Sensa: Ponda, wenzake wahesabiwa

Picha ya nani? Ponda aliacha taarifa zake nyumbani mkewe ndo kazitoa sasa Ponda akapigwe picha msikitini akipata UDHU au wakati AMEINAMA?
kumbe sawa na ile habari ya ulimboka na tukio la polisi. kwa heri
 
mimi nashangaa sana wafausi wa chadema. likija swala la waislam wanaungana na ccm. hapa makansa yangalisema sensa inakasoro. kesho Dk slaa angalitoka hadaharani akaiokosa ccm. siasa za tz ni za pekee duniani
 
Waislam tunachombo chetu ambacho kinatuunganisha nchi nzima (radio imani) na ndicho kinachoaminiwa na waislam wengi hivyo vingine ni wazee wa propaganda,msimamo ni uleule hamna kipengele cha dini hakuna sensa
 
Kwa mujibu wa serikali yetu wangempiga picha,PONDA AMEKANUSHA KUPITIA REDIO IMAN,NADHAN HAYO MAGAZET NA WAANDISH WANGEMUHOJ PONDA
 
Kwa mujibu wa serikali yetu wangempiga picha,PONDA AMEKANUSHA KUPITIA REDIO IMAN,NADHAN HAYO MAGAZET NA WAANDISH WANGEMUHOJ PONDA

yasome hayao magazeti wahariri wake. utasikia absolume. john, Peter
 
Kama nyie Wadanganyika mnaoamini kua Sheikh Ponda kahesabiwa au mimi Mzimu nimehesabiwa, eti kwa sababu mmesikia TBC au vyombo vyovyote vya habari vinavyo tumiwa kwa maslahi ya mafisadi, kua mimi Mzimu nimekuchumbia, mtaamini?
 
Hongera sana Sheikh Ponda kwa kukubali kujirudi na kuwatii Viongozi wako wa BAKWATA. Natoa wito kwa Waislam wote kufata mfani wa Sheukh Ponda
 
point hapa ni sensa.
Suala la kujitoa mhanga is another issue.but kujitoa mhanga kwa ajili ya wengine hutokea popote.hata samson alijitoa,according to christian hata jesus alijitoa (according to xsitian not me).wapingania uhuru kama lumumba,steve biko.NOTHING NEW HERE.

Mkuu unaelewa kweli kujitoa mhanga according to christian (sic) au unabwabwaja tu!!! Samson alikuwa ni kiongozi na tegemeo la waisrael dhidi ya maadui wao wafilisti (Wapelestina wa Gaza) na Jesus ni Mfalme, Masihi, the Prince of Universe kwa sababu yeye ndiye mwana pekee wa Mungu, hivyo kiongozi wa ngazi ya juu kabisa kwenye Uumbaji wote wa Mungu, Hawa viongozi wawili Samson na Jesus walikufa kwa ajili ya wanyonge waliokuwa wanawategemea

Hali ikoje kwenye islam? Mjitoa mhanga siyo kiongozi na anafanya hivyo kwa ahadi ya kujinufaisha yaani wake tena mabikra 70 peponi kwenye mito ya mvinyo na heshima ya kupendekeza watu 70 kutoka kwenye familia yake kwenda peponi, It's all about personal gain!!!!!
Viongozi wanajua au wameamishwa kuamini huo uongo lakini pia wanautumia udanganyifu huo kujinufaisha kwa kupata heshima, mamlaka na mali, It's all about personal gain!!! tofauti wajanja (viongozi) wananufaika hapa hapa duniani na wafuasi wao wanaambiwa watanufaika peponi........

Fikria osama bin laden wakati wa uhai wake alikuwa na wake na watoto wengi pamoja na wajukuu zaidi ya 20, iweje asitoe hata mmoja tu kati ya wajukuu au watoto kujitoa mhanga aende kufaidi pepo na wake 70 akiogelea kwenye mito ya mvinyo huku akitoa nafasi kwa wanafamilia 70 kwenda kuungana nae????

Wale wahenga waliosema "wajinga ndo waliwao" hawajakosea
 
Osama alikuwa anawahimiza watu wajilipue, wakati yeye alikuwa anaogopa kweli kufa. Yule jamaa wa Tamil Tigers kule Sri Lanka, ndiye alikuwa serious maana hakujaribu kukimbia hata mambo yalipokuwa magumu kabisa kwake. Aliamua kufa kama alivyowahamasisha wafuasi wake. Hawa jamaa zangu njaa... na wenye hela hela, wanaojificha nyuma ya udini ili wasiguswe au kuulizwa mambo yao, wanawatumia vyema sana. Lakini hakuna marefu yasiyo na ncha...
 
Nashawishika kuamini kuwa hizi ni propaganda kwa sababu kuu moja.
Serikali imesema uongo kwamba watu wasiohesabiwa ni asilimia 5 tu kitu ambacho si kweli hata kidogo.
Kulikuwa na sababu gani ya kuongeza muda kama wasiohesabiwa ni wachache kulinganisha na waliohesabiwa?
Then basi hata habari ya Ponda ni uongo tuu.
 
Niko kwenye mkutano wainjiri kuna jamaa wanne wa kisomari na waliwi wa kibantu waislamu, wameokoka! Namashaka na hawa wasomari kama wanauraia harali anayehubiri nc msomari aliye okoka alikuwa shekhe. Mytake sasa wanapunguza idadi ya ndugu zetu.
 
Haya mambo ya mitandao haya...kuna mtu alichukua wikipedia data akaenda nazo kwenye mjadala bila kuleta authentification yake
 
Kama ni unafiki basi ni unafik wa kutupwa. Mbona mimi hivi sasa nasikiliza Radio Imani na akina Ponda wanakanusha kuwasaliti wenzao na kwenda kuhesabiwa.

Nimesikiliza sana Radio hiyo kuna mada inayosema "Vyombo vya Habari vinavyotumika kuwafarakanisha Waislamu" Kuna maneno mengi humo ikiwemo hukumu kwa wazandiki, wanafiq na watu wenye husda. Hukumu ni kali ikiwemo kichwa cha mzandik kuletwa mezani.

Sasa Ponda aangalie kama kweli kawasaliti wenzake asije akapewa fwatwa inayomsitahili toka kwa Maulamaa.

Ni afadhali ukacheze mchezo wa kujifichaficha ,mdodo au dama kuliko kusikiliza radio uchafu kama imani na mwendawazimu kama ponda
 
Kwa mwenye akili aliyesoma maandishi hayo anafamu yafuatayo
  • Zoezi la sensa limekwama kwa muda uliopangwa
  • Watu wengi hawakuhesabiwa
  • Sababu ni waislamu kugomea kwa sababu kipengele cha dini hakikuwepo kwenye dodoso
  • Sababu ya waislamu kuwa takwimu zilizotolewa taasisi mbalimbali zinapotosha umma hivyo uhalisia upatikane kwa kuweka kipengele cha dini ni nzito na ndiyo iliyosababisha hali hii
  • Tumetumia rasilimali na nguvu kubwa(jeshi la polisi) kuwashawishi watu kuhesabiwa lakini mafanikio ni asilimia ndogo sana
  • Sheikh Ponda ameonekana ni mtu mwenye ushawishi mkubwa kwa waislamu kwa sasa serikali haipaswi kurudia makosa katika sensa zijazo
  • Tunaongeza muda angalau zoezi lifanikiwe kwa kiwango cha kuridhisha na siyo hali ilivyo sasa
  • Sweka sweka rumande iendelee kuwatisha waislamu zaidi washiriki

Radio Imaan, Sheikh ponda akanusha vikali habari zilitoka magazetini eti yeye amehesabiwa!
 
naona sheria zinawalemea wanaona ni bora kujitokeza kutoka miskitini na kuandikishwa
 
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom