Gamba la Nyoka
JF-Expert Member
- May 1, 2007
- 7,022
- 9,285
Uchambuzi huu ulifanywa na ndugu Twahir Kiobya huko clubhouse.
Ameisifu hotuba ile kwa ubora wake, akachambua mbinu mkakati ambazo ndugu Mbowe anatumia katika kufanikisha mazungumzo ya chama chake na CCM na akaonyesha kuwa njia anayotumia Mbowe ni njia sahihi zaidi kwenda nayo badala ya kususa au vurugu.
Unaweza kumsikiliza mchambuzi mwenyewe hapa chini: