Semina ya ujasiliamali

mr transcript

Member
Sep 27, 2012
56
7
niko kwenye semina ya ujasiliamali Tumain university Iringa na watu wa ILO asikudanganye mtu hawa jamaa wako fiti kwenye mambo ya enterprenuership nitazd kuwapa yaliyojili
 
Waulize wao wana hata kibanda cha kuchajishia simu? Bado mimi siamini mwajiriwakutoa semina ya Ujasiriamali, Nakumbuka nikiwa huni kuna lecture mmoja alikuwa anatufundisha intreprenership, alikuwa aiulizwa yeye kma yeye ana ipractice? Jibu lilikuwa ni hapana na anaogopa biashara kama ukoma,

So ishu ya waajiriwa kutoa semina za businss skills mimi kwa kweli siafiki kabisa,
 
Na hao jamaa nao sema ni njia zao za kuishi hapa Duniani, Ila ukweli unaakia kwamba Entrepenership haifundishwi, ni kudanganyana, you can't teach some one to become an entrepreners,

Unaweza attend hata semina Milioni moja za ujasirimali na usifanye chochote mtu anaishia kukusanya makaratasi na vitini kibao.

Ili kuwa Mjasiriamali huhitaji aina yoyote ile ya elimu, ila ili kuendeleza ujasiriamali wako unahitaji elimu zaidi
 
Waulize wao wana hata kibanda cha kuchajishia simu? Bado mimi siamini mwajiriwakutoa semina ya Ujasiriamali, Nakumbuka nikiwa huni kuna lecture mmoja alikuwa anatufundisha intreprenership, alikuwa aiulizwa yeye kma yeye ana ipractice? Jibu lilikuwa ni hapana na anaogopa biashara kama ukoma,

So ishu ya waajiriwa kutoa semina za businss skills mimi kwa kweli siafiki kabisa,
Hivi kwanini wajasiriamali wa kitanzania waliofanikiwa katika biashara zao kina Mengi, Bakhressa huwa hawatoi semina kama hizi kuelezea mafanikio yao, njia walimopitia n.k (Inspirational words) na hasa watoe kwa vijana wanaotoka vyuoni,
 
Mkuu kama nakumbuka Mengi huwa anatoa ingawa si mr nyingi,
 
Back
Top Bottom