Sawa, Muungano wetu unazo kasoro, kwanini tutoe hoja zinazoukebehi badala ya kuurepea?

Mimimollel

Member
Mar 9, 2024
7
4
Wana JF nina huzuni, tena sana, kwanini kwenye nchi yenye watu wazima tunataka kuamini na kugundua zaidi mapungufu, kasoro na hitilafu za MUUNGANO WETU matukufu badala ya kutafuta namna ya kuutia cement?

Kwanini tusifikiri mwaka mmoja bila MUUNGANO unaweza kutupa hasara gani? Naogopa kufikiri nini kipo nje ya MUUNGANO huu hadi kabisa duniani, MUUNGANO wa kiungwana, MUUNGANO wa utu, MUUNGANO ambao ikitokea UNA SABABU NITAFURAHI, KAMA HAUNA SABABU MIMI HUO NDO UHODARI HUU, TANZANIA NI KWETU.
 
Kwann ufikiri uchakavu? Kilichochakaa ni kipi? Sisi watanzania, tunaomiliki na kuufaidi MUUNGANO tupo, hatujachakaa, hata tukifa watoto na wajukuu wapo na watakua wapya ndani ya muungano, tuutunze huu umoja, tutafakari mapungufu yaliyoko kwa staha
 
Kuurepea si ndio tukaunda tume ya kutatua kero za muungano, miaka mingi imekatika wameshindwa kuziondoa Mimimollel ;)
Nakubaliana na uundaji wa tume ya wazalendo kuuweka vizuri muungano, ila hizi force za kisiasa zenye nia ya kuimarisha na kutangaza kila baya la muungano hapo ndo natishwa zaidi
 
Suluhisho limeshatolewa na wananchi kupitia rasmu ya katiba ya walioba lakini vichaaa ccm wakakataa.sasa Kwa ninimkatae matakwa ya wananchi kama siyo ujuha ni Nini?.serikali tatu zitaondoa haya mauza uza.serikali tatu hakutakuwa na mmoja kuona anaonewa na mwenzake .
 
Wana JF nina huzuni, tena sana, kwanini kwenye nchi yenye watu wazima tunataka kuamini na kugundua zaidi mapungufu, kasoro na hitilafu za MUUNGANO WETU matukufu badala ya kutafuta namna ya kuutia cement?

Kwanini tusifikiri mwaka mmoja bila MUUNGANO unaweza kutupa hasara gani? Naogopa kufikiri nini kipo nje ya MUUNGANO huu hadi kabisa duniani, MUUNGANO wa kiungwana, MUUNGANO wa utu, MUUNGANO ambao ikitokea UNA SABABU NITAFURAHI, KAMA HAUNA SABABU MIMI HUO NDO UHODARI HUU, TANZANIA NI KWETU.
external forces through their puppets within Tz, ati hao waibue dosari au kasoro kwenye jambo Fulani na kujaribu kuchochea au kulazimisha jambo hilo liwe kama ilivyo nia na madhumuni ya mabwenyenye humu nchini, haiwezekani within this very United Republic of Tanzania 🐒
 
Suluhisho limeshatolewa na wananchi kupitia rasmu ya katiba ya walioba lakini vichaaa ccm wakakataa.sasa Kwa ninimkatae matakwa ya wananchi kama siyo ujuha ni Nini?.serikali tatu zitaondoa haya mauza uza.serikali tatu hakutakuwa na mmoja kuona anaonewa na mwenzake .
Naheshimu mawazo yako muungwana, serikali tatu ni wimbo wa wengi, ila ebu tufikiri
✍️ Gharama za muungano kwa maana ya ikulu tatu, wizara zitakua ngapi, vyanzo vya uchumi vipoje
✍️ Kuwe na majeshi ya ulinzi na usalama mara ngapi?
✍️ Mipaka na shughuli za baharini itakuaje?
✍️ Serikali tatu sio njama ya watu kupenyeza chuki, fitina na kutafuta madarasa?
 
Tunahitaji nchi mbili zilizoungana ziwekwe wazi!! mojawapo ni zenji Sasa hii nchi yapili ikowapi? Na katiba yake ikowapi? Raia wake niwapi? Serikali yake ikowapi?
Kwanini raia wanchi moja waongoze mambo ya nchi nyingine awaamulie mambo Yao binafsi as if wao hawana akili timamu.
Yaani yakwao yao wenyewe lakini yakwetu yetusote kivipi??
Nchi mbili ziungane alafu ziwe na maraisi wawili nawote watoke upande mmoja hii inawezekana vipi?????
 
Wana JF nina huzuni, tena sana, kwanini kwenye nchi yenye watu wazima tunataka kuamini na kugundua zaidi mapungufu, kasoro na hitilafu za MUUNGANO WETU matukufu badala ya kutafuta namna ya kuutia cement?

Kwanini tusifikiri mwaka mmoja bila MUUNGANO unaweza kutupa hasara gani? Naogopa kufikiri nini kipo nje ya MUUNGANO huu hadi kabisa duniani, MUUNGANO wa kiungwana, MUUNGANO wa utu, MUUNGANO ambao ikitokea UNA SABABU NITAFURAHI, KAMA HAUNA SABABU MIMI HUO NDO UHODARI HUU, TANZANIA NI KWETU.
MIMI naona hoja yako kwa political and power demand, habari ya nani ni Rais, katoka upande upi wa muungano, kwann tusiwe rais wetu, hizo ni hoja za kisiasa, madarasa, ambavyo mtanzania hana haja navyo
 
Back
Top Bottom