Ubumuntu
JF-Expert Member
- Oct 21, 2010
- 14,316
- 10,782
Chuo kipo Costa Rica, lakini staff wake wengi ni wahindi!!
International University of Humanities and Social Sciences (IUHS), San Jose, Costa Rica - Faculty and Staff
Afu huyu mtoa thread amesema yeye ndie mhusika katika suala la wanafunzi toka Afrika, mbona kwenye web yao mhusika ni mwingine kabisa?! Robinson Abuyeka, B.S., Marketing (Africa), rabuyeka@iuhs-edu.net
Pia katika page yao mbona hiyo link inayoelezea scholarship haipo?!
Hili chezo bandugu....