SAUTI HURU: "CUF yaingia kwa kishindo, yazoa 3,000 wa CHADEMA Arusha!"

Binafsi yangu nawashangaa sana hivi vyama vinavyotafuta wanachama badala ya kujiandaa na uchaguzi wa mwaka 2015. Hivi mnapopata wanachama 3,000 kesho yake mkiondoka huwa wanategemea kuwaachia nini cha ziada kiasi kwamba kesho kutwa wakienda CCM wanarudisha kadi zenu. Binafsi yangu sijawahi kusikia chama cha kisiasa kinaenda mikoani kutafuta wanachama, sijawahi ONLY in Tanzania na sielewi ukiwa na wanachama wengi ndio unafanikisha kipi haswa?
- Mniuwie radhi wapambe...
 
Itabidi Mtatiro aje hapa atueleze kama mpinzani wa CUF ni CDM ambayo bado haijakamata dola na sio CCM iliyokamata dola. Kumpinga mpinzani mwenzio na kumuacha aliyekamata dola, hata kama ni mumeo, ni uendawazimu wa hali ya juu. Sidhani kama kuna mwananchi atajiunga na chama kisicho na malengo ya kuchukua dola bali lengo ni kulinda ndoa akina Maalim Seif waendelee kula bata SUK huku wana Tandahimba wamedhulumiwa fedha za korosho na serikali ya mume wa chama chao

Mjomba pitia thread nyingi humu jamvini zihusuzo CUF vs Chadema utagundua kuwa vyama hivyo vinalumbana vyenyewe kwa vyenyewe,mwana Chadema hata CUF ifanyeje haifai na CUF pia hvyohvyo ndio maana vyama vyote hivi viwili vitaendelea kuwa upande wa upinzani daima wasipojielewa vizuri,kuhusu sisiemu kuwa ni mume wa cuf sasa kama siasa ya Bongo unaifuatilia tuseme Chadema amepewa Talaka na CUF maana tunakumbuka Muungano ule wa CUF na Chadema kisha CUF walisimamisha Raisi Chadema walikuwa chini yaani Mume hugombea wakati mke hagombei au ufikirie upya mkuu
 
Hahahaha unajua kuna vitu vingine ni vichekecho sana! Yan hata wananchi walio udhuria mkutano wa Cuf hawafiki 3000

Kwakweli hivi ni vichekesho kutoka kwa gazeti hilo!

nauliza gazeti likiandika uongo mkubwa kama huu .sio kosa la jinai maana si sawa na mtu mwenye kosa la kugushi eti ??
 
yaani waarusha/wachaga wahamie uamsho...haiwezekani labda ni wale wa ccm wameingia cuf wanatudanganya

pana pombe ya haruf ya udini. Na ni mbaya matokeo yake ni kunyea hovyo na kujshusha hadhi. M4c daima na cdm ndo home.
 
Hao elfu tatu labda ni wale waliowaleta kwa mabasi kutoka Dar, Tanga, Zenji na kwingineko. Walipofanya mkutano eneo la soko la Mbauda hawapata watu zaidi ya 15. Pia walipofanya mkutano wao pale Levolosi ambapo viongozi wao wa kitaifa walikuwapo wote, wenyeji waliokuwapo hawakuzidi 100. Nashangaa sana haya magazeti badala ya kupigania sheria kandamizi dhidi ya waaandishi na magazeti zibadilishwe, wao kazi yao kubwa ni kulamba viatu vya mafisadi (ccm) na wake zao (CUF)
 
Sheria ya magazeti inatakiwa kuwalinda walaji wa habari dhidi ya uwongo unao andikwa na magazeti husika! Ilitakiwa yapigwe ban ili kujenga jamii yenye hulka ya kuandika ukweli na kutoa ukweli. Cha kushangaza magazeti yanayo andika ukweli yana zuiwa yale ya makada yanayo potosha yanaachwa yazidi kuandika uwongo na uzushi! Hii ni aibu sana kwa wizara ya habari na mawasiliano.

Sent from BlackBerry 8520 authorized by JamiiForums.
 
Ukiangalia kichwa cha habari hapo juu utagundua kuwa unachoenda kukipata si cha kweli na kimejaa uongo ndani yake. Heading hiyo iko kwenye gazeti la sauti huru.

Sauti huru nila kada wa ccm lakini hapa linatumika kujenga uongo wa mchana kweupe! Labda mlioko Arusha mumsaidie muandishi kumuambia ukweli.

Waliohudhuria mkutano hawafiki 600, hao 3000 wamewapataje?
Kweli magazeti mengine ya kuzimu
 
Hilo gazeti ndo mara ya 1 kulisikia ila nachofaham cuf hainauwezo wa kupata hata wanachama100 arusha hata km cuf wakishirikiana na bwana wao ccm hawana huo uwezo
 
Kama angalikuwa anapatikana mwanachama mmoja Arusha wangalijihangaika kukeba foleni toka Dar? Huu ni upuuzu uliokidhiri! Arusha ni ya watu wenye ufahamu ndiyo maana CCM inakosa usingizi kila inapokumbuka jiji hili na utajiri wake. Wamemfuta mbunge kumbe ndiyo kwanza kaburi linazidi kuchimbika. Kwa sasa watamrudisha kimywa kimywa nyie subirini tu mtaona. CCM inatumia akili ya maitiCAF.
 
Ukiangalia kichwa cha habari hapo juu utagundua kuwa unachoenda kukipata si cha kweli na kimejaa uongo ndani yake. Heading hiyo iko kwenye gazeti la sauti huru.

Sauti huru nila kada wa ccm lakini hapa linatumika kujenga uongo wa mchana kweupe! Labda mlioko Arusha mumsaidie muandishi kumuambia ukweli.

Hao watakuwa ni wale waliowaleta kutoka Dar; na huyo diwani alieyefukuzwa Chadema: Sio mbaya kwa kuwa alikuwa huko kabla ya kuingia CDM
 
...mngemfahamu anayeitwa Mhariri wa gazeti hili msingejisumbua kuukosoa ujinga wa gazeti hili (maana na yeye wanayemwita mhariri wao siyo well-tuned). Msiomjua mnakaribishwa kwenye kaklabu ka gongo hapa Kimara-baruti (Dsm) karibu na Bahama-mama. Mtakapomjua anayeitwa Mhariri ndipo mtakapomua kuwa SAUTI HURU muendelee kuliita gazeti ama kijalida cha walevi (tena wa gongo).
 
jamani mkutano wenyewe ukitoa watu walioletwa na mabasi kutoka Dar na Morogoro hawakuzidi 100 Na hata ukijumlisha waliotoka Dar na Moro na watu wa Arusha kwa pamoja hawakuzidi 700 sasa hao 3000 wanatoka wapi? au waliimanisha watatu kama ni watatu ni kweli na majina nawafahamu..
Hukuwaona tu. Kulikuwa na maruhani zaidi ya 3000. Kumbuka hiki ni chama maarufu kupiga kura za maruhani na kuchagua maruhani.
 
hao wanaohamia cuf wana akili timamu kweli? Wanategemea kuchukua nchi ya nani? Kwa lipi hasa jipya ambalo cuf wamefanya? Weka picha zao basi au mlisahau kamera zenu visiwani
hivi nikuulize wewe mwenye akili uliyeko huko cdm, umebahatika na jambo gani la kujivunia ukawona wenzako wehu, au wenda wazimu ? Rekebisha ulimi wako huenda ukawa wewe ni bora huyo ktika upotevu kulikoni, kwani hao cdm muna tamaa ya kuchukua nchi? Sahau chama cha kikabila na kidini, mikakati imetimia kuwasafisha cdm popote pale ilipo! Acha dhihaka kichogo nongo
 
Chadema hamna lolote nyinyi na CCM ni wamoja tu nyote mupo kwa ajili ya kuimarisha Kanisa tu na si jengine ni backups Ya CCM tu Kanisa siku ikiona CCM haina maslahi na kanisa ndio mutakabidhiwa nyinyi. Nchi hii inatawaliwa na Kanisa kwa nyuma ya pazia. si mulisema humumtambuwi kikwete ilikuwa ni geresha ya Kanisa tu. kama kweli nyinyi sio Kanisa basi tuwelezeni vipi mutashinda uchaguzi wakati.. 1. Tume ya Uchaguzi ni CCM (kanisa)2.Polisi Ni CCM (Kanisa) 3. Jeshi Ni CCM (Kanisa) 4.Mahkama Ni CCM (kanisa) 5.JKT ni CCM (Kanisa) Kila Kitu Muhimu kinatawaliwa na CCM kanisa na nyinyi hatuwasikieni kufanya chochote cha kubadilisha hali kwasabau masilahi yenu ni kwa kanisa ivi kweli kama nyinyi sio CCM (kanisa) yule muhindi wa CCM anayewapa mamilioni ya shilingi ccm wangemuacha kweli kama si kwa ridhaa ya CCM?
WAISLAMU HAWA WAMEBATIZWA? Wapi? Lini? Kanisa gani? Majina yao ya kikristo ni kina nani? Je, wewe ni mwislamu mzuri kuliko hawa?. Jakaya Mrisho Kikwete, Yusufu Makamba, Abdulahman Kinana, Abdallah Kigoda, Mohamedi Gharib Bilal, Saidi Mwema, Suleyman Kova, mohamedi shein, Sheikh sharif hamad - cuf n.k.Ni Mwislamu maamuma tu anayeweza kulipuka na kuja na udini wa kipuuzi namna hii? Tatizo ulikimbia shule, ndiyo maana ukiambiwa mambo ya kipuuzi unayabeba kama yalivyo - huwezi kufikiri bali unakurupuka tu na kubeba na kutapika pumba jamvini! Wewe ni sawa na WAKRISTO wanaojiona ni WAKATOLIKI KULIKO PAPA!
 
hivi nikuulize wewe mwenye akili uliyeko huko cdm, umebahatika na jambo gani la kujivunia ukawona wenzako wehu, au wenda wazimu ? Rekebisha ulimi wako huenda ukawa wewe ni bora huyo ktika upotevu kulikoni, kwani hao cdm muna tamaa ya kuchukua nchi? Sahau chama cha kikabila na kidini, mikakati imetimia kuwasafisha cdm popote pale ilipo! Acha dhihaka kichogo nongo
Kumbe CUF ina majukumu MAZITO mno! KAZI YENU CDM iondoke ILI NDOA YENU IDUMU!
 
Back
Top Bottom