ustadhijuma
JF-Expert Member
- Jul 20, 2015
- 3,020
- 1,968
DELETED
wale wote tunaolekea kuwa watumishi wa kada za afya tukutane hapa tujadili mambo muhimu kuhusu taaluma zetu za afya.
ile thread yetu ya post za vyuo vya afya imefungiwa nikaona tuendelee kwa kujuzana taarifa muhimu kuhusu kada hii muhimu ktk jamii
mPM willy marandu atakusaidia ila chuo kimesajiriwa na kinatambulika na serikali hili halina shaka mkuu mda c mrefu ntakuwekea more information kuhusu hiki chuo
institution detail
REG\BMG\033
institution nameARADIGMS COLLEGE OF HEALTH SCIENCE-DAR ES-SALAAM
ownershipRIVATE
RegionAR ES SALAAM
District:ilala
Municipal council fixed phone:0784-263999
Phone:0715-263999
P.O.BOX 78703
DAR ES SALAAM
Email:director@paradigms.co.tz
Aise safar ya matumaini ipo baada uzi ule kukatwa 2naingia upande wa pili big up thana ustadh umevunja rekod kama ya rowasa. afyaaa ni kitu bora, 2endeleze maininfor za kiafya afya.
Mkuu, bora umeleta humu, sasa me ki2 kinachonichanganya ni kwamba mbona hki chuo kimesajiliwa ilala na wakati kipo kinondoni? Au kuna kingine kipo huko ilala?
haaahahaa si tunafanya kazi ya kujitolea sisi but walimu eti wanalalamika kuwa sisi tunalipwa mshahara mkubwa hivyo wanataka tukipwe nao sawa.
daktari hana weekend wala likizo any time pakitokea majanga daktar anapigiwa simu aende kazini ila hata siku 1 mtoto nyumbani akashindwa kusoma vizuri hatumpigii simu mwl aje kumfundisha ....ktk maisha daktari ni mtu muhimu sana
camahan mku vp kuhsu wages ya nursing ni sawa na ya ticha.
ahaa huyu certfcat j e
certificate mshahara wake sijajua but inasemekana mwenye certificate au diploma ya nursing anapiga pesa za kijanja sana ukiachana na mshahara wake pia watu wa kada za afya husema nurse hupiga pesa kuliko hata daktari coz daktari ye hudepend sana ktk mshahara ila nurse ye ukiachana na mshahara ana semina na ujanja ujanja mwingi tu wakujipatia pesa
certificate mshahara wake sijajua but inasemekana mwenye certificate au diploma ya nursing anapiga pesa za kijanja sana ukiachana na mshahara wake pia watu wa kada za afya husema nurse hupiga pesa kuliko hata daktari coz daktari ye hudepend sana ktk mshahara ila nurse ye ukiachana na mshahara ana semina na ujanja ujanja mwingi tu wakujipatia pesa
mhudumu wa afya ngazi ya jamii(community health officer) anakula bei gani kwa mwezi? kwa anae fahamu
Thank u, lazma ktaeleweka 2 chezea afya hatok m2 apa.