Senzo aliuawa mwaka gani?

Eiyer

JF-Expert Member
Apr 17, 2011
28,258
20,708
Kuna mtu anaweza kuniambia siku Senzo alipigwa risasi na kufariki? Maana nasikia watu wanadai kuwa alipigwa risasi na kufariki, sijasikia hata ilikuwa mwaka gani!
=========
Angalia hii video ikubadilishe mawazo yako mleta mada. Huyu mtu yupo hai, hakufa na hakuna kaburi lake wala mazishi yake. Bangi ilimzidia akapata celebral malaria..
ENDELEA.

 
Senzo alikuwa mpiga drums wa luck dube,ukiangalia video nyingi za luck utamwona jamaa akigonga drums vilivyo,ila alifanyiwa njama na dube mpaka kauawa baada ya senzo kuibuka na album zake kadhaa km vile rasta stand up,kikolele na nyinginezo
 
Senzo alikuwa mpiga drums wa luck dube,ukiangalia video nyingi za luck utamwona jamaa akigonga drums vilivyo,ila alifanyiwa njama na dube mpaka kauawa baada ya senzo kuibuka na album zake kadhaa km vile rasta stand up,kikolele na nyinginezo

Nataka ushahidi kama Lucky dube alihusika,kwanza habari za kifo cha Senzo ni utata,habari za kwenye kahawa hatuzihitaji,kama huna ushahidi ni bora kuwa kimya!
 
hii ya kulogwa sasa kali, hata mimi nilisikia alipigwa risasi na watu waliotumwa na lucky dube, na ndio maana dube nae alipigwa risasi in revenge. Ila sijawahi kuona picha yoyote .

Sure ya kulogwa,sidhani....ila ya kupigwa risasi na kundi la L/dube,ndo inavyosemekana.
 
senzo alikuwa mpiga drums wa luck dube,ukiangalia video nyingi za luck utamwona jamaa akigonga drums vilivyo,ila alifanyiwa njama na dube mpaka kauawa baada ya senzo kuibuka na album zake kadhaa km vile rasta stand up,kikolele na nyinginezo

thanks ntatafta huyu ntu
 
Hakuna proof,huwa ni rumours tu kama ilivo kwa kifo cha Tosh, haijajulikana motive ya gunmen waliofanya mauaji na kutokomea. Dube anatajwa kudhania palikuwa na bifu flani lkn sio.
 
Nilikuwa sijui kama jamaa nae alifariki...nilikuwa na album yake ilikuwa poa sana, too bad!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom