Sengerema mmmmh.

Wababa

Senior Member
Jul 21, 2011
158
14
Nimepita leo wilayani sengerema mjini, nimeshtuka kweli kuona vikongwe ambao walistahili kukaa nyumbani na kutunzwa na familia zao, wakiwa stand kuu wakisubiri mabaasi ya abiria kwa kazi moja ya kuomba tuu, serikali iliangalie hili suala bhana, linatia aibu kweli.
 
Back
Top Bottom