Cha muhimu ni kuwajua wote kwani ni vioo vya jamii,
ushoga upo ccm???? Angalia mwenyewe !!!
jana naona waziri anajaribu kukemea hayo magazeti but aliponiacha hoi ni pale aliposema"juma analala na hasan wewe kinakuumia nini"pilipili ya shamba yakuwashia nini? sikumuelewa hapo, ina maana hiyo ishu ni ya kweli sema tu coz imevuja basi ndio anaielezea? sikumuelewa.
Du kumbe kina mama wakiwa huko jikoni ni kujadili foolishness matters!!!
No wonder kunakuwa na threads za kuulizia JF members ambao hawaonekani kuingia na kuchangia humu kama issues zenyewe ndiyo hizi. Hebu fikiria ni muda gani ambao umetumika katika thread hii? Then
Tunalalamika nchi hii maskini - wakati sisi wenyewe tunatumia rasilimali-muda vibaya bila ya kuzalisha.
Tunailalamikia serikali - wakati sisi wenyewe hatujui wajibu wetu.
Tunawalalamikia viongozi wetu - wakati sisi waongozwaji hatuna mwelekeo.
Nitaendelea kuheshimu mawazo yenu kwani ndiyo yaliyonifanya nione mapungufu yetu watanzania.