ndamaempire
New Member
- Jan 4, 2012
- 4
- 0
wadau kuna watu tulifanya interviw ya kuongea ya treh 19 marchh 2012,wale wenzetu tumefanya nao wameitwa kwenye post zao bt sisi yetu ya investigation officer bado kweli iyo hakiiiiiiiiiiiii??????????
hahaha tatizo la shule na vyuo vyetu vinatufundisha kumfanyia kazi mtu au shirika na hatufundishwi jinsi ya kufanya kazi zetu binafsi owning your big biz....pole mwenzi
o siko huko nowdays i am owning my life
hahaha tatizo la shule na vyuo vyetu vinatufundisha kumfanyia kazi mtu au shirika na hatufundishwi jinsi ya kufanya kazi zetu binafsi owning your big biz....pole mwenzio siko huko nowdays i am owning my life