CHUO CHA USAFIRISHAJI NIT ACHENI UTAPELI

Candela

JF-Expert Member
Aug 12, 2021
622
1,643
Guys, niliombwa kumfanyia mtu maombi ya chuo na alichagua NIT, Nilifanya application second round na nikalipia na ikabaki kusubiri chaguzi, cha achabu nina wiki sasa nikijaribu kuingia kuangakia STATUS wanasema INCORRECT LOGIN, mwenye nilimuombea anaona kama sikuomba nimekula 10000 yake.
Kama kuna mtu anaweza kujua what is happening let me know maana hata Simu waliyoweka kwenye site yao hawapokei kabisa.
 
Mkuu, mtandao haudanganyi

Ni illogical kwa Chuo kutapeli elfu kumi.

Ni vyema kuhakiki credentials unazoingiza kwenye website husika.
Yawezekana kabisa kuna makosa unayafanya hapo katika kuingiza taarifa za utambulisho

Kama uko karibu zaidi unaweza fika kwenye chuo hicho ili kupata msaada zaidi.

Ahsante
 
Back
Top Bottom