Sema chochote kuhusu wachaga

Katika Afrika Mashariki ni Wachaga tu katika makabila ya Tanzania wanaotoa Ushindani wa kibiashara kwa makabila kama Wakikuyu wa Kenya; Wabaganda wa Uganda na Watusi wa Rwanda na Burundi. Wale waliokwisha kulitembelea soko kuu la Kikomba la Nairobi Mjini ambalo linasifika kama the biggest open air market in East Africa zaidi ya nusu ya wanaofanya biashara hapo ni wachaga - warombo; wakibosho; wa uru; marangu; mbokomu na kadhalika. Hata Wakikuyu wamesalimu amri kwa wachaga hapo Kikomba. Hii si kwa sababu ya uchawi etc but kwa sababu ya hard work and seriousness. Nafikiri kwa hili makabila mengine ya Tanzania wangewaiga hawa Wachaga na sii kuwapiga vita au kuwaonea wivu. Tunaingia kwenye SOKO HURU LA AFRIKA MASHARIKI AND WHAT TANZANIA NEEDS IS MORE OF ITS PEOPLE TO BEHAVE AND WORK AS HARD AS THE CHAGAS RATHER THAN JUST GRUMBLING NAKUPOTEZA MUDA VIJIWENI.
 
Asee usiombe kupakana na mchaga kila siku anahamisha Mpaka, mwisho wa mwaka robo ya kiwanja/shamba imeshaondoka.
 
wachaga wa siku hizi wazinzi/fuska wa kutupwa...yaani utadhani ndo wamebalehe karne hii ya 21..
 
wachaga hawajui kusugua miguu,wanasogeza mipaka,wanapenda pombee,nyama,na wanawake(just for pride) sio kimapenzi...pesa ndo mbele,vingine vitafwata
 
mchaga amabye ni mlokole .. ni muaminifu kupindukia... niliwahi kufanya nao biashara ... mchaga alikuwa anakuja home saa saba za usiku kurudisha pesa na samahani nyingi...! na respect sana walokole wa kichaga
 
Yaani wewe mwanamke wa kichaga badala ya kuwaza pesa akae anakukatikia kiuno wewe? Kwa taarifa yako huwa siyo kwamba wanawake wa kichaga hawajui kufanya mapenzi ila wanapokuwa kitandani huwa wana hisia kali za kupata pesa ikiwemo kuchukua hata za kwako ndio maana wanatulia huku wakipiga ramani jinsi ya kuchukua hela kilaini hasa kwenu nyie vyasaka.

Kumbe ndio maana wanakuwa kama gogo kwenye "game".
 
Kila mtz kimoyomoyo anatamani angekuwa kama mchanga (kimaendeleo na uchakalikaji).
Nchi hii ingekuwa na angalau 50% ya population ni chagaz naamini tungekuwa mbali kiuchumi kwa kuangalia uchumi wa mtu mmojammoja.
 
Namini akuna kabila linalotajwa kwa mazuri na kwa mabaya kama wachagga je una lolote lakusema juu yao kwa mema au mabaya
Nawasilisha

Wachaga wengi wamesoma shule, na wana bahati sana ya kupata kazi TRA na HAZINA
 
Back
Top Bottom