KANYAGWANDA
Member
- Apr 16, 2023
- 5
- 11
Hii Nchi sijui tunaelekea wapi.Walimu zaidi ya 100 wameenda semina ya kusimamia Mtihani wa kitaifa wa Kidato cha nne unaotaratijia kuanza November 13, 2023.
Cha ajabu karibu walimu 54 mpaka sasa hawajapata barua kujua vituo watavyosimamia huku Mafsa Elimu kata wakiwa kimya. Hao hao maafsa Elimu kata wamekuwa wakiwapigia simu baadhi ya Walimu (Ambao hawakuhudhuria semina) wakiwaomba hela ili wapangiwe vituo vya kusimia Mtihani huo. How comes Mtu hajahudhuria semina, hajala kiapo asimamie Mtihani kama siyo Rushwa ni nini?
Kuna harufu sana ya Rushwa ndani ya ofsi ya DED, TAKUKURU, DEOs pamoja na AEKs.
Hii wilaya watu wanajiibia watakavyo bora hata Makonda apite pengine uovu utakomeshwa maana huku ndo kuna mapapa wa rushwa haswa. Mpka wathibiti rushwa nao wanakula Rushwa.
NECTA SHITUKENI MTAPIGWA ZA USO.
Kuna harufu kali sana ya rushwa.