Sauti: Uchambuzi wa kisomi juu ya hotuba ya Mbowe huko Marekani

Gamba la Nyoka

JF-Expert Member
May 1, 2007
7,022
9,285
Uchambuzi huu ulifanywa na ndugu Twahir Kiobya huko clubhouse.

Ameisifu hotuba ile kwa ubora wake, akachambua mbinu mkakati ambazo ndugu Mbowe anatumia katika kufanikisha mazungumzo ya chama chake na CCM na akaonyesha kuwa njia anayotumia Mbowe ni njia sahihi zaidi kwenda nayo badala ya kususa au vurugu.

Unaweza kumsikiliza mchambuzi mwenyewe hapa chini:
 
Attachments

  • recording_1670910399.m4a
    5.4 MB · Views: 2
Uchambuzi huu ulifanywa na ndugu Twahir Kiobya huko clubhouse.

Ameisifu hotuba ile kwa ubora wake, akachambua mbinu mkakati ambazo ndugu Mbowe anatumia katika kufanikisha mazungumzo ya chama chake na CCM na akaonyesha kuwa njia anayotumia Mbowe ni njia sahihi zaidi kwenda nayo badala ya kususa au vurugu.

Unaweza kumsikiliza mchambuzi mwenyewe hapa chini:
Wale wengine wapo kutukana tu hadi wanatia kichefuchefu kila post zao matusi.
 
Uchambuzi huu ulifanywa na ndugu Twahir Kiobya huko clubhouse.

Ameisifu hotuba ile kwa ubora wake, akachambua mbinu mkakati ambazo ndugu Mbowe anatumia katika kufanikisha mazungumzo ya chama chake na CCM na akaonyesha kuwa njia anayotumia Mbowe ni njia sahihi zaidi kwenda nayo badala ya kususa au vurugu.

Unaweza kumsikiliza mchambuzi mwenyewe hapa chini:
Mbowe ni mtu mwenye upeo mkubwa na mwanademokrasia wa kutukuka. Hotuba yake ni nzuri mno na tunapaswa kumuunga mkono.
 
Back
Top Bottom