Sehem ya laini kwenye computer!

G M S

JF-Expert Member
Mar 30, 2011
502
53
Wadau nna laptop aina ya Dell D630 nikitoa betri kuna sehemu ya kuweka lain naweza itumia vipi?
 
We vipi? Weka laini acha maswali ya ajabu.

Ukiweka laini unakula net full
 
mkuu, niliwahi kuwa na dell d630, niliweka line ya voda nikapata internet bila shaka na pia jaribu kuangalia kama hardware ya hiyo kitu ipo kwani nyingine utakuta sehemu ya kuweka card ipo lakini hardware yake hamna
 
mkuu ulikuwa unamaanisha harddrive?
 
Kwenye hiyo laptop kuna
  • 1 PC Card Slot
  • Smart Card Slot
  • Docking station
Sasa isiwe wewe unaweka hiyo line (lain) yako kwenye moja ya hizo slot hapo juu, na haswa hapo kwenye smary Card Slot.
 
mkuu, niliwahi kuwa na dell d630, niliweka line ya voda nikapata internet bila shaka na pia jaribu kuangalia kama hardware ya hiyo kitu ipo kwani nyingine utakuta sehemu ya kuweka card ipo lakini hardware yake hamna

Mheshimiwa nahisi toshiba yangu inashida iyo...ina slot ya kuwekea line ila nikiingiza line inazama yote na inakuwa luz ndani...nahisi haina iyo hardware...asa utanisaidiaje katika hili
 
kuna card za UMTS huwa zinahtaji line! So card inawekwa huku pembeni kwenye empty spot afu line yake huko... Kwa msaada zaidi nenda Dell.com
 
nimeweka laini ila kwenye screen nimeshidwa kuiona sehemu inaposoma! Nifanyaje?

Fungua 'www.dell.com' alafu nenda kwa 'support & drivers' hapo utaweka model ya machine yako na OS unayotumia alafu itakuletea drivers, software & utility kwa ajili ya machine yako, Tafuta application iliyoandikwa 'Dell true gprs manager' alafu download na uinstall kwa machine yako kisha fungua wakati line yako ya simu ipo ndani. utafanya settings kidogo ikiwa itahitajika na utaweza ku-connect hapo.
 
heading inachanganya
.laini-soft
line-simcard/micro chip slot/smart card?
 
Nimefuatilia maelezo nimeelewa kuwa kuna driver inabid nidownload af bloototh iwe on ila bloototh pia inanisumbua hata nikisquiz hii button kushoto haitoi sign ya kuwaka hapa nifanye nini?
 
Nimefuatilia maelezo nimeelewa kuwa kuna driver inabid nidownload af bloototh iwe on ila bloototh pia inanisumbua hata nikisquiz hii button kushoto haitoi sign ya kuwaka hapa nifanye nini?

kwa machine kama acer mara nyingi wanakuwa na button ya kuweza kuwasha/zima bluetooth ila hakuna hardware ndani hadi utumie external usb device
 
Back
Top Bottom