Sema Usikike: Waziri Mkuu wa zamani amuweka kimada Mbunge

jana naona waziri anajaribu kukemea hayo magazeti but aliponiacha hoi ni pale aliposema"juma analala na hasan wewe kinakuumia nini"pilipili ya shamba yakuwashia nini? sikumuelewa hapo, ina maana hiyo ishu ni ya kweli sema tu coz imevuja basi ndio anaielezea? sikumuelewa.
 
Hawa ndio watawala tulio nao.Hata hivyo taarifa yako haija kamilika.Tunaomba utuambie huyu Waziri mkuu wa zamani ni nani.Maana wengine gazeti hilo hatujaliona!


Katika gazeti la Sema Usikike la leo tarehe 10/2/2009 kuna habari kwamba Waziri mkuu wazamani amemuweka kimada mbunge moja shoga kutoka magaribi. Kwa waheshimiwa wabunge habari hii siyo ngeni kwao.
 
No wonder kunakuwa na threads za kuulizia JF members ambao hawaonekani kuingia na kuchangia humu kama issues zenyewe ndiyo hizi. Hebu fikiria ni muda gani ambao umetumika katika thread hii? Then
Tunalalamika nchi hii maskini - wakati sisi wenyewe tunatumia rasilimali-muda vibaya bila ya kuzalisha.
Tunailalamikia serikali - wakati sisi wenyewe hatujui wajibu wetu.
Tunawalalamikia viongozi wetu - wakati sisi waongozwaji hatuna mwelekeo.

Nitaendelea kuheshimu mawazo yenu kwani ndiyo yaliyonifanya nione mapungufu yetu watanzania.

Mod ni mtu mwenye akili timamu na busara za hali ya juu,hawezi kuamua kuifunga mtundiko eti kwa vile fulani amemuomba afanye hivyo.Hili jambo si la mzaha,iweje mtu aliyechaguliwa na watu wenye akili timamu,kwa lengo la kuwakilisha watu hao bungeni awe anafanya vitu ambayo ni kinyume na maumbile yake.

Hii ni aibu kubwa sana,si kwa hawa waheshimiwa na familia zao bali pia katika majimbo yao.Mod,samahani saaana huu mtundiko uwache maana tupo hapa jamvini kwa kazi nyingi tu,mtu aweza sema oh tupo hapa ili tuchangie matundiko ya mafisadi,sawa maana hata hawa wanaochambishana nao ni mafisadi vile vile.Kwahiyo ni vizuri wakawekwa wazi ili wajulikane na jamii,nafikiri kwa kufanya hivyo si tu itasaidia kuwarekebisha kitabia bali pia kutokomeza tabia hii chafu ndani ya jamii yetu.

Nawasilisha wakuu,
Ndimi kiroboto mwana wa msolopa
 
Cha muhimu ni kuwajua wote kwani ni vioo vya jamii,


Wala msiangaike na hili. Kati ya PM wastaafu sioni wa kujihusisha na hili!!!!

Ukichekecha kwa makini, kwenye huu ulimwengu wa pesa kwanza, si hajabu Mwandishi na mhariri wa gazeti hilo walipewa pesa kuchafua gazeti husika hivyo kuharibu image ya Mmiliki wa gazeti lenyewe. Inawezekana.

Maana alilalamika kuchafuliwa na gazeti, ghafla gazeti lake linafanya yale yale. Busara ya kawaida haiwezi kumtuma yeye wala mhariri wake kufanya hivyo!!

Angalia mlolongo.
 
Mapaparazi wa Tanzania wanatuangusha eneo moja tu!... Udaku wao unakosa hata picha! Kila siku tunasikia kwa mfano Bunge likianza eti machangudoa wote wanahamia Dodoma, lakini mbona hatuoneshwi picha za hao machangudoa?

Mbona hatuoni picha za waheshimiwa wabunge wakitanua na machangudoa huko Dodoma?

Ni hapo tu ndio wanashusha credibility. Wangejifunza kwa Ted Turner. Alipokuwa anaanzisha CNN alikuwa na principle moja tu... kuwa a picture is worth a thousand words... hivyo akahakikisha CNN inakuwa ni TV pekee ambayo iko fasta kuweka camera sehemu yenye tukio.

Na mfano mzuri tuliona wenyewe mwaka ule Osama alipolipua ubalozi wa Marekani Dar es Salaam. CNN ilikuwa ya kwanza kurusha picha, wakati TV za hapa nyumbani zikiwa zimelala bado.

Kwa hiyo wadaku kama mko serious na kazi yenu hakikisheni machangudoa wanapohamia Dodoma na nyinyi kamera zenu zinahamia huko. Na huyo ex-PM anapokula tiGO kamera zenu ziwe standby.
 
Mapaparazi wa Tanzania wanatuangusha eneo moja tu!... Udaku wao unakosa hata picha! Kila siku tunasikia kwa mfano Bunge likianza eti machangudoa wote wanahamia Dodoma, lakini mbona hatuoneshwi picha za hao machangudoa?

Mbona hatuoni picha za waheshimiwa wabunge wakitanua na machangudoa huko Dodoma?

Ni hapo tu ndio wanashusha credibility. Wangejifunza kwa Ted Turner. Alipokuwa anaanzisha CNN alikuwa na principle moja tu... kuwa a picture is worth a thousand words... hivyo akahakikisha CNN inakuwa ni TV pekee ambayo iko fasta kuweka camera sehemu yenye tukio.

Na mfano mzuri tuliona wenyewe mwaka ule Osama alipolipua ubalozi wa Marekani Dar es Salaam. CNN ilikuwa ya kwanza kurusha picha, wakati TV za hapa nyumbani zikiwa zimelala bado.

Kwa hiyo wadaku kama mko serious na kazi yenu hakikisheni machangudoa wanapohamia Dodoma na nyinyi kamera zenu zinahamia huko. Na huyo ex-PM anapokula tiGO kamera zenu ziwe standby.
 
jana naona waziri anajaribu kukemea hayo magazeti but aliponiacha hoi ni pale aliposema"juma analala na hasan wewe kinakuumia nini"pilipili ya shamba yakuwashia nini? sikumuelewa hapo, ina maana hiyo ishu ni ya kweli sema tu coz imevuja basi ndio anaielezea? sikumuelewa.

I had the same opinion!

As if ni kitu kinafahamika na ..as if tuwaachie wenyewe...! Hakupinga ila ni utamaduni mzuri jambo kama hilo liachiwe wenyewe..why bother etc...Loh ..Tz tumefikia hapo?
 
"Waziri Mkuu wa Zamani"....hili ni jina la mtu au ni cheo??????.....Kwa nin watanzania tunakubali kupoteza muda wetu kuumiza vichwa kwa magazeti udaku?????...Sidhani kwa mwandishi alaiyebobea katika fani yake anaweza kuandika habari tata kiasi hiki???...Lengo kama ni kuelimisha na kuhabarisha jamii...unapoandika "waziri mkuu wa zamani?...unaisaidiaje jamii????....au ndio unataka watu waaache kazi zao waanze kuulizia....Waziri Mkuu yupi katia ya mawaziri kumi waliopita????.............
 
Ingekuwa vizuri kama ungemtaja ili tusiwashuku Mawaziri Wakuu wastaafu wote.
Au kama unataka kuwakinga,sawa,lakini ndio unapoteza rungu la kuwapiga hawa mafisadi ili wasifanye mambo kama haya.
Sidhani kama atapelekwa Mahakamani,kwa sababu hakuna mtu wa kushtaki kati yao.
 
..jamani mmasai hawezi kula tigo....that count me off...angalau wachagga ndio wamejifunzia mambassa[mombasa]..na kwa jirani zao tanga...alafu mnasema amepata kufanya nae kazi serikalini...peter serukamba [pamoja na kuwa siwezi kumsemea]...hajapata kuajiriwa au hata kama aliajiriwa hajapata kuwa na nafasi..hawa ni breed ya wanasiasa wapya.....sasa tuseme mnataka kumpaka matope mzee wetu ...malecela???..maana ndio mbunge...sioni mantiki ya hii habari...

nadhani imetungwa na magazeti yanayolumbana ya mengi na ya hawa KILOKIRO.....kwani naona mengi naye kamwandika karamagi kuwa anachukua wake wa wenzake..

uandishi wa habari bongo hakuna ...magazeti yanaandika kwa personal interest ....alafu wanataka tununue...
 
"Waziri Mkuu wa Zamani"....hili ni jina la mtu au ni cheo??????.....Kwa nin watanzania tunakubali kupoteza muda wetu kuumiza vichwa kwa magazeti udaku?????...Sidhani kwa mwandishi alaiyebobea katika fani yake anaweza kuandika habari tata kiasi hiki???...Lengo kama ni kuelimisha na kuhabarisha jamii...unapoandika "waziri mkuu wa zamani?...unaisaidiaje jamii????....au ndio unataka watu waaache kazi zao waanze kuulizia....Waziri Mkuu yupi katia ya mawaziri kumi waliopita????.............

Mbona unataka kumfahamu kwa hasira zote hivyo? Tukueleweje? We huoni akina Mkuchika wanavyofoka na kutoa povu mdomoni kabla hata hajatajwa! Angalia tusikuingize kundini. :)
 
Wakubwa haya ni mambo ya kinamama jikoni... Kuja na uzushi usio na maana yoyote na kutupotezea muda ...Mods tafadhali ifunge hii thread we have no time for this foolishness.

Hao kinamama unaowakejeli kuwa kazi yao ni uzushi wa jikoni sijui umewaona nyumbani kwa nani. Labda jiongelee mwenyewe!

"Hatuna muda na ujinga huu" lakini huganduki posti baada ya posti kuomba thread ifungwe, kwani huwezi kuiruka, au wewe ndo hao wazushi wa jikoni unasingizia kina mama?

Karne ya ishirini na moja hii, huwezi kutukana kina Mama winji winji kama hivyo mjomba/shangazi wewe!
 
Last edited:
Wachaga wanakula tigo balaa, tumesikia ya Padri Kimaro na wengine kibao ambao hawajakamatwa
 
Tujisenti lakini kwanini unaacha watu wanaishia kukisia kisia tu?Mtu mwenye tabia mbaya namna hiyo hapashwi kuonewa aibu, tunaomba umfichue.Kama usipo mfichua basi mnakula chungu kimoja!
Story inasema: Waziri Mkuu wa zamani amuweka kimada shoga
-shoga mwenyewe ni mwanasiasa mwenzake
-atanua naye zaidi anapokuwa mjini Dodoma
Waziri mkuu wa zamani anatuhumiwa kumuweka kimada mwanasiasa mwenzake mwanaume amabye anaaminika kuwa ni shoga na sasa anaelezwa kuwa karibu naye kama nyumba ndogo ya mheshimiwa huyo.Habari za muda mrefu zinaeleza kwamba mapenzi kati ya Waziri Mkuu huyo wa zamani na mwanasiasa huyo shoga si siri tena kwa wengi hali ambayo imeeleza kutishia hata ndoa yake.Imeelezwa kwamba kabla hata ya kuingia siasa mwanasiasa huyo shoga amekuwa na uhusiano wa muda mrefu na waziri mkuu huyo mstaafu tokea akiwa mtumishi wa taasisi moja ya serikali.
Habari zaidi zinaeleza kwamba mahusiano kati ya wanasiasa hao wawili yamekuwa yakiwakera hata baadhi ya marafiki wenzao wa karibu ambao wameelezwa kusikia kinyaa kutokana na mahusiano kati yao wakiwa watu wa jinsia moja.
Mwanasiasa mmoja aliye karibu na wapenzi hao wawili ameliambia gazeti hili kwamba kitendo hicho ni uchafu uliokithiri hasa kwa watu ambao wanapaswa kuwa mfano kwa jamii inayowazunguka."Inatia kinyaa maana huu ni uchafu uliokithiri kwa wanaume kuwa wapenzi tena bila hata aibu. Na kwa kuwa wanaogopwa najua hata wee hutaandiika" alisema mwanasiasa mmoja aliyeko Dodoma-------------------
 
Tunataka picha zao tuthibitishe. Isije ikawa kama mambo ya mzee wa Ze lambalamba sukari
 
Mwaka 2007 , Gazeti la Sema usikike liliandika Habari kwamba , WAZIRI MKUU WA ZAMANI AMUWEKA MBUNGE KIMADA.

Baada ya Habari hiyo kutoka , MCT iliitisha kongamano ambapo Waandishi waandamizi , wahariri, wadau wa habari wote waliarikwa na hata mimi nilihudhuria .Pia upande wa IPP alikuwepo Kiondo Mshana ambaye alikuwa Mhariri Mkuu wa Sema Usikike.

Upande wa makundi ya pili alikuwepo PRINCE BAGENDA kutoka Taifa Tanzania na ALBERTY KAWOGO kutoka Sauti Huru.
Wakati wa Mjadala huo nakumbuka KIONDO MSHANA alisimama na kusema yeye kama Mhariri anaushahidi wa kutosha kuwa WAZIRI MKUU WA ZAMANI ALIYE FUKUZWA AMEMUWEKA KIMADA MUBUNGE WA MKOA WA KIGOMA. Na akamutaka atanulie Mahakamani.!!!

Mpaka ninapoandika post hiyo Waziri huyo hajaenda Mahakamani na hajapinga Kauli ya David Kameruni
MIMI NINAANZA KUPATA MASHAKA KUWA KITENDO CHA KIKWETE KUKAA KIMYA KUHUSU SUALA LA USHOGA HUENDA ANAOGOPA MPASUKO NDANI YA CHAMA

MWAKA 2010 WANA CCM SUMBUWANGA MJINI WALIMUPELEKEA JAKAYA KIKWETE TUHUMA KWAMBA BW AESHI KHALFANI HILLY NI MULAWITI NA KUTOA PICHA ZAKE NA KUWEKA USHAHIDI WA PICHA AMBAPO KUNDI HILO LILIONGOZWA NA MHE MZINDAKAYA !!!

PRINCE BAGENDA ALIPOPATA TAARIFA HIZO ALISEMA NI KWELI BW AESHI AMEFANYA ULAWITI NA KUABISHA CCM LAKINI HAWWZI KUMUTOA KWENYE NAFASI YA KUGOMBEA!!!
SASA NDANI YA VIONGOZI WANAO TUUONGOZA KUNAUSHOGA NA ULAWITI NA HALI NI MBAYA


WANANCHI TUUNGANE KUPINGA USHOGA VIONGOZI WETU NI WAGONJWA NI MASHOGA NA HAWANA UWEZO WA KUTUTETEA!!!
 
Rais ni taasisi Tanzania tu? Siyo kweli! Kauli ya Rais kama Rais, ni muhimu katika masuala mazito kama haya. Anaweza ku-delegate, kwa masuala mepesi. Asipotoa kauli katika suala zito, kama hili; atatoa kauli kwa jambo lipi?

Sikia kauli ya Rais wa Ghana, John Atta Mills; katika jambo hili, aliyoitoa tarehe 2 Novemba 2011, "I as President of this nation, will never initiate, or support; any attempt to legalize homosexuality in Ghana." HUYU NDIYE RAIS!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom