za kuwa Lucky Dube alihusika kwenye kifo chake ni uzushi mkubwa,binbadamu tuna matatizo sana....
 
Kweli kifo chake ni cha utata yan pamoja na watu kujibizana hapa lakini sijaona picha hata moja.
Hahahahahhahaha
 
Kuna mtu anaweza kuniambia siku Senzo alipigwa risasi na kufariki? Maana nasikia watu wanadai kuwa alipigwa risasi na kufariki, sijasikia hata ilikuwa mwaka gani?

Wengine wanasema alilogwa na Lacky Dube. Nahitaji video zake mkuu.

hii ya kulogwa sasa kali, hata mimi nilisikia alipigwa risasi na watu waliotumwa na lucky dube, na ndio maana dube nae alipigwa risasi in revenge. Ila sijawahi kuona picha yoyote .

Senzo alikuwa mpiga drums wa luck dube,ukiangalia video nyingi za luck utamwona jamaa akigonga drums vilivyo,ila alifanyiwa njama na dube mpaka kauawa baada ya senzo kuibuka na album zake kadhaa km vile rasta stand up,kikolele na nyinginezo

anaeuwa kwa risasi nayeye risasi hiyo hiyo itamwondoa

Sure ya kulogwa,sidhani....ila ya kupigwa risasi na kundi la L/dube,ndo inavyosemekana.

senzo alikufa kifo cha kawaida.

Nilikuwa sijui kama jamaa nae alifariki...nilikuwa na album yake ilikuwa poa sana, too bad!

Kweli kifo chake ni cha utata yan pamoja na watu kujibizana hapa lakini sijaona picha hata moja.
Hahahahahhahaha
Kweli kifo chake ni cha utata yan pamoja na watu kujibizana hapa lakini sijaona picha hata moja.
Hahahahahhahaha

Kuna Senzo wawili. Mmoja ni Senzo Robert Meyiwa. Huyu alikuwa mcheza mpira na goalkeeper was Orlando Pirates ya Afrika Kusini. Alikuwa pia kipa na kapteni wa timu ya Bafana Bafana. Senzo Meyiwa Aliuawa kwa kupigwa risasi na wezi Oktoba 26, 2014. Alifanyiwa mazishi ya kitaifa.

Mwingine ni Senzo Mthethwa. Huyu ni mwanamuziki wa gospel reggae. Kuna mkanganyiko kama yupo hai au alishafariki. Hata hivyo, nadhani mkanganyiko huu unatokana na kifo cha mchezaji mpira Senzo Robert Meyiwa.

Oktoba mwaka jana Senzo Mthethwa alitarajiwa ku-perform kwenye Sand Music Festival huko Malawi. Ila hasikiki sana na sidhani kama bado anatoa nyimbo mpya kutokana na kupoteza sauti yake baada ya kupata cerebral ya malaria. Labda ndio maana hasikiki. Ila mke wake alishafariki.
 
Senzo alikuwa mpiga drums wa luck dube,ukiangalia video nyingi za luck utamwona jamaa akigonga drums vilivyo,ila alifanyiwa njama na dube mpaka kauawa baada ya senzo kuibuka na album zake kadhaa km vile rasta stand up,kikolele na nyinginezo

Senzo ameendelea kutoa nyimbo hadi 2010, hakuwahi kuuwawa na Lucky Dube. Kama hautajali, unaweza kunitajia jina kamili la Senzo?
 
Kuna Senzo wawili. Mmoja ni Senzo Robert Meyiwa. Huyu alikuwa mcheza mpira na goalkeeper was Orlando Pirates ya Afrika Kusini. Alikuwa pia kipa na kapteni wa timu ya Bafana Bafana. Senzo Meyiwa Aliuawa kwa kupigwa risasi na wezi Oktoba 26, 2014. Alifanyiwa mazishi ya kitaifa.

Mwingine ni Senzo Mthethwa. Huyu ni mwanamuziki wa gospel reggae. Kuna mkanganyiko kama yupo hai au alishafariki. Hata hivyo, nadhani mkanganyiko huu unatokana na kifo cha mchezaji mpira Senzo Robert Meyiwa.

Oktoba mwaka jana Senzo Mthethwa alitarajiwa ku-perform kwenye Sand Music Festival huko Malawi. Ila hasikiki sana na sidhani kama bado anatoa nyimbo mpya kutokana na kupoteza sauti yake baada ya kupata cerebral ya malaria. Labda ndio maana hasikiki. Ila mke wake alishafariki.

Mbaya zaidi, watu walienda mbali zaidi kusema kwamba Lucky Dube alihusika na kifo chake, na hata kuuwawa kwa Dube ilikua ni kisasi, uvumi huu umeendelea kuenea hadi leo hii licha ya ukweli kwamba Senzo yuko hai na aliendelea kutoa nyimbo hadi miaka ya 2010
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom