Hii sasa ni mada ingine M'one, acha kudandia gari la Dena, fungua siredi yako haraka...
Anataka kuchakachua siredi langu sijui kwanini
Habari zenu wote......
Hapa nazungumzia sauti kwa wanaume (Msinipige mawe)
Napenda kupata maoni yenu may be mie nakosea
kufikiria hivyo.......................
Nimekuwa nikiona mwanaume mwenye sauti nzito (besi)
huwa wanakuwa na confidence sana katika kuzungumza
kuliko wale wenye sauti nyembamba kama ya wanawake
huwa hata hawapendi kuzungumza sana wanaona kama
hawaheshimiwi hivi wanakuwa hawajiamini sana kama hawa
wenye sauti nzito (nimekutana na mmoja jana) mwenye sauti
nyembamba alikuwa akiongea bila kujiamini kabisa.........
Nikamuuliza mbona unanielekeza kitu huku huna confidence
akasema huwa sipendi kuongea sana sauti yangu ina shida
sikutaka kumuuliza sana nilijua ni shida gani anayozungumzia
Wanaume mpo??? Hebu nipeni mauzoefu yenu tafadhali
DA
basi hao wenye sauti ya kwanza nadhani wapo kivingine kabisaWewe ngoja utolewe baru ndo utaimba yesu ni bwana
We nawe
Bahati yako. Mada ingegeuka mda si mrefu.
BAGAH hebu kohoa kidogo nisikie sauti yako...hii inatokana na ishu nzima ya hormones...za kike zinazidi...then anakua na higher pitched sounding voice!...ina uhusiano sana na suala zima la homosexuality!...
na hii hupelekea hata nywele kama ndevu kutokua kwa wingi kama huyo aliyeonekana TBC
ANAKOSA UJASIRI:kwanza kwa sababu tayari ana tabia za wadada (um not saying women are not confident...LOL)
pili sauti walio nayo inawafanya wasiwe comfortable kuzungumza!...
Nipe hela ninyamaze lol, vinginevyo hachakachui mtu hapa..
Kongosho...Mtei toa basi mapoint...humjui hata mmoja tukamfanya case study hapa fasta!
Nipe hela ninyamaze lol, vinginevyo hachakachui mtu hapa..
Sijambo shemeji...shemeji mkubwa hujambo?kaka yangu vip hapa anahusikaje?
Stoi rushwa
Mtei toa basi mapoint...humjui hata mmoja tukamfanya case study hapa fasta!
BAGAH hebu kohoa kidogo nisikie sauti yako...
Sasa ole wako uchakachue!
Hivi sauti ni proportional na mambo mengine au?