Scariest horror movies

Stigmata,drag me to hell,final destination,the others,tesis,insidious na parnormal activities.
Ukimaliza hizi unicheki
OTIS
 
Mi siogopi Queenie, it is just like hazinivutii. same story
A bunch of young people, students or alike
wanawake wawili, wanaume kati ya wawili na wanne
a couple among them, or two.
Wote wanatafuta adventure, then wanaaza kufa
mmoja baada ya mngine. at the end the hero and his girlfriend escape
but hawamalizi tatizo lote, so there is a part II.
It is so cliché, nimechoka nazo. But sillent hill ni tofauti kiasi.
Umeona sixth sense (I see dead people)? the idea is scary,
but the graphics make it look so ordinary.
Thanx Mwali,mim napenda zaidi graphics ndo iwe inatisha ila nitaiangalia hii maana umesema inatisha.
Queenkami
Jana nimeangalia moja ya The Ring lol usiku kucha naota ndoto mbaya tu..Mara wadogo zangu wamedead mmoja katumbukia shimoni namvuta akatumbuakia shimo refu
Mwingine kapigwa Risasi ..nimeteseka ndotoni naona marehemu tu..
Pole FL1 maana hizo ndo kweli ni mbaya lazima ulipata usingizi wa shida.
aaagh movie nyingine hazifai

its like ur psychic! Ndo nilichokua nataka kusema hiki! Cku hizi(all grown up) kutishwa na movies ts not that easy,but men these movies i swear tena kama Drag me 2 hell ukiangalia ucku umeme ukakatika na uko alone utasali 2 bila kupenda! Ila ending ya hii movie me ckuipenda! I xpected "and they lived happily ever after" but i 4got there z no such thing as happy ending in horror mvies!! Ex. of E.R classic haipotez utam wake,it makes u become a believer 1st time kuiona ilikua jmos ucku cna mpango,kesho yake ilibid niende chrch! Hizo wrong turn me sioni kama ni scary zaid naona ni disguisting comedy maana hua nacheka 2 nikiangalia!! Hivi kuna m2 ashaona seas ya SUPERNATURAL humu?
Good Guy hapo pekundu umenifanya niwe na hamu zaidi ya kuziona hizo movie,nitaanza nazo week end ijayo.

Kwa kweli Jeeper Creepers trilogy ni noma aisee..yule the Creeper, Jonathan Breck alikuwa anatisha kwelikweli. queenkami, kama unapenda horror movies, cheki hii. Pia waweza angalia na hizi:

1. Silence of the Lambs (classic)
2. Dawn of the Dead (classic)
3. The Crazies
4. The Beyond
5. The Blair Witch Project
6. Final Destination sequels 1-4
7. Salem's Lot (classic)
8. It (classic)
9. The Omen (ile original ya mwaka 1976) {classic}
10. The Hills Have Eyes
11. The Thing
12. Day of the Dead
13. Night of the Living Dead (classic)
14. The Sixth Sense (classic)
15. Interview with the Vampire
16. Hellraiser (classic)
17. Texas Chainsaw Massacre (ile original ya mwaka 1974) {classic}
19. Nighmate on the Elm Street (classic)
20. Friday the 13th (classic)
21. Jason X
22. Freddy Vs Jason (classic)
23. Psycho (original ya mwaka 1960) {classic}

Thanx nitaicheck,asante sana kwa list ya hizi movie nitazidownload zote.
Nimechanganya za zamani na za hivi karibuni. Pia ukiona movie imekuwa directed au kuandikwa na George Romero, John Carpenter na Stephen King basi husiiache hiyo, maana hawa jamaa ni Masters of Horror Movies.

Ukiweza kuangalia hizo zote kwa siku moja, husipokufa kwa blood pressure, basi jiandae kutengeneza ugonjwa wa BP.

All the best.
Nzi basi sitaziangalia zote kwa pamoja nisije nikapata BP ya kujitkia,ila jinsi mnavyozisifia ndo kuwa zinatisha kiherehere za kuziangalia kinavyozidi.asante sana.
Scream 1,2,3,4

asante Lussadam.
 
Last edited by a moderator:
Nawashukuru wote kwa kunipatia lists ya hizi movie.Nilikua nataka kuangalia jumapili iliyopita lakini mmenitajia nyingi yaani hadi nimechanganyikiwa sijui hata nianze na ipi,ila nitahakikisha nazitizama zote mlizonitajia ambazo bado sijawahi kuziona.Nahisi week end ijayo nitajifungia zangu home nikicheck tu movie.Asanteni saana.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom