Candela
JF-Expert Member
- Aug 12, 2021
- 624
- 1,644
Wadau mwaka jana nilimsaidia mtu kuomba chuo diploma. Alikuwa amechelewa hivyo katika kutafuta nikapata NIT wako na second round application, nikamuombea hapo sasa mpaka leo akaunti yake inasema "application submitted keep visiting for updates".
Anahisi sijamuombea mpaka akaniomba 10,000 yake nirudishe nikampa nikamwambia wakitoa selection atanilipa. Sijajua huu utaratibu wa second round ukoje hasa kwa pale NIT.
Muongozo.
Anahisi sijamuombea mpaka akaniomba 10,000 yake nirudishe nikampa nikamwambia wakitoa selection atanilipa. Sijajua huu utaratibu wa second round ukoje hasa kwa pale NIT.
Muongozo.