Mbavu mbili
JF-Expert Member
- Apr 25, 2011
- 1,456
- 872
nijuzeni vp unakuwa full sponcered au...koz wengine tu wageni hapa..
kaka na mimi nimewasiliana nae ameniambia the same to you anasema anafanya kazi hapo nimtumie hiyo dola 70 kama application fees kitu kingine sijui but naomba tusaidiane hicho chuo kipo costa rica but kwenye list ya vyuo vya costa rica sijakiona naomba tusaidiane mwenye kujua labda mimi sijui kutafuta vizuri
nawasilisha
Hata mie nimejaribu na kupewa maelekezo kama hayo, kudeposit $70, lakini mie nina wasiwasi, sidhani kama kuna chuo kinatumia account ya mtu
binafsi, mmhh!
Kuna watoto wakali huko!! ukienda hurudi mikono mitupu.
Hapa kuna dalili za utapeli.
Mwombaji mmoja ndugu yangu ameshamtumia pesa huyo Mtz ambaye ndiye mtoa hii thread. Alimwelekeza mwombaji kuwa kwa kumsaidia aingize fedha kwenye account yake ya Stanbic in Tshs equivalent ya $ 70. Anadai chuo kimemruhusu kutumia account hiyo. Mwombaji ameambiwa atajibiwa baada ya siku saba ila aandae pia $ 340 za Viza.
Nilipowaandikia chuo kupitia address waliyoiweka kwenye website yao ili kuulizia huyo Mtz ni nani nikajibiwa kama ifuatavyo:
Dear Kishongo,
I would like to inform you that Jacob Enock is our prospective students who receives scholarship to study in our program. He has been serving as our graduate assistant for the admission office in order to receive additional financial accommodation from our university. You can visit our sample live online lecture that will be held this Sunday for Business English class if you wish to see how our program function via online. I have been encouraging students who wish to persue our degree but having limited financial resource to enroll in our degree via online. The online track will provide students up to full tuition reduction in addition to weekly live lecture. This method will enable students to persue the degree without additional expese in housing abroad in our campus.
Vannapond Suttichujit, B.S., M.Ed., M.Ed.
Dean of Academic Affairs
International University of Humanities and Social Sciences
vannapond@iuhs-edu.net
Nina wasiwasi kuwa nimejibiwa na yeye mwenyewe. TUJIRIDHISHE KWANZA KABLA YA KUINGIA GHARAMA.
Watanzania hata tusaidiane vipi lakini sisi sio waelewa kabisa,hata kama mtu ana nia ya kusaidia lazima ataonekana tapeli tu,
Sasa mimi nikaona ni vema kama kuna nafasi za scholarship ngoja niwatangazie watanzania wenzangu ili nao wajaribu ili tuongezeke
lakini matokeo yake napakwa matope na kuonekana tapeli.
Kama umesoma hiyo email ya kutoka chuoni na umeelewa,mimi ninafanya kazi hapa katika admission office na umeelezwa hivyo na pia
sasa hivi nasoma masomo ya PHD na ndio maana huyu Dean Of Student alikuandikia hivyo,sasa hivi unafikiri ni tapeli gani anayeweza
kuwa na email ya chuo na kama hiyo yangu na chuo bado kikaendelea kuwa na mtu muovu kama hivyo?Nimeshawasaidia nchi
nyingi kutoka zimbabwe,botswana na kwingineko wako hapa wanasoma sasa iweje nije niwatapeli nyinyi watanzania wenzangu,kwa kweli
nimejifunza sana,ila nitawasaidia wale tu niliokwisha anza kuwaisaidia,ni bora usaidie nchi zingine kuliko Tanzania.
kaka na mimi nimewasiliana nae ameniambia the same to you anasema anafanya kazi hapo nimtumie hiyo dola 70 kama application fees kitu kingine sijui but naomba tusaidiane hicho chuo kipo costa rica but kwenye list ya vyuo vya costa rica sijakiona naomba tusaidiane mwenye kujua labda mimi sijui kutafuta vizuri
nawasilisha
Mtaibiwa. Chuo hakina means zingine za kupokea pesa mpaka mtume kupitia staff wake? Think wisely!
habari ndugu,
tafadhali naomba uelewe kuwa iuhs ni chuo chenye hadhi na kwa sasa kina uongozi mzuri ambao umefanikisha kupata
wanafunzi wengi kutoka africa,kwa usemi wako hapo juu umepotosha umma mkubwa kukuita chuo hiki kuwa ni kidogo na
hakina waalimu.
Chuo kina waalimu wa kutosha wa on campus na online program,sasa tafadhali nakuomba usiwapotoshe watu kwa manufaa
yako binafsi,na kama kweli wewe mzalendo wa kweli nakuomba uwaaandikie kwa kiswahili maana nimehisi usije ukawa ni mnigeria
na unataka kupata jinsi ya kuwarubuni watu maana wewe kipindi ulichosoma hapa iuhs ni muda mrefu na situmaini kama chuo bado
unafikiria kitakuwa katika hali hiyo hiyo,
ahsante kwa uelewa wako.