Scariest horror movies

queenkami

JF-Expert Member
Feb 8, 2010
1,599
1,025
Hello ladies and gentlemen wa humu ndani.
Vipi week end yenu inakwendaje?
Mim week end yangu iko vizuri sana.Leo sitaki kutoka nataka kutulia nyumbani kwangu niangalie movies tu.
Napenda scary movies.
Naombeni mnitajie movies zinazotisha kwa kiwango cha juu,nikisema kiwango cha juu namaanisha movie ambayo mtu muoga hawezi kuiangalia.Tafadhali msinitajie filamu za aina ya The lord of the rings au za dizaini ya kina Harry Potter mkaniambia zinatisha

Iwe inatisha zaidi ya Ghost ship.

Nawatakieni jumapili njema.
Thanx in advance kwa wale mtakaojitolea kunisaidia.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom