mtotowamjini
JF-Expert Member
- Apr 23, 2012
- 4,526
- 1,169
yaani waarusha/wachaga wahamie uamsho...haiwezekani labda ni wale wa ccm wameingia cuf wanatudanganya
Chadema hamna lolote nyinyi na CCM ni wamoja tu nyote mupo kwa ajili ya kuimarisha Kanisa tu na si jengine ni backups Ya CCM tu Kanisa siku ikiona CCM haina maslahi na kanisa ndio mutakabidhiwa nyinyi. Nchi hii inatawaliwa na Kanisa kwa nyuma ya pazia. si mulisema humumtambuwi kikwete ilikuwa ni geresha ya Kanisa tu. kama kweli nyinyi sio Kanisa basi tuwelezeni vipi mutashinda uchaguzi wakati.. 1. Tume ya Uchaguzi ni CCM (kanisa)
2.Polisi Ni CCM (Kanisa) 3. Jeshi Ni CCM (Kanisa) 4.Mahkama Ni CCM (kanisa) 5.JKT ni CCM (Kanisa) Kila Kitu Muhimu kinatawaliwa na CCM kanisa na nyinyi hatuwasikieni kufanya chochote cha kubadilisha hali kwasabau masilahi yenu ni kwa kanisa ivi kweli kama nyinyi sio CCM (kanisa) yule muhindi wa CCM anayewapa mamilioni ya shilingi ccm wangemuacha kweli kama si kwa ridhaa ya CCM?
Ukiangalia kichwa cha habari hapo juu utagundua kuwa unachoenda kukipata si cha kweli na kimejaa uongo ndani yake. Heading hiyo iko kwenye gazeti la sauti huru.
Sauti huru nila kada wa ccm lakini hapa linatumika kujenga uongo wa mchana kweupe! Labda mlioko Arusha mumsaidie muandishi kumuambia ukweli.
Unajua kusoma mkuu, nimesema siyo CUF ilipata watu wasio zidi 100 sasa huyo Bayo na huyo mama ni kati ya hao hata wana JF zaidi ya watano nilio waona kwenye mkutano huo walikuwepo..Kweli, na hata yule aliyekuwa diwani wa CDM Arusha naye pia makazi yake ni Buguruni Malapa naye pia alisafirishwa na COASTER.