Scholarships for tanzanians.

kaka na mimi nimewasiliana nae ameniambia the same to you anasema anafanya kazi hapo nimtumie hiyo dola 70 kama application fees kitu kingine sijui but naomba tusaidiane hicho chuo kipo costa rica but kwenye list ya vyuo vya costa rica sijakiona naomba tusaidiane mwenye kujua labda mimi sijui kutafuta vizuri

nawasilisha

Mwombaji mmoja ndugu yangu ameshamtumia pesa huyo Mtz ambaye ndiye mtoa hii thread. Alimwelekeza mwombaji kuwa kwa kumsaidia aingize fedha kwenye account yake ya Stanbic in Tshs equivalent ya $ 70. Anadai chuo kimemruhusu kutumia account hiyo. Mwombaji ameambiwa atajibiwa baada ya siku saba ila aandae pia $ 340 za Viza.

Nilipowaandikia chuo kupitia address waliyoiweka kwenye website yao ili kuulizia huyo Mtz ni nani nikajibiwa kama ifuatavyo:

Dear Kishongo,

I would like to inform you that Jacob Enock is our prospective students who receives scholarship to study in our program. He has been serving as our graduate assistant for the admission office in order to receive additional financial accommodation from our university. You can visit our sample live online lecture that will be held this Sunday for Business English class if you wish to see how our program function via online. I have been encouraging students who wish to persue our degree but having limited financial resource to enroll in our degree via online. The online track will provide students up to full tuition reduction in addition to weekly live lecture. This method will enable students to persue the degree without additional expese in housing abroad in our campus.

Vannapond Suttichujit, B.S., M.Ed., M.Ed.

Dean of Academic Affairs
International University of Humanities and Social Sciences
vannapond@iuhs-edu.net

Nina wasiwasi kuwa nimejibiwa na yeye mwenyewe. TUJIRIDHISHE KWANZA KABLA YA KUINGIA GHARAMA.
 
Hata mie nimejaribu na kupewa maelekezo kama hayo, kudeposit $70, lakini mie nina wasiwasi, sidhani kama kuna chuo kinatumia account ya mtu
binafsi, mmhh!
 
Hata mie nimejaribu na kupewa maelekezo kama hayo, kudeposit $70, lakini mie nina wasiwasi, sidhani kama kuna chuo kinatumia account ya mtu
binafsi, mmhh!

Tena huyu Jacobs hataki mtu afanye application kupitia mtandao wa chuo (kama ni mtandao kweli), anasema bila kupitia kwake huwezi kupata scholarship.

Pia binafsi nime-google saana kukitafuta hiki chuo kwenye list ya vyuo vya Costa-Rica bila mafanikio.

Mtoa mada, kama unaifuatilia hii thread yako toa ufafanuzi kama kweli wewe si tapeli.
 
Hapa kuna dalili za utapeli.

Matapeli hawachezi mbali, wanajua kwa kipindi hiki kuna wanafunzi wengi wamekosa mikopo na wanaweza kurubuniwa kirahisi kulipa kitu kama $ 70 ili wapate full sponsorship kwa degree programme, tena ughaibuni nchi kama Costa Rica.

KWANINI HIKI CHUO HAKIONEKANI KWENYE LIST YA VYUO LUKUKI VYA COSTA RICA?? UTAPELI UPO SIKU ZOTE, TAFAKARI KABLA YA KULIPA AU KUSAFIRI. UNAWEZA KUISHIA UTUMWANI BADALA YA CHUONI.
 
Mwombaji mmoja ndugu yangu ameshamtumia pesa huyo Mtz ambaye ndiye mtoa hii thread. Alimwelekeza mwombaji kuwa kwa kumsaidia aingize fedha kwenye account yake ya Stanbic in Tshs equivalent ya $ 70. Anadai chuo kimemruhusu kutumia account hiyo. Mwombaji ameambiwa atajibiwa baada ya siku saba ila aandae pia $ 340 za Viza.

Nilipowaandikia chuo kupitia address waliyoiweka kwenye website yao ili kuulizia huyo Mtz ni nani nikajibiwa kama ifuatavyo:

Dear Kishongo,

I would like to inform you that Jacob Enock is our prospective students who receives scholarship to study in our program. He has been serving as our graduate assistant for the admission office in order to receive additional financial accommodation from our university. You can visit our sample live online lecture that will be held this Sunday for Business English class if you wish to see how our program function via online. I have been encouraging students who wish to persue our degree but having limited financial resource to enroll in our degree via online. The online track will provide students up to full tuition reduction in addition to weekly live lecture. This method will enable students to persue the degree without additional expese in housing abroad in our campus.

Vannapond Suttichujit, B.S., M.Ed., M.Ed.

Dean of Academic Affairs
International University of Humanities and Social Sciences
vannapond@iuhs-edu.net

Nina wasiwasi kuwa nimejibiwa na yeye mwenyewe. TUJIRIDHISHE KWANZA KABLA YA KUINGIA GHARAMA.

ndugu zangu nimeanza kuona wasiwasi hapa kila siku najaribu kutafuta hiki chuo lakini sikioni katika list ya costa rica ,nina amini huyu jamaa ni tapeli kwanza kabisa huyu jamaa yupo bongo hapa hapa haiwezekeni akawa costa rica then atake tumtumie kwa T shillings wakati dola haipo constant it means anaweza kupata hasara kama dola ikipanda na sisi tumemtumia kwa tshs then hiki chuo hakipo kwenye orodha ya vyuo vikuu kwenye web site yeyote ile.

then kitu kingine huyu jamaa amejiunga siku si nyingi ni tarehe 7 octobe 2011

kitu kingine alivyojibiwa bwana kishongo alipoomba maelezo aliambiwa huyu jamaa ni prospective student wakati jamaa anajitambulisha kama mfanyakazi wa pale inakuwaje mwanafunzi awe na email ya utawala ,kwanini watumia mwanafunzi wakati wao kama IUHS wana department zao?

nawasilisha
 
Habari zenu,
Jamani naomba kuwaelezeni kuwa mimi ndiye niliyetoa Tangazo la Scholarships katika
chuo hiki cha International University for Humanities and Social Sciences,San Jose,Costa Rica.
Ninafanya kazi hapa katika chuo na ninaprocess Applications zote kutoka Africa nzima na kuna waliowasiliana na Mimi wote waliomba
maelekezo ya kujiunga na chuo chini ya Scholarships niliwajibu bila kubagua na nilijitambulisha kwao,sasa kuna kitu kimenisikitisha sana,sijajua ni nani ila bado najaribu kuwasiliana na Administrator wa Jamii forum ili nimjue.

Ndiyo maana watanzania wengine wanaamua kuwa wabinafsi kwa sababu unapojaribu kuwasaidia wengine watakuona mbaya
hata kwa jambo zuri na lenye manufaa kwao.

Chuo hiki kina miaka 7 sasa hivi toka kianzishwe,na mimi ni mmoja wa tuliosoma hapa na baada ya masomo nikabahatika kupata
Ajira hapa hapa,sasa hivi chuo kina uongozi mzuri na mpaka sasa tuna wanafunzi wapatao 35,000 wa on campus na wanafunzi
1,150 wa online study program.
Sasa kuna mtu aliyeandika uongo hapo juu na matokeo yake anaweza kuwapotosha watu wengine wenye nia ya kusoma,
akidai kuwa chuo chetu hiki cha IUHS ni kidogo na hakina waalimu,hayo sio maneno ya ukweli,na ukweli ni kwamba chuo kina
walimu wa kutosha kwa on campus na online study Program.
Nimehisi huyu mtu aliyeandika asije akawa ni mtu anayetaka kuwapoteza na kujaribu kujifaidisha kwa manufaa yake na
baadaye aiachie lawama chuo chetu cha IUHS.

La mwisho ninapenda kuwafahamisha kuwa kwa mtu anayependa kuomba chuo hiki na kuja kusoma basi atumie
mawasiliano kama tangazo linavyojieleza,ila kama mtu mwingine ataona kuwa hahitaji basi ni vizuri yeye akaacha kwa
nafsi yake na si kwa kukashifu na kuwaharibia wenzake ambao wangependa kupata nafasi ya masomo.

Ahsanteni sana.
Mtanzania
San Jose,Costa Rica.
 
Naomba muelewe kuwa Chuo hiki kipo kwenye orodha ya vyuo nchini Costa Rica,na kama nilikuapa maelekezo
jinsi ya kuapply na hukuridhika na maelezo basi ni bora kuachana na chuo,Mimi ndiye nilikujibu kama kweli uliomba maelekezo,
Chuo kinatafuta wanafunzi hivyo ni bora kuwa mstaarabu ili kama wewe umeshindwa vigezo basi wenye vigezo waombe na wapate nafasi.
Nakushukuru kwa uelewa wako.

IUHS
San Jose,Costa Rica.
 
Watanzania hata tusaidiane vipi lakini sisi sio waelewa kabisa,hata kama mtu ana nia ya kusaidia lazima ataonekana tapeli tu,
Sasa mimi nikaona ni vema kama kuna nafasi za scholarship ngoja niwatangazie watanzania wenzangu ili nao wajaribu ili tuongezeke
lakini matokeo yake napakwa matope na kuonekana tapeli.
Kama umesoma hiyo email ya kutoka chuoni na umeelewa,mimi ninafanya kazi hapa katika admission office na umeelezwa hivyo na pia
sasa hivi nasoma masomo ya PHD na ndio maana huyu Dean Of Student alikuandikia hivyo,sasa hivi unafikiri ni tapeli gani anayeweza
kuwa na email ya chuo na kama hiyo yangu na chuo bado kikaendelea kuwa na mtu muovu kama hivyo?Nimeshawasaidia nchi
nyingi kutoka zimbabwe,botswana na kwingineko wako hapa wanasoma sasa iweje nije niwatapeli nyinyi watanzania wenzangu,kwa kweli
nimejifunza sana,ila nitawasaidia wale tu niliokwisha anza kuwaisaidia,ni bora usaidie nchi zingine kuliko Tanzania.
 
Habari ndugu,

Tafadhali naomba uelewe kuwa IUHS ni chuo chenye hadhi na kwa sasa kina uongozi mzuri ambao umefanikisha kupata
wanafunzi wengi kutoka Africa,kwa usemi wako hapo juu umepotosha umma mkubwa kukuita chuo hiki kuwa ni kidogo na
hakina waalimu.
Chuo kina waalimu wa kutosha wa on campus na online program,Sasa tafadhali nakuomba usiwapotoshe watu kwa manufaa
yako binafsi,na kama kweli wewe mzalendo wa kweli nakuomba uwaaandikie kwa kiswahili maana nimehisi usije ukawa ni mnigeria
na unataka kupata jinsi ya kuwarubuni watu maana wewe kipindi ulichosoma hapa IUHS ni muda mrefu na situmaini kama chuo bado
unafikiria kitakuwa katika hali hiyo hiyo,
Ahsante kwa uelewa wako.
 
Watanzania hata tusaidiane vipi lakini sisi sio waelewa kabisa,hata kama mtu ana nia ya kusaidia lazima ataonekana tapeli tu,
Sasa mimi nikaona ni vema kama kuna nafasi za scholarship ngoja niwatangazie watanzania wenzangu ili nao wajaribu ili tuongezeke
lakini matokeo yake napakwa matope na kuonekana tapeli.
Kama umesoma hiyo email ya kutoka chuoni na umeelewa,mimi ninafanya kazi hapa katika admission office na umeelezwa hivyo na pia
sasa hivi nasoma masomo ya PHD na ndio maana huyu Dean Of Student alikuandikia hivyo,sasa hivi unafikiri ni tapeli gani anayeweza
kuwa na email ya chuo na kama hiyo yangu na chuo bado kikaendelea kuwa na mtu muovu kama hivyo?Nimeshawasaidia nchi
nyingi kutoka zimbabwe,botswana na kwingineko wako hapa wanasoma sasa iweje nije niwatapeli nyinyi watanzania wenzangu,kwa kweli
nimejifunza sana,ila nitawasaidia wale tu niliokwisha anza kuwaisaidia,ni bora usaidie nchi zingine kuliko Tanzania.

Kwanza binafsi nikuombe radhi kwa kukudhania kuwa ni tapeli. Niwie radhi tafadhali. Wajua ndugu yangu, wapo watu duniani wana mchezo mchafu wa kutunga mambo na kuwaibia watu. Watu wengi wameshalizwa wakiwa katika harakati za kusaka vyuo. Hivyo ni kama mtu aliyeumwa na nyoka akiguswa na unyasi hushtuka.

Pia suala la chuo chako kutokuonekana kwenye google tunapotafuta orodha ya vyuo vikuu vya Costa-Rica, limechangia kukufikiria kivingine.

Nakushukuru na kukupongeza kwa moyo wako wa kukumbuka WaTz wenzako. Nakutia moyo uendelee kuwasaidia.

Ahasante, kazi njema.
 
kaka na mimi nimewasiliana nae ameniambia the same to you anasema anafanya kazi hapo nimtumie hiyo dola 70 kama application fees kitu kingine sijui but naomba tusaidiane hicho chuo kipo costa rica but kwenye list ya vyuo vya costa rica sijakiona naomba tusaidiane mwenye kujua labda mimi sijui kutafuta vizuri

nawasilisha

Mtaibiwa. Chuo hakina means zingine za kupokea pesa mpaka mtume kupitia staff wake? Think wisely!
 
habari ndugu,

tafadhali naomba uelewe kuwa iuhs ni chuo chenye hadhi na kwa sasa kina uongozi mzuri ambao umefanikisha kupata
wanafunzi wengi kutoka africa,kwa usemi wako hapo juu umepotosha umma mkubwa kukuita chuo hiki kuwa ni kidogo na
hakina waalimu.
Chuo kina waalimu wa kutosha wa on campus na online program,sasa tafadhali nakuomba usiwapotoshe watu kwa manufaa
yako binafsi,na kama kweli wewe mzalendo wa kweli nakuomba uwaaandikie kwa kiswahili maana nimehisi usije ukawa ni mnigeria
na unataka kupata jinsi ya kuwarubuni watu maana wewe kipindi ulichosoma hapa iuhs ni muda mrefu na situmaini kama chuo bado
unafikiria kitakuwa katika hali hiyo hiyo,
ahsante kwa uelewa wako.

aiseeee mm bado nahisi ww ni tapeli! Nipe muda nafataria nyayo zako
 
Back
Top Bottom