Senetor anaumwa jaman!

Perry

JF-Expert Member
Feb 24, 2011
10,043
2,000
Nasumbuliwa na red eyes ndugu zangu wana MMU,niombeen nipone haraka!kwa yeyote anaetaka kuniona niko mabibo hostel block E floor ya 2 room number 2_7.
 
Ninakurudishia shukrani Yesu Kristo uliye hai, unayeishi na kutawala milele na milele kwa yote unayotutendea siku hadi siku tunasema asante Baba. Ninakuja mbele zako tena Baba kukuomba uweke mkono wako wa rehema umponye Senetor aliyemgonjwa aweze kupona kabisa macho yake yanayouma. Ninakuomba umpe nguvu za kuyashinda majaribu, atende sawasawa na mapenzi yako, akupokee, akutumikie na kutembea nawe Yesu Kristo siku zote za maisha yake. Ameni.
 
ameeeeen!!
 
Pole mkuu.........Sasa umewezaje kuweka hii maneno............Si huoni wewe?
 
pole sana mkuu!
uwe unaosha macho kwa maji safi na ya baridi hata kila baada ya masaa 2 itakusaidia upone mapema.
 
Back
Top Bottom