Hongera Sheikh Ponda... Sasa Karibu Ubungo Unaweza kugombea UBUNGE...
Kwa tiketi ya chama gani?
adai hajawahi kuhesabiwa, na kama aliwahi kuhesabiwa auliza wapi na kwanini vyombo vya habari vimeshindwa kuonyesha picha yake? adai jinsi ya vyombo vya habari vilivyokuwa vikimfatilia kama anagalihesabiwa coverage ya habari ingalikuwa hiyo.
lkn hadi vyombo habari kungojea tume ya sensa kutoa habari ni wazi hiyo ni propaganda.
asema atayafungulia kesi magazeti yliochapisha haabri hiyo bila ya yeye kama Mtuhumiwa kutopigiwa simu ya kuulizwa.
Mahojiano na redio Imaan leo asubuhi kipindi cha mwangaza wa Jamii
my take:
hata tzdaima leo hii lipo upande wa CCM kwa hili? nchi hii ipo mashakani kwa mandeleo
Hizo ni propoganda!ukweli ni kwamba zoezi la sensa limekua hovyo.viongozi ngazi za chini hawakushirikishwa
Habari ya kuzushi,uongo na kikanjanja.Shekhe Ponda hajahesabiwa! Kama huyo mwandishi katumwa au kiherehere tu basi alete ushahidi wa wazi hapa.Acheni unafiki tzdaima.
Hongera Sheikh Ponda... Sasa Karibu Ubungo Unaweza kugombea UBUNGE...
Asante kwa kutupa habari. Huyu Ponda amekuwa akipotosha uma na cha kushangaza serikali ya Jk wanamtizama tuNi kweli kabisa Sheikh Ponda alishahesabiwa na mimi ndiye niliyekwenda nyumbani kwake kama msimamizi wa makarani wa sensa kuhakikisha kuwa yeye na familia yake wanahesabiwa. Hakuleta ubishi wala usumbufu wowote kama ilivyotarajiwa zaidi ya kunisihi sana tusiweke hadharani taarifa za yeye na familia yake kuhesabiwa.
wacha ujinga waislam hawapingi sensa ,,,wanapinga sensa isiyo na tija..wanataka maboresho ndani ya masuali ya sensa
wacha ushamba
tunapinga sensa ambayo itakosa taarifa muhimu za nchii hii
kwa nini tunapoteza fedha huku sensa itakosa data muhimu za raia wake/