Selection za vyuo vya afya, Joining Instruction na taarifa kuhusu kozi za afya

Wadau, naombeni msaada kwa wale waliochaguliwa Sengerema Health Training Institute- Mwanza. Kuhusu ada na michango mingne yote kwa ujumla inafikia milion ngap? na masomo yanaanza lin?
pia mazingira ya chuo yapoje
asanteni
 
Habari wana jf. naomba mnisaidie kwa anayefahamu sengerema health training institute-Mwanza.
>mahali kilipo ukitoka mwanza mjini
>mandhari ya chuo jinsi yalvyo.
>na masomo yanaanza tarehe ngap?
asanteni
 
Habari wana jf. naomba mnisaidie kwa anayefahamu sengerema health training institute-Mwanza.
>mahali kilipo ukitoka mwanza mjini
>mandhari ya chuo jinsi yalvyo.
>na masomo yanaanza tarehe ngap?
>pia gharama ya ada na gharama nyingnezo ukiunganisha na hostel pamoja na chakula.
asanteni
 
kiko wilayani sengerema km 35 kutoka mwanza mjini ukipitia njia ya kamanga, kimesajiliwa na nacte hivyo kimekidhi vigezo.
 
Wadau, naombeni msaada kwa wale waliochaguliwa Sengerema Health Training Institute- Mwanza. Kuhusu ada na michango mingne yote kwa ujumla inafikia milion ngap? na masomo yanaanza lin?
pia mazingira ya chuo yapoje
asanteni

SENGEREMA HEALTH TRAINING INSTITUTE
REG\HAS\056
Ownership:FBO
Region:MWANZA
District Council Fixed Phone 028 2590008
Phone 028 2590008
P.O.BOX 3 MWANZA
Email Adress: Cotcsengerema@yahoo.Com

PROGRAMME OFFERED BY THIS INSTITUTION
Technician Certificate In Clinical Medicine (Nta Level 5)
Ordinary Diploma In Clinical Medicine (Nta Level 6)...Chuo Ni FBO
F-FAITH
B-BASED
O-ORGANIZATION..Then Chuo Kina Mazingira Mazuri Kwa Mwanafunzi Katie Msuri Mkuu Kwa Maelezo Zaidi Hapo Juu Kuna Namba Pamoja Na Email Ya Chuo
 
asante mkuu je unaweza kuntajia gharama za pale,
 
Wakuu naomba mnisaidie nimechaguliwa Diploma ya lab tec naweza badili kwenda C.O
 
wa muhas diploma vipi,fee structure,kwenye website hakuna kitu.aliyeripoti atupe taarifa
 
mhudumu wa afya yoyote yule anafanya kazi ya msaada na hata pesa za kumuwezesha lzm serikali iliyopo madarakani iangalie mara mbili tofauti na IT au fani nyngne yoyote

jaman vp kwa wanaoomba uhamisho ukikosa chuo kingine nafac yako itabaki pale ? au ndo ukisha click sehem ya uhamisho na nafasi inachukuliwa
 
jaman vp kwa wanaoomba uhamisho ukikosa chuo kingine nafac yako itabaki pale ? au ndo ukisha click sehem ya uhamisho na nafasi inachukuliwa

hauwezi kukosa chuo, chuo unachoomba uhamie ndio iko iko kinakupokea. chuo cha mwanzo kinatoka kinakuja chuo ulicho hamia
 
Back
Top Bottom