Scariest horror movies

tafuta
1.'saw' hivi ziko nyingi
2.hostel 1&2
3. wrong turn 1&2&3
4. the hills have eyes
cheki hizi ni100%
kuna collection za horror movies unaweza zikuta kwa mkupuo
 
hebu mziorodheshe nikazidownload mie

BT ni nin umepanda kwenye gari langu bila hata kuomba lift.

salama tuu... vipi... umemuambia sasa hizo movie?
kaahidi ananitafutia naona masaa yanayoyoma tu hajataja
Unataka kulia? ama unataka kukesha unaomba?
siwez kulia ila nafurahia kuogopa
Teh niko nakutafutia movie kali kabisa...
Vuta subira
nimevuta subira inakaribia kukatika kutaja hutaji
Niko naendelea kumtafutia asijali
ngoja niendelee kusubiria
Kuna Movie zinaitwa SAW kuna part 1-6 ila kuna mpya ya Seven inaitwa SAW3D zitafute au Wrong Turn
asante Dazi,naziorodhesha zote mnazonitajia maana sitaweza kuzitizama zote leo
Itafute "Psycho" ya Alfred Hitchcock.
Angalia kidogo sehemu hii ya "Shower Scene".
thanx ila hii nilishaiona

Kaitafute hii
Cradle of fear
thanx chenge nitaitafuta
queenkami ni nini kupenda movie za kutisha unaangalia muda wa kulalaunakuwa unihis kama kuna watu room.

Dawn of the Dead
The Mothman Prophecies....
A Tale of Two Sisters
The Crazies
sijui kwanin nazipenda ila ninachojua naenjoy kuzitizama,thanx fl1 nitazitafuta zote mnazonitajia

Hellraiser 1-3,
Omen 666
Wolfman
I know what u did last summer 1-3
Scream
Urban legends
Identity
Hio Omen 666 nliangalia part zote 3 kwa usiku m1, enzi hizo nna time. Hata mi napenda scary movies
nitazitafuta zote asante
I don't like horror movies... but umeangalia silent hill? na Resident evil (zote)?
mwenzio napenda sana mwali ila nakuelewa mana watu wengine wanaogopa,hiyo sijaiona nitazitafuta
tafuta
1.'saw' hivi ziko nyingi
2.hostel 1&2
3. wrong turn 1&2&3
4. the hills have eyes
cheki hizi ni100%
kuna collection za horror movies unaweza zikuta kwa mkupuo

zote mnazonitajia nitazitafutia muda nizitizame kila ninapopata muda,nashukuru sana.
 
Last edited by a moderator:
kuna mtu alinishauri nitizame SHUTTER ISLAND,ndio naitizama hapa ila mpaka dakika hii haijanitisha kwa lolote ila inaonekana ni nzuri pia.
 
Mnaopenda kutishika..tafuta movie hizi EXORCISM OF EMILY ROSE hii inatisha balaa...nyingine THE RETURN OF THE PUMPKIN HEAD...JEEPERS CREEPERS 1-3 na DRAG ME TO HELL
 
kuna mtu alinishauri nitizame SHUTTER ISLAND,ndio naitizama hapa ila mpaka dakika hii haijanitisha kwa lolote ila inaonekana ni nzuri pia.

Shutter island sio scary movie.
Ngoja nipumzike pakikucha nitakupa list ya kutosha queenkami
OTIS
 
Last edited by a moderator:
mwenzio napenda sana mwali ila nakuelewa mana watu wengine wanaogopa,hiyo sijaiona nitazitafuta
Mi siogopi Queenie, it is just like hazinivutii. same story
A bunch of young people, students or alike
wanawake wawili, wanaume kati ya wawili na wanne
a couple among them, or two.
Wote wanatafuta adventure, then wanaaza kufa
mmoja baada ya mngine. at the end the hero and his girlfriend escape
but hawamalizi tatizo lote, so there is a part II.
It is so cliché, nimechoka nazo. But sillent hill ni tofauti kiasi.
Umeona sixth sense (I see dead people)? the idea is scary,
but the graphics make it look so ordinary.
 
Queenkami
Jana nimeangalia moja ya The Ring lol usiku kucha naota ndoto mbaya tu..Mara wadogo zangu wamedead mmoja katumbukia shimoni namvuta akatumbuakia shimo refu
Mwingine kapigwa Risasi ..nimeteseka ndotoni naona marehemu tu..

aaagh movie nyingine hazifai
 
Mnaopenda kutishika..tafuta movie hizi EXORCISM OF EMILY ROSE hii inatisha balaa...nyingine THE RETURN OF THE PUMPKIN HEAD...JEEPERS CREEPERS 1-3 na DRAG ME TO HELL

its like ur psychic! Ndo nilichokua nataka kusema hiki! Cku hizi(all grown up) kutishwa na movies ts not that easy,but men these movies i swear tena kama Drag me 2 hell ukiangalia ucku umeme ukakatika na uko alone utasali 2 bila kupenda! Ila ending ya hii movie me ckuipenda! I xpected "and they lived happily ever after" but i 4got there z no such thing as happy ending in horror mvies!! Ex. of E.R classic haipotez utam wake,it makes u become a believer 1st time kuiona ilikua jmos ucku cna mpango,kesho yake ilibid niende chrch! Hizo wrong turn me sioni kama ni scary zaid naona ni disguisting comedy maana hua nacheka 2 nikiangalia!! Hivi kuna m2 ashaona seas ya SUPERNATURAL humu?
 
Mnaopenda kutishika..tafuta movie hizi EXORCISM OF EMILY ROSE hii inatisha balaa...nyingine THE RETURN OF THE PUMPKIN HEAD...JEEPERS CREEPERS 1-3 na DRAG ME TO HELL

Kwa kweli Jeeper Creepers trilogy ni noma aisee..yule the Creeper, Jonathan Breck alikuwa anatisha kwelikweli. queenkami, kama unapenda horror movies, cheki hii. Pia waweza angalia na hizi:

1. Silence of the Lambs (classic)
2. Dawn of the Dead (classic)
3. The Crazies
4. The Beyond
5. The Blair Witch Project
6. Final Destination sequels 1-4
7. Salem's Lot (classic)
8. It (classic)
9. The Omen (ile original ya mwaka 1976) {classic}
10. The Hills Have Eyes
11. The Thing
12. Day of the Dead
13. Night of the Living Dead (classic)
14. The Sixth Sense (classic)
15. Interview with the Vampire
16. Hellraiser (classic)
17. Texas Chainsaw Massacre (ile original ya mwaka 1974) {classic}
19. Nighmate on the Elm Street (classic)
20. Friday the 13th (classic)
21. Jason X
22. Freddy Vs Jason (classic)
23. Psycho (original ya mwaka 1960) {classic}

Nimechanganya za zamani na za hivi karibuni. Pia ukiona movie imekuwa directed au kuandikwa na George Romero, John Carpenter na Stephen King basi husiiache hiyo, maana hawa jamaa ni Masters of Horror Movies.

Ukiweza kuangalia hizo zote kwa siku moja, husipokufa kwa blood pressure, basi jiandae kutengeneza ugonjwa wa BP.

All the best.
 
Last edited by a moderator:
Hello ladies and gentlemen wa humu ndani.
Vipi week end yenu inakwendaje?
Mim week end yangu iko vizuri sana.Leo sitaki kutoka nataka kutulia nyumbani kwangu niangalie movies tu.
Napenda scary movies.
Naombeni mnitajie movies zinazotisha kwa kiwango cha juu,nikisema kiwango cha juu namaanisha movie ambayo mtu muoga hawezi kuiangalia.Tafadhali msinitajie filamu za aina ya The lord of the rings au za dizaini ya kina Harry Potter mkaniambia zinatisha

Iwe inatisha zaidi ya Ghost ship.

Nawatakieni jumapili njema.
Thanx in advance kwa wale mtakaojitolea kunisaidia.

1.The Ring 1&2. 2.Sleepy hollow. 3.Dracula 2000. 4.Optic Cemetary 1&2. 4.The Omen 1-5. 5.Interview with vampires.
 
Kwa kweli Jeeper Creepers trilogy ni noma aisee..yule the Creeper, Jonathan Breck alikuwa anatisha kwelikweli. queenkami, kama unapenda horror movies, cheki hii. Pia waweza angalia na hizi:

1. Silence of the Lambs (classic)
2. Dawn of the Dead (classic)
3. The Crazies
4. The Beyond
5. The Blair Witch Project
6. Final Destination sequels 1-4
7. Salem's Lot (classic)
8. It (classic)
9. The Omen (ile original ya mwaka 1976) {classic}
10. The Hills Have Eyes
11. The Thing
12. Day of the Dead
13. Night of the Living Dead (classic)
14. The Sixth Sense (classic)
15. Interview with the Vampire
16. Hellraiser (classic)
17. Texas Chainsaw Massacre (ile original ya mwaka 1974) {classic}
19. Nighmate on the Elm Street (classic)
20. Friday the 13th (classic)
21. Jason X
22. Freddy Vs Jason (classic)
23. Psycho (original ya mwaka 1960) {classic}

Nimechanganya za zamani na za hivi karibuni. Pia ukiona movie imekuwa directed au kuandikwa na George Romero, John Carpenter na Stephen King basi husiiache hiyo, maana hawa jamaa ni Masters of Horror Movies.

Ukiweza kuangalia hizo zote kwa siku moja, husipokufa kwa blood pressure, basi jiandae kutengeneza ugonjwa wa BP.

All the best.
Wewe i mkali hizo baadhi nimeziona ni za kutisha vibaya sana...
 
The Priest hav u cn The priests!it،s abt priest(ass kicking priests)who fight against vampires n stuff! T rocks
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom