Senetor anaumwa jaman!

Nasumbuliwa na red eyes ndugu zangu wana MMU,niombeen nipone haraka!kwa yeyote anaetaka kuniona niko mabibo hostel block E floor ya 2 room number 2_7.

Mkuu pole sna, ila nna wasiwasi kama kuna atakayethubutu kuja kukuona physically. Utapona tu ndugu na wengi watakuja kukujulia hali pindi utapopona
 
​mimi pia niko hoi nimeanza kuumwa jana ila najiskia nafuu kidogo,hivi dawa yake nini?
 
ukiona hivyo jua boom limekata. Tatizo lako ni kuchungulia uchi wa visichana vya pale mamaland na le mambo club. pole sana dogo. Mungu akusaidie upone haraka.
 
pole sana ingekuwa ugonjw mwengine sawa ila red eyes ni noma inaambukizwa kwa wireless..

Get well soon!
 
Nasumbuliwa na red eyes ndugu zangu wana MMU,niombeen nipone haraka!kwa yeyote anaetaka kuniona niko mabibo hostel block E floor ya 2 room number 2_7.

pole sana mkuu senetar. Eeeh ule ugonjwa umerudi tena? Maana chuoni ulikuwa ukianza ni balaa,lazima utafute miwani kuubwa black kama kioo cha fiat au kama sharobaro.
 
Back
Top Bottom