Sensa: Ponda, wenzake wahesabiwa

Mkuu with all due respect kama hicho ulichokiandika hapo kwenye red ni kweli ni mafundisho ya Uislamu, basi with no doubt Uislamu kamwe hauwezi kuwa dini ya kweli, Mungu huyu wangu mimi wa Isaka na Yakobo kamwe hawezi kutufundisha mafundisho haya maana hukumu ni kazi ya Mungu.

Mkuu Matola labda tuwaulize akina Ritz ama zomba Mimi nimesikia kupitia Radio Imani wakisema hizo ndizo hukumu kwa wazandik!
 
Last edited by a moderator:
Acha uvivu wa kufikiri,mbona dai la waisilamu lipo wazi ...usitake kuudanganya uma kwa maneno yako ya kusadikika eti "wanataka maboresho ndani ya maswali ya sensa" ...Inamaana kujua huyu ni Mtanzania muislamu na huyu ni Mtanzania Mkristo ama Mpagani hapo kuna tija!!!

wewe hujui sasa hivi islamic finance imeshika kasi duniani ? hujui kuwa hapa Tanzania napo baadhi ya mabenki wameanzisha idara ama islamic banks? hujui kama sasa pia kuna full islamic bank-Amana Bank ?
hujui pia kuwa ili banki hizi ziweze kufanya kazi zake sawa sawa inahitajika kuwepo islamic insurance inayo itwa Takaful ? na Commssioner wa bima karibuni aliteua watu kwenda Malayasia, Sudan Qatar na UAE..kwenda kufanya study ya Takaful?
hivyo jua kwamba data hizi ni muhimu kwa investors ambao watataka kuja kuwekeza katika shughuli hizi ama kuwekeza katika islamic financial institutions?
jee si humu ndio unaweza kufanya research work yako ujkajua idadi ya waislam , elimu zao, na pia itasaidia kujua market ipo namna gani ?

hii ni faida moja mbili za data kama za dini, umuhimu upo ila serikali na baadhi ya watu huwa wanapinga kwa sababu tu walio taka ni waislam na si venginevo ?
sasa mbona hawaatuelezi sababu za kwa nini data hizi si muhimu ? ama data za makabila sio muhimu? jee si itasaidia kuijua mfano kabila gani wapo nyuma kielimu ? na jee kama Taifa lina wajibu gani wa kurekebisha hali hiyo ?
kwa hiyo faida ni nyingi zaidi kupata data hizi na hasara ya kuweka data hizi ni hakuna hasara yoyote.
jee hujui kwamba jumuia za dini zimekuwa mbele katika kukoa huduma za kijamii kama elimu , afya na huduma nyengezo ?
jee hujui kwamba labda ( as sina uhakika)50% ya wakristo wanakwenda kanisani jumapili ? jee hujui kwamba zaidi ya nusu ya waislam IjUMAA wanakwenda misikitini ?
jee sio kweli kwamba watanzania ni wengi zaidi katika dini zao kuliko vyama vyao ? jeee wingi huu hauwezi kuwekewa taratibu ukajulikana ? jee hii si itaweza kusaidia kuondoa ubaguzi kwa wale minority ?
Data on religious affiliation zinaweza kutumiwa katika kupanga mipango ya eleimu , huduma kwa wazeee,na huduma nyengine muhimu kwa waumini na hizi zitaweza kupatikana kwa ufanisi kama kutakuwa na data za wana dini.
itasaidia kujua uwepo wa makanisa ama misikiti katika mji , ama kijiji
unaweza ku dai si data hizi mutazipata misikitini ama makanisani ? hili haliwezekani sio wote wanaenda makanisani , sio wote wanaonda misikitini.
hivyo kina ponda wao sawa kudai data hizi kupatikana .
 
Jamani nani anipe frequency za RADIO IMAN ARUSHA?
Sababu hii redio naskia ina mambo mlegezo sana,
 
Ukimhesabu Sheikh Ponda kwa nguvu atakuhujumu kwa kukupa figures mbovu tu.

Sensa inakuwa ya mabavu, inapoteza "good faith".

Bora umpe anachotaka ahesabiwe kama muislamu tuone atafanya nini.
 
Tbc hamuwajui? hawa jamaa waongo sn madaktar waligoma wao wakasema huduma znaendelea,walimu wamegoma wao wakasema hakuna mwalim aliegoma hawa jamaa wababaishaj sn .

Na TBC hao hao ndio wamelitifua na kuwapa watu cha kusema na kuchanganya wengine
 
"Katika nchi ambazo zimeruhusu suala la dini na kabila kuingia kwenye Sensa, kumetokea machafuko makubwa na hata watu kupoteza maisha, hatutakia haya yafike kwetu," alisema.
Ni nchi gani hizo?
 
wewe hujui sasa hivi islamic finance imeshika kasi duniani ? hujui kuwa hapa Tanzania napo baadhi ya mabenki wameanzisha idara ama islamic banks? hujui kama sasa pia kuna full islamic bank-Amana Bank ?
hujui pia kuwa ili banki hizi ziweze kufanya kazi zake sawa sawa inahitajika kuwepo islamic insurance inayo itwa Takaful ? na Commssioner wa bima karibuni aliteua watu kwenda Malayasia, Sudan Qatar na UAE..kwenda kufanya study ya Takaful?
hivyo jua kwamba data hizi ni muhimu kwa investors ambao watataka kuja kuwekeza katika shughuli hizi ama kuwekeza katika islamic financial institutions?
jee si humu ndio unaweza kufanya research work yako ujkajua idadi ya waislam , elimu zao, na pia itasaidia kujua market ipo namna gani ?

hii ni faida moja mbili za data kama za dini, umuhimu upo ila serikali na baadhi ya watu huwa wanapinga kwa sababu tu walio taka ni waislam na si venginevo ?
sasa mbona hawaatuelezi sababu za kwa nini data hizi si muhimu ? ama data za makabila sio muhimu? jee si itasaidia kuijua mfano kabila gani wapo nyuma kielimu ? na jee kama Taifa lina wajibu gani wa kurekebisha hali hiyo ?
kwa hiyo faida ni nyingi zaidi kupata data hizi na hasara ya kuweka data hizi ni hakuna hasara yoyote.
jee hujui kwamba jumuia za dini zimekuwa mbele katika kukoa huduma za kijamii kama elimu , afya na huduma nyengezo ?
jee hujui kwamba labda ( as sina uhakika)50% ya wakristo wanakwenda kanisani jumapili ? jee hujui kwamba zaidi ya nusu ya waislam IjUMAA wanakwenda misikitini ?
jee sio kweli kwamba watanzania ni wengi zaidi katika dini zao kuliko vyama vyao ? jeee wingi huu hauwezi kuwekewa taratibu ukajulikana ? jee hii si itaweza kusaidia kuondoa ubaguzi kwa wale minority ?
Data on religious affiliation zinaweza kutumiwa katika kupanga mipango ya eleimu , huduma kwa wazeee,na huduma nyengine muhimu kwa waumini na hizi zitaweza kupatikana kwa ufanisi kama kutakuwa na data za wana dini.
itasaidia kujua uwepo wa makanisa ama misikiti katika mji , ama kijiji
unaweza ku dai si data hizi mutazipata misikitini ama makanisani ? hili haliwezekani sio wote wanaenda makanisani , sio wote wanaonda misikitini.
hivyo kina ponda wao sawa kudai data hizi kupatikana .

sijaona effect yoyote ile, mbona mie nina akaunti Amana Bank wakati si mwislaam? Hata kama islamic finance imeshika kasi haina issue yoyote maana ni uwekezaji tu wa kawaida kama sekta zingine tu, kama vile Said Bakhresa anatengeneza Ice cream na kuuzia kila mtu bila kujua yeye ni muislam au dhehebu lingine, watu bwana inawezekana kwenye nchi za kiislam watu wa imani tofauti wanapata shida sana
 
kweli ubishi mwengine kama pumbu..ukiliweka kulia linarudi kushoto hata ulifanye nini..!!!!
 
Kwa waliosikia kampeni za kipuuzi za Juma Ponda na wenzake walidhani angekataa kuhesabiwa. Habari zilizopo ni kwamba amehesabiwa. Je amenywea au amelishwa kitu? Je alikuwa akipiga kelele ili aweze kukatiwa chake kama Mtikila? Viongozi wetu kwa uroho na ubinafsi hakuna mfano. Wanasema hili na kufanya hili. Waingereza husema; They preach water and drink wine--unafiki wa kiwango cha juu sana. Yuko wapi Ponda na wenzake wajitetee?
 
TATIZO JAMAA WANAUCHU WA WAMADARAKA KIDINI na CHUKI zimewajaa

Wanawafundisha wafuasi wao wawe waovu zaidi kuliko wao.
 
Kwa waliosikia kampeni za kipuuzi za Juma Ponda na wenzake walidhani angekataa kuhesabiwa. Habari zilizopo ni kwamba amehesabiwa. Je amenywea au amelishwa kitu? Je alikuwa akipiga kelele ili aweze kukatiwa chake kama Mtikila? Viongozi wetu kwa uroho na ubinafsi hakuna mfano. Wanasema hili na kufanya hili. Waingereza husema; They preach water and drink wine--unafiki wa kiwango cha juu sana. Yuko wapi Ponda na wenzake wajitetee?

Juma Ponda ndio nani au Juma Pondamali?
 
Kukosa msemaji maalumu wa waislamu ni tatizo. Ni kama vile pale soko la mitumba la mchikichini Ilala kila mtu na kispika chake.
 
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom